Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

mkuu, nakushukuru sana kwa kuuona uovu na kuusemea bila kumumunya maneno. tatizo hili ni kubwa na haliko kwa nyuzi (digrii) za masters tu bali hata nyuzi za undergraduate zina kasoro kubwa sana. unamkuta mhitimu wa mzumbe ana lijipiei la kufa mtu lakini ukimchunguza kichwani unakuta kuko tupu! huu ubakaji wa elimu hauna nafasi katika nchi hii na wapendahaki tunaukemea kwa nguvu zetu zote. naomba serikali ichunguze ubora wa elimu inayotolewa na mzumbe.

Umesema na kunikumbusha hizo GPA, kuna mwanafunzi wa PhD ana GPA nzuri. LAKINI MUNGU WANGU! Naishia hapa!
 
Usikimbilie eti nitaje ndo utafikiri ita change situations ya mzumbe unafikiri natia eeh mi sio dogo ungenijibu hoja yangu kusemea uchakachuaji wa Mzumbe umeshaniita maneno kibao Mara tumetofautiana akili unanielewesha ndo mana nikakwambia ungekua na akili hata chembe ungekua Harvard chuo kinacho heshimika dunia badala unijibu unakuja na hoja ya dogo Mara kushindanisha vyuo na dharau zako is how really great thinker argue critically ha ha ha ha loh hafu mie sio kaka sijui inahusikaje na topic hapa hatushindanishi vyuo eeh kwahyo utetezi wako ni kutaja ili nikiwataja ndo watakua hawacha kachui eeeeeh really?????????????????????!!!!!!!!!!!!
ok. dada
 
Mimi nimeconclude kwa kusema

nijuavyo mimi hapa Tanzania.. Mzumbe university.. Ndo chuo kinachoongoza kutoa elimu bora katika fani zake inazojivunia ambazo ni

finance, accounts & management science (public administration, health services management, human resources management, local government management, public services management, records and archives mgt)

na kama mnabisha angalieni hali halisi ktk soko la ajira wanavyopeta

si hizo tu...

Hata ktk fani zingine kama BBA, PROCUREMENT, Production and operations mgt, economics... Mzumbe ni baba lao

hawa wanafunzi wa hasa wa udsm wanaleta propaganda za kiwehu sana..... Baada ya kuon hawaifikii mzumbe ktk hzo kozi tajwa hapo juu

mamia ya wanafunzi kila.mwaka wanashindwa kugraduate mzumbe... Maana kuna mtu karopoka hapo juu kuwa ukidahiliwa mzumbe lazima utamaliza.. Jambo ambalo si la kweli

kuhusu RESEARCH..... kwa kweli anayepondea jambo hili kwa mzumbe ni zaidi ya uonevu.
Kwa sababu nijuavyo mimi...

Chuo kikuu mzumbe ni chuo pekee kjnachotoa mda wa mrefu kwa ajili ya kufanya research kwa first degree........... Research ni kitu ambcho kinazingatiwa sana kwa mwanafunz wa degree ya kwanza na ndyo maana inakuwa ni rahisi sana kwa mwanafunzi aliyegraduate first degree mzumbe kufanya vzuri ktk masters degree

wanaanza kufundishwa theories kwa semwster nzima..... Then mwaka unaofuata unatakiwa utafute mada ambyo ungependa kuifanyia research..then unaandika proposoal.... Then unatakiwa ukafanye research for whole semester.... Then uandae report.. Na hatimaye kuisubmit kwa supervisor.. Na hatimaye kuipresent kwa oral presentation

hatua hizi zote unakuwa bega kwa bega na supervisors wako.. Both internal and external supervisors... Na kila hatua kuna marks zake... Kwa hyo sijaona mantiki ya kusema mwanafunzi wa mzumbe hajui kuandika dissertation......

UKIONA mwanafunzi wa masterz anashindwa kuandika dissertation basi ujue huyo first degree alisoma ktk vyuo vingine.. Na si mzumbe


msingi wa research ni first degree na syo second

NB. Udhaifu wa mwanafunzi mmoja huwezi kuutumia kama hitimisho kuwa chuo ni kibovu

juzi hapa PSRS walitangaza kaz za auditors na HR 101

cha kushangaza zaidi ya 70 % waliofanikisha wametoka Mzumb


MTASUBIRI SANA.. na propaganda zenu zitaishia baharini

kuna jamaa niliwahi kukutana naye akasema anatamani apate japo CERTIFICATE ya MZUMBE......... lakn alishindwa
 
Nani kakudanganya, jiunge na moja ya kozi za Masters uone kama utaipata bila kufanya research, utajuta kwenda hapo! Ndio maana wengi wanakimbilia Mzumbe. Kuna watu wamefanya Masters zaidi ya miaka mitano kwa sababu za usanii katika research hawaja-graduate. Uhondo wa ngoma ni kuingia na kuicheza.

Ww umewahi kuicheza ngoma ya Mzumbe?? au unasimulia tu?? tehhhh
 
Nani kakudanganya, jiunge na moja ya kozi za Masters uone kama utaipata bila kufanya research, utajuta kwenda hapo! Ndio maana wengi wanakimbilia Mzumbe. Kuna watu wamefanya Masters zaidi ya miaka mitano kwa sababu za usanii katika research hawaja-graduate. Uhondo wa ngoma ni kuingia na kuicheza.

Ww umewahi kuicheza hyo ngoma ya Mzumbe?? nenda kama hautaomba poi
 
Yani niandikiwe dissertation nimekua Mzumbe mie naona unatetea chuo ulichosoma kwa bidii naongeA reality na sio ushabiki tangia first year naandika research paper na proposal second year hafu nani kakwambia Udsm hawafanyi dissertations wakati wanafanya kuanzia research papers proposal's na finalists wanafanya dissertation's unafikiri udsm no kama chuo ulichosoma mana umemention name Udom kuhalalisha masters za Mzumbe za mezani graduates wa masters hajui Ku differentiate kati ya main objective na specific literature review ataiwezea wapi sasa dissertations proposal's ni kipimo cha kupima wanafunzi je wako competent kwenye research tofauti na kumeza madesa Mzumbe badilikeni kwanini iwe nyie tu

Yani kutofautisha specific na general objectives ndo unajiona unajua?? Tehhh wehu huu
 
Yani kutofautisha specific na general objectives ndo unajiona unajua?? Tehhh wehu huu

Najua ndio sana wewe unayeshindanisha vyuo kizuri chajiuza kibaya chajitembeza eeh kwakweli najua sana unafikirie mchezo kiruuuu
 
Umesema na kunikumbusha hizo GPA, kuna mwanafunzi wa PhD ana GPA nzuri. LAKINI MUNGU WANGU! Naishia hapa!

Hivi Emmanuel Nchimbi alipata PhD chuo gani? Mwenye jibu anipe title ya thesis yake pamoja na abstract tuone madudu ya Mzumbe.
 
Dissertation za Mzumbe kama tatu hivi nimezishughulikia..... Ni hatari

Tatizo la Mzumbe hawazingatii ushauri wa External Examiners, hata dissertation ikipigwa 'Major corrections' siku ya graduation utashangaa kumuona mhusika akiwa ndani ya joho bila hata aibu.
 
Najua ndio sana wewe unayeshindanisha vyuo kizuri chajiuza kibaya chajitembeza eeh kwakweli najua sana unafikirie mchezo kiruuuu

usemi huu ni wa chekechea asiyejua exeptions za misemo. maana kuna wakati hata kibaya huwa kinajiuza na kizuri kikijitembeza chenyewe bila kutembezwa na mtu yeyote. ndio kazi unaifanya.
 
Najua ndio sana wewe unayeshindanisha vyuo kizuri chajiuza kibaya chajitembeza eeh kwakweli najua sana unafikirie mchezo kiruuuu

Very sad kama argument hii inaeza toka katika brain ya mtu anayejipambanua kuwa kaelimika katika level ya masters. ninapita tu.
 
Very sad kama argument hii inaeza toka katika brain ya mtu anayejipambanua kuwa kaelimika katika level ya masters. ninapita tu.

We ndo wa kuhurumiwa uliyeenda out of topic ukajiingiza chaka bora tu upite safari njema
 
Back
Top Bottom