Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
usemi huu ni wa chekechea asiyejua exeptions za misemo. maana kuna wakati hata kibaya huwa kinajiuza na kizuri kikijitembeza chenyewe bila kutembezwa na mtu yeyote. ndio kazi unaifanya.
Ha ha ha utasema maneno yote ulianza first blah blah kibao Mara huwezi Ku argue sijui uwezo wako mkubwa sasa umekuja na chekechea how does it relate to the topic dude?