Naukumbuka huu Uzi wako na nausoma mara nyingi kama justification ya kwamba polepole walishamuuwa.Ilivyo ngumu kumlinda mateka! | JamiiForums Tanzania Ilivyo ngumu kumlinda mateka!
Waliotekwa wote walishauawa.1. Je Yuko hai?
2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ?
3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae?
4. Au anampa Chakula na kuondoka?
5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua?
6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani?
7. Kwamba pengine wewe hutaliona jua maisha yako yote?8. Kama ndivyo je serikali zijazo zenye utu zitamwachia huru?
9. Je anayempa Chakula polepole nayeye anafwatiliwa 24/7?
10. Kama you hai kisaikolojia atakuwaje?
11.Haya kama wamemuuwa je mwisho wake ulikuwaje?
12. Alilia?
13 Alipata nafasi ya kutubu Kwa wauwaji wake?
14. Je kifo chake kilikuwaje?
15. Cha maumivu?
16. Cha taratibu?
16. Mwili wake uliçhomwa?
17. Ulitupwa baharini?
18. Ulimwagiwa tindikali?
19. Kumuua ni rahisi kuliko aendelee kuwa hai?
20. Atavujisha siri za alipokuwa nk.
Maswali haya yanayomhusu POLEPOLE ni ya wote waliokufa ambao maiti zao hazijaonekana mpaka leo. Baadhi ya maswali hapo hayamhusu mtu kama Mzee MOHAMMED ALLY KIBAO and the alike.
Waliotekwa kwa style ya Polepole? Weee,,,,,,🤸Waliotekwa wote walishauawa.
Mifano ni LISSU, DJUMBE, PADRE KITIMA na SATIVA
Polepole wameshamuua, ni risk kubwa mno kumuacha hai kwani yeye kuwa hai baada ya kutekwa ni hatari sana kwa Samia na vibaka wenzake zaidi ya hatari iliyokuwepo kwao kutokana na kauli zake za mitandaoni zilizopelekea wao kumteka brutally mpaka kuacha damu zimetapakaa kwenye ghetto lake.1. Je Yuko hai?
2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ?
3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae?
4. Au anampa Chakula na kuondoka?
5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua?
6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani?
7. Kwamba pengine wewe hutaliona jua maisha yako yote?8. Kama ndivyo je serikali zijazo zenye utu zitamwachia huru?
9. Je anayempa Chakula polepole nayeye anafwatiliwa 24/7?
10. Kama you hai kisaikolojia atakuwaje?
11.Haya kama wamemuuwa je mwisho wake ulikuwaje?
12. Alilia?
13 Alipata nafasi ya kutubu Kwa wauwaji wake?
14. Je kifo chake kilikuwaje?
15. Cha maumivu?
16. Cha taratibu?
16. Mwili wake uliçhomwa?
17. Ulitupwa baharini?
18. Ulimwagiwa tindikali?
19. Kumuua ni rahisi kuliko aendelee kuwa hai?
20. Atavujisha siri za alipokuwa nk.
Maswali haya yanayomhusu POLEPOLE ni ya wote waliokufa ambao maiti zao hazijaonekana mpaka leo. Baadhi ya maswali hapo hayamhusu mtu kama Mzee MOHAMMED ALLY KIBAO and the alike.
nonsense 🐒1. Je Yuko hai?