Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

mkuu, nakushukuru sana kwa kuuona uovu na kuusemea bila kumumunya maneno. Tatizo hili ni kubwa na haliko kwa nyuzi (digrii) za masters tu bali hata nyuzi za undergraduate zina kasoro kubwa sana. Unamkuta mhitimu wa mzumbe ana lijipiei la kufa mtu lakini ukimchunguza kichwani unakuta kuko tupu! Huu ubakaji wa elimu hauna nafasi katika nchi hii na wapendahaki tunaukemea kwa nguvu zetu zote. Naomba serikali ichunguze ubora wa elimu inayotolewa na mzumbe.
tatizo hilo kama lipo basi ni la vyuo vyote kabisa. Tunachokataa ni kugeneralize mambo
 
kama ufisadi wa watu hauhusiani na maswala ya elimu kwa nini useme watu wanaotoa pesa kuandikiwa paper works ni mafisadi ambao wanafanya masters degree za vyuo hivyo kuua ubora wa.elimu. Kwanini usiseme huo ni ufisadi wa mtu binafsi. Au kuna mtaala unaoruhusu uandikiwaji kwenye vyuo ulivyoviimplicate.

Ufisadi unatofautiana kuna wa fedha kuna wa kielimu kuchakachua shule badala ya kufanya mtu anatumia short cut ya udaganyifu kuandikiwa thesis si anatoa hela hiyo ni rushwa we ulisema udsm imetoa mafisadi ndo nikakuuliza kivipi maana wale hawapo chuo tofauti na ambao uchakachuzi wanaufanyia chuoni kabisa
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme

Tofauti ya advanced diploma na degree ni nini?
Usichanganye ordinary diploma na advanced diploma.
 
KWANINI UTUHUMU MZUMBE NA SI KINGINE....HII NI POOR ARGUENT TOO. KUNA KIPINDI HUKO ZANZABAR MAHAKAMA WALIAMUA KUTOTUMIA WANASHERIA KAMA MAHAKIMU. SWALI LA KWANZA KUMHUKUMU MTU ILIKUWA NI "KWANINI UKAMATWE WEWE NA SI WENGINE waliokamatwa" hizo arguments huwa ni mfu na hazina scientific justification. ok by the way kwa logic yako kwanini niseme wewe ni dogo na sio wengine.

Kwasabu wanajulikana kwa kuchakachua sana hadharani na kila mtu anafahamu na jamii kwa kuona hilo ndo maana inalikemea kwa nguvu zote ubakaji wa elimu hauruhusiwi popote na nitapinga kwa nguvu zote uharibifu wa elimu mi hata sio dogo wala haihusiki na uchakachuzi wa elimu
 
kwasabu wanajulikana kwa kuchakachua sana hadharani na kila mtu anafahamu na jamii kwa kuona hilo ndo maana inalikemea kwa nguvu zote ubakaji wa elimu hauruhusiwi popote na nitapinga kwa nguvu zote uharibifu wa elimu mi hata sio dogo wala haihusiki na uchakachuzi wa elimu
poa sababu huelewi.
 
ufisadi unatofautiana kuna wa fedha kuna wa kielimu kuchakachua shule badala ya kufanya mtu anatumia short cut ya udaganyifu kuandikiwa thesis si anatoa hela hiyo ni rushwa we ulisema udsm imetoa mafisadi ndo nikakuuliza kivipi maana wale hawapo chuo tofauti na ambao uchakachuzi wanaufanyia chuoni kabisa
tukiacha ushabiki tuttafika. Emu nitajie aliyeandikiwa thesis na akagraduate. Mmoja tu anatosha.
 
Naomba mods muweke jukwaa la ndondi humu!maana huu uzi unapoelekea ni hatari sana.
 
watu wasio na ajira ndio wanaongoza kubishana vyuo gani ni bora. wenzenu wapo busy wamejiajiri na wengine wapo kwenye ajira zao wanaijenga nchi nyi mnabishana tu humu
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme

Tanzania bila rushwa haiwezekaniiiiii !

Something blind bind in ur mind make it kind !!!
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme

Nakuunga mkono100%.
 
Back
Top Bottom