ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
Watu tumekamata vitengo wewe unaona aibu???? we endelea kusubiri ya Bagamoyo University
Umepewa link soma, na sio kuandika tu!!
Watu tumekamata vitengo wewe unaona aibu???? we endelea kusubiri ya Bagamoyo University
Luckily I did my Masters in both Colleges (UD and MU - two different courses), ndio, in both dissertation is a must, but things depend much on your supervisor, akiwa kijanakijana anakutoa mapema - wanadai wanakurahishia maisha na hawajali sana kiwango, hao wakongwe utasaga sana viatu kurudishiwa kazi. Anyway nisianzishe uzi mpyaGo back for Masters, you will understand what I'm telling you!
www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/576562-naona-aibu-kusema-nina-masters-ya-mzumbe.html
Mkuu embu pitia huo uzi!!!
Cc joshua_ok bdo leonk na wengineo..
Napingana na wewe!!mm nategemea kugraduate next month hapa branch ya main campus moro,,kuna wanafunzi zaidi ya 40 hawatagraduate mwaka huu sababu dissertation zao ni mbovuuuu!!!sijui kwa branch nyingine ila kwa main campus products zinazotoka pale ni nzuriiii
Mkuu nimependa hiyo testimonial katika link ya 'Ninaona aibu kusema nina masters ya Mzumbe'. Kama hayo mambo yapo hatuhitaji kujiuliza kwa nini hii nchi haipati maendeleo wakati ina rasilimali kibao! Huu ugonjwa huenda haupo Mzumbe tu TCU wafanye kazi yao kubaini ujinga huu katika vyuo vikuu vyote na hatua kali ikiwa ni pamoja na kuvifungia vyuo hivyo zichukuliwe.
Nasema nikiwa na evidence kamili Mzumbe sijasoma masters ya mezani naongea kiuhalisia wala sina nia ya ushabiki Mzumbe wanaharibu elimu tena campus ya Dar es Salaam nimeona zaidi ya wanafunzi wengi wanaandikiwa dissertations na proposal's nilishangaa sana Mzumbe badilikeni mtu akisema ana masters ya Mzumbe namuona empty set tu elimu na biashara wapi na wapi
Unaelekea na ww ni mnufaikaji wa kuandikiwa dissertation
halafu ukweli ni kuwa hao wanaoandikiwa dissertation wametoka vyuo tofauti na mzumbe wakaja mzumbe.. Maana nasikia vyuo bingi hapa nchin havitilii mkazo ktk dissertation.. Kwa first degree.. Vyuo kama udsm, udom, n.k
na nina ushahidi wa wanafunzi wengi waliograduate first degree ktk vyuo hivi hawajui kuandika research report
lakini suala la kuandikiwa dissertation kwa kundi flan huwez kulitumia kugeneralize kuwa chuo kinaua elimu... Kwa sababu si rahisi kujua kama aliandikiwa au lah
wanafunz wajanja wajanja wapo
ni heri ungechukua na wale ambao ni smart ili kuhitimisha vizuri hoja yako
Mkuu nimependa hiyo testimonial katika link ya 'Ninaona aibu kusema nina masters ya Mzumbe'. Kama hayo mambo yapo hatuhitaji kujiuliza kwa nini hii nchi haipati maendeleo wakati ina rasilimali kibao! Huu ugonjwa huenda haupo Mzumbe tu TCU wafanye kazi yao kubaini ujinga huu katika vyuo vikuu vyote na hatua kali ikiwa ni pamoja na kuvifungia vyuo hivyo zichukuliwe.
Tatizo lako umekariri kwamba unapaswa uwe na degree ya kwanza,kisha uzamivu,kisha uzamili.UDSM(ambayo naamini kwa akili yako ndo unapaabudu)unaweza kupata PhD bila kuwa na Masters.Kama bado umejaza kamasi kichwani tafuta cv ya Dr Slaa utapata ahueni maana hana hicho kinachoitwa degree ya kwanza au ya pili.Acha kukariri!
Tunao maofisini can not even make a good english sentence, hao wa advanced diploma! Kuna ambao wana Basic degree, unaona kuna tofauti kubwa, they are doing good.
Naona umedhamiria kutudhalilisha tuliosoma Advanced Diploma na sio master ya mzumbe, inawezekana unawivu tu boss wako kazini ni advanced diploma wakati wewe ulitegemea awe mamber wako toka UDSM. ngoja nikupe ukweli nina adva diploma ya IT kutoka ifm nipo BOT napewa mshiko sawa kabis na hao unaowaita wanajua english. kwenye interview niliwabwaga watu kibao tena na master zao toka UDSM.....in short CV yangu nikidondosha sehemu yoyoye ile lazima niwe shortlisted

Hapana rafiki, kama mtu ana advanced diploma kwa fani yake, anakuwa na sifa nzuri tu kwa fani ile na kwa level ile. Hilo halina ubishi hata kidogo. Na kama unakumbuka, Advanced diploma za Mzumbe kabla ya kuwa university zilikuwa na matunda mazuri sana. Ninachosema ni kuwa kwa sasa kumtoa mtu advanced diploma kwenda Masters sio sahihi. Products wa hizo masters zina walakini academically! IFM was a renowned financial intitution huko zamani, sio sasa kumtoa mtu ana advanced diploma kwenda masters
Lastly nakupa hongera kwa CV nzuri hivyo which is unbeatable1

Bado sijakuelewa unachopinga nini ni advanced diploma kwenda kusoma master direct kama ana pass nzuri au ubora wa master za mzumbe? labda tuanzie hapo.....coz serikali yenyewe inatambua toka long time mtua alie soma AD na degree wana wa level sawa kwa kila kitu hadi ngazi ya mshahara...ndio maana hata NBAA wanafanya hivyo hivyo au unataka kuniambia nao wanachemsha?

Is Advanced diploma synonymous to First (Basic) degree)? In other words can you use these two words interchangeably?
Is Advanced diploma synonymous to First (Basic) degree)? In other words can you use these two words interchangeably?
Bado hujanijibu swali langu sijui unakwepa kwa nini...nimekuuliza tatizo lako ni nini hasa advanced diploma kusoma master au ubora wa master ya mzumbe ni mdogo?
Kukujibu swali lako according to government of Tanzania advanced diploma is equivalent to degree...na ndio maana utaona hata wanavyo tangaza nafasi za kazi kama wanahijaji graduate wanaandika degree/advanced diploma...kwa sasa hivi wamefuta advanced diploma kwenye vyuo vyote vya serikali ili kuendana na matakwa ya EA
nakuuliza kwa mara ya mwisho, tatizo lako ni advanced diploma kusoma master au ubora wa master ya mzumbe ni mdogo?

Kuna knowledge gap kati ya adv diploma na masters. Na kwa vile higher education mostly ni self instruction high level learning, adv diploma can not cope if one has to maintain academic standard, hawezi ndio maana wanaandika madudu! Ni sawa na mwanafunzi wa primary school ajifunze A level Physics
mleta mada wewe ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza udsm. Kamwe arguments hizi za kitoto haziwezi kukusaidia. Bora kaa ukasome.yani niandikiwe dissertation nimekua mzumbe mie naona unatetea chuo ulichosoma kwa bidii naongea reality na sio ushabiki tangia first year naandika research paper na proposal second year hafu nani kakwambia udsm hawafanyi dissertations wakati wanafanya kuanzia research papers proposal's na finalists wanafanya dissertation's unafikiri udsm no kama chuo ulichosoma mana umemention name udom kuhalalisha masters za mzumbe za mezani graduates wa masters hajui ku differentiate kati ya main objective na specific literature review ataiwezea wapi sasa dissertations proposal's ni kipimo cha kupima wanafunzi je wako competent kwenye research tofauti na kumeza madesa mzumbe badilikeni kwanini iwe nyie tu
bado hujanijibu swali langu sijui unakwepa kwa nini...nimekuuliza tatizo lako ni nini hasa advanced diploma kusoma master au ubora wa master ya mzumbe ni mdogo?
Kukujibu swali lako according to government of tanzania advanced diploma is equivalent to degree...na ndio maana utaona hata wanavyo tangaza nafasi za kazi kama wanahijaji graduate wanaandika degree/advanced diploma...kwa sasa hivi wamefuta advanced diploma kwenye vyuo vyote vya serikali ili kuendana na matakwa ya ea
nakuuliza kwa mara ya mwisho, tatizo lako ni advanced diploma kusoma master au ubora wa master ya mzumbe ni mdogo?
kaka.please. Huyu dogo haelewi . Achana naye tu maana unapoteza muda wako bure. Hata hoja yake hawezi kuisimamia. Anarukia haja moja na nyingine. Hata maswali yako ameshindwa kuyaelewa na kuyajibu alafu anajifanya kafanya masters. Wapi? Kasoma tu social research core subject kwa first year fass na anajiona anajua sana. Arguments zake ndio zinamcategorize class zake.