Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,574
Ha ha hakwenye mambo ya kubabaisha kama utawala, fedha na mambo kama hayo, not hard science
Ha ha hakwenye mambo ya kubabaisha kama utawala, fedha na mambo kama hayo, not hard science
Kuna professor mmoja alisoma PhD bila kusoma masterNawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.
Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme
Mzumbe ni kansaKuna professor mmoja alisoma PhD bila kusoma master
Mzumbe kimekuwa Tena OUTKuna professor mmoja alisoma PhD bila kusoma master
SafiiMzumbe kimekuwa Tena OUT
Unachikisema ni ukweli kabisa kaka wanazingua sanaNawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.
Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme