Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Advanced diploma ya mzumbe ni hotcake kuliko degree ya udsm wanaoendekeza mambo ya mjini
 
Ebu mwambie matatizo yao na uzembe wa chuo chake anafikiri ni vyote

Mzumbe masters student hata kutengeneza informative introduction ya dissertation paper hawawezi na ukishalipa tu ada lazima umalize Masters hatakama hujui kitu. watu wanaosema ni kama Maharage ya Mbeya hawakosei. Wajiangalie wapi Chuo chao kimekosea na siyo kukimbilia kujitetea.
 
Hiyo ni kweli mkuu mi nilishangaa mtu anamalizia masters vitu simple kama abstract acknolegment hawezi specific hajui literature review ndo kabisa wanaoenda pale wengi wanafata vyeti na si uelewa hadi wanajulikana kwa ukilaza wabadilike kwa mtu anayeenda pale ajifikirie Mara mbili wabadilike
 
Mzumbe masters student hata kutengeneza informative introduction ya dissertation paper hawawezi na ukishalipa tu ada lazima umalize Masters hatakama hujui kitu. watu wanaosema ni kama Maharage ya Mbeya hawakosei. Wajiangalie wapi Chuo chao kimekosea na siyo kukimbilia kujitetea.

Dissertation paper?! Hii ndio nini mkuu? Unaweza dadavua kidogo.
 
Wako wengi haina haja kuwataja tena wanna graduate this year cha msingi message sent

wako wengi...tena wanagraduate this year..

IS THIS NOT GENERALIZATION? WHAT ABOUT MWAKA JANA NA JUZI? NA UMEJUAJE KAMA WATAGRADUATE? UNAWEZA KUSEMA MTU ANAGRADUATE WAKATI BADO HAJAGRADUATE? PIA MAJINA YA GRADUATES HUWA YANAWEKWA WAZI -KWA KUTANGAZWA ILI MWENYE HOJA KINZANI AIWEKE DHIDI YAKE. JE KWA KUKAA NA USHAIDI WAKE TUTAKUONA UMESAIDIA JAMII NA UKUAJI WA ELIMU KWA UJUMLA? KWANINI USIMTAJE ALIYEDUKUA ILI ASHUGHULIKIWE NA VYOMBO HUSIKA. NA HATAKUMTAJA TU KWENYEVYOMBO KAMA HIVI ITATOSHA. NO DATA NO RIGHT TO SPEAK DOGO. GENERAL DISCUSSION ARE HIGHLY DISCOURAGED.
 
Wakati simple minds, wakibishana kutwa nzima na kujivuna juu ya chuo kimoja kuwa bora kuliko kingine na hali hawana uhakika hata wa kuhitimu hizo 1st degree majirani zetu waganda wamezindua gari waliotengeneza wenyewe isiyotumia mafuta!!! wakenya ndio walimu na watangazaji wa kiswahili duniani sisi tunajivuna kuwa waasisi wa kiswahili so what??? kama umeelimika umelisaidiaje taifa lako, ushabiki wa chuo unaongeza vipi kipato chako!!! think twice'n change.
 
Duuu,wasomi mnabishana kwa panic hivo,ndiyomaana wazee wwanajenga hoja kuwasisi vijana hatutakiwi kuwa rais wa nchi,kwa hii mihemko yeti,nikweli nakubaliana nao,mana kwa style hii ukipewa nchi kijana,mambo ya ajabu sana yatatokea.huku mitaan wachapa kaz wengi ni wakawaida turn,awajasoma saaana.na nyie wa mamasters,iwe yapopote,hawa wazee lazma wawaelekeze kazi...tz tunakasoro ktk elimu yeti,hata udsm chuo kikongwe pia ni mhanga tu,mainjinia wa hapo nao ni kama mafundi mchundo kama wa kwingine tu,wamegundua nini cha mana,?wakati nasoma pale,coet classes utaona maandishi madogo madogo sn kwenye kuta na benches,hizo zote ni cheating za exams.
 
Mzumbe wajisafishe haina haja ya kutoa mapovu kutetea uozo. Masters hasa zile executive ni aibu. Ukitoa milioni 4 ya pembeni unaambiwa Kasubiri degree yako yaani umeshamaliza. Ushahidi ninao. Nikiruhusiwa na Kamuzora ntauweka hapa. Chuo changu Mzumbe HOYEE.
 
wako wengi...tena wanagraduate this year..

IS THIS NOT GENERALIZATION? WHAT ABOUT MWAKA JANA NA JUZI? NA UMEJUAJE KAMA WATAGRADUATE? UNAWEZA KUSEMA MTU ANAGRADUATE WAKATI BADO HAJAGRADUATE? PIA MAJINA YA GRADUATES HUWA YANAWEKWA WAZI -KWA KUTANGAZWA ILI MWENYE HOJA KINZANI AIWEKE DHIDI YAKE. JE KWA KUKAA NA USHAIDI WAKE TUTAKUONA UMESAIDIA JAMII NA UKUAJI WA ELIMU KWA UJUMLA? KWANINI USIMTAJE ALIYEDUKUA ILI ASHUGHULIKIWE NA VYOMBO HUSIKA. NA HATAKUMTAJA TU KWENYEVYOMBO KAMA HIVI ITATOSHA. NO DATA NO RIGHT TO SPEAK DOGO. GENERAL DISCUSSION ARE HIGHLY DISCOURAGED.

Kwa kuandika gazeti hujambo heeeeeh chezea uchakachuaji naona unatetea na kufikiri mzumbe wanaonewa hata kama umesoma pale kusudi la hii topic ni wabadilike na nini kifanyike sasa wewe mbona unatetea kwa nguvu sana kulikoni kwanini isiwe SUA Udom chuo cha juzi ha ha ha what a big shame kile chuo hapana mtu akisema ka graduate pale ninao majina kibao tu na haina haja kuwaharibia wao wakati wengi wamepita kimagumashi kiujanja janja tu waache wakae elimu ni zaidi ya cheti
 
Wakati simple minds, wakibishana kutwa nzima na kujivuna juu ya chuo kimoja kuwa bora kuliko kingine na hali hawana uhakika hata wa kuhitimu hizo 1st degree majirani zetu waganda wamezindua gari waliotengeneza wenyewe isiyotumia mafuta!!! wakenya ndio walimu na watangazaji wa kiswahili duniani sisi tunajivuna kuwa waasisi wa kiswahili so what??? kama umeelimika umelisaidiaje taifa lako, ushabiki wa chuo unaongeza vipi kipato chako!!! think twice'n change.

Hujaelewa topic mbona hii ni out of topic kaanzishe mada nyingine ya swala lako hapa hatubishanii vyuo wewe ndo simple mind uliyetoka nje ya mada
 
Kwa kuandika gazeti hujambo heeeeeh chezea uchakachuaji naona unatetea na kufikiri mzumbe wanaonewa hata kama umesoma pale kusudi la hii topic ni wabadilike na nini kifanyike sasa wewe mbona unatetea kwa nguvu sana kulikoni kwanini isiwe SUA Udom chuo cha juzi ha ha ha what a big shame kile chuo hapana mtu akisema ka graduate pale ninao majina kibao tu na haina haja kuwaharibia wao wakati wengi wamepita kimagumashi kiujanja janja tu waache wakae elimu ni zaidi ya cheti
NINAKUACHA KWA SABABU LENGO LANGU KUBWA ILIKUWA KUKUELIMISHA KUWA AT ALL TIMES BE SPECIFIC TO THE POINT AND STICK TO EVERY ISSUE ARISING.OUT OF IT. YES WEWE UNAONA NI kama GAZETI KWA KUWA WEWE HATA MISTARI MITATU HUWEzI ADIKA KUJENGA HOJA. I WILL NOT COMMENT AS OUR BRAINS ARE AT VARIANCE. TOPICK KAMA HII TULIIDISCUSS KWA KIREFU MWAKA 2006 humu humu kwenye forum. ndio maana nilikuwa ninaeleza kwa njia ya viashiria na wewe unaishia kujicontradict. goja niwaachie wengine watakusaidia labda.
 
PRIVATE ANNOUNCEMENT❗

Kama unaakaunti INSTAGRAM. Nahitaji kuwa connect na wewe. Nifollow kwa Jina la Mchoraji_Cyper55 , Nami nitafollowback

MCHORAJI_CYPER255.
 
People with reasonable minds wanajua namaanisha nn!!! But he/she who think simple, hutafsiri simpler na mwisho hurahisisha hoja na definately huona mwenzake yupo nje ya mada!!! Amka usingizini sasa na kuruhusu hoja mbadala na kuruhusu mageuzi akilini mwako!!
 
NINAKUACHA KWA SABABU LENGO LANGU KUBWA ILIKUWA KUKUELIMISHA KUWA AT ALL TIMES BE SPECIFIC TO THE POINT AND STICK TO EVERY ISSUE ARISING.OUT OF IT. YES WEWE UNAONA NI kama GAZETI KWA KUWA WEWE HATA MISTARI MITATU HUWEzI ADIKA KUJENGA HOJA. I WILL NOT COMMENT AS OUR BRAINS ARE AT VARIANCE. TOPICK KAMA HII TULIIDISCUSS KWA KIREFU MWAKA 2006 humu humu kwenye forum. ndio maana nilikuwa ninaeleza kwa njia ya viashiria na wewe unaishia kujicontradict. goja niwaachie wengine watakusaidia labda.

Am always specific wewe ndo Una ji contradict mwenyewe hueleweki unatetea sana uchakachuaji wawa somi kajanja ukweli unajua lakini unabisha tu sasa wewe unayejenga hoja kwanini uni quote nisiye jenga hoja wote mulemule hamna tofauti. Ukweli siku zote unauma eti hu comment kwa sababu tumetofautiana akili heeeeeeeeiya majanga ungekua na high thinking capacity ungekua hata Harvard sio kutetea wanao chakachua elimu hadharani kwa kuinunua kiukanjanja
 
Duuu,wasomi mnabishana kwa panic hivo,ndiyomaana wazee wwanajenga hoja kuwasisi vijana hatutakiwi kuwa rais wa nchi,kwa hii mihemko yeti,nikweli nakubaliana nao,mana kwa style hii ukipewa nchi kijana,mambo ya ajabu sana yatatokea.huku mitaan wachapa kaz wengi ni wakawaida turn,awajasoma saaana.na nyie wa mamasters,iwe yapopote,hawa wazee lazma wawaelekeze kazi...tz tunakasoro ktk elimu yeti,hata udsm chuo kikongwe pia ni mhanga tu,mainjinia wa hapo nao ni kama mafundi mchundo kama wa kwingine tu,wamegundua nini cha mana,?wakati nasoma pale,coet classes utaona maandishi madogo madogo sn kwenye kuta na benches,hizo zote ni cheating za exams.
miaka ya 2003pale engeneering hata lift zilikuwa mbovu licha ya kuwawataalamu wote wako palena wanafundishia hapo. sijui sasa hivi zilishategenezwa. walewale walimu ndio walikuwa mafisadi. unakumbuka kashfa ya car parks na na halls za yombo mpya. haya yote yananifanya nikatae atakata kujipaka mafuta kwa juu wakati ndani uozo mtupu. we have to change the whole system in our education. ni bahati mbaya tu luwa vijana wadogo hawanielewi hatakidogo ingawa ninawapeeka taratibu ili wafumbuke.macho na waonemema na.mabaya.
 
Am always specific wewe ndo Una ji contradict mwenyewe hueleweki unatetea sana uchakachuaji wawa somi kajanja ukweli unajua lakini unabisha tu sasa wewe unayejenga hoja kwanini uni quote nisiye jenga hoja wote mulemule hamna tofauti. Ukweli siku zote unauma eti hu comment kwa sababu tumetofautiana akili heeeeeeeeiya majanga ungekua na high thinking capacity ungekua hata Harvard sio kutetea wanao chakachua elimu hadharani kwa kuinunua kiukanjanja
nimekuuliza nani kachakachuo hadi sasa hujamtaja that means you have no answer. unaongelea HAVARD UNIVERSITY AU? ok. wewe mbona hauko huko?mimi ni zaidi ya aliyesoma harvad university sababu ni nyingi sana. kaka wa kutukuza vyuo nimekuona. wewe dogo. kweli
 
Usikimbilie eti nitaje ndo utafikiri ita change situations ya mzumbe unafikiri natia eeh mi sio dogo ungenijibu hoja yangu kusemea uchakachuaji wa Mzumbe umeshaniita maneno kibao Mara tumetofautiana akili unanielewesha ndo mana nikakwambia ungekua na akili hata chembe ungekua Harvard chuo kinacho heshimika dunia badala unijibu unakuja na hoja ya dogo Mara kushindanisha vyuo na dharau zako is how really great thinker argue critically ha ha ha ha loh hafu mie sio kaka sijui inahusikaje na topic hapa hatushindanishi vyuo eeh kwahyo utetezi wako ni kutaja ili nikiwataja ndo watakua hawacha kachui eeeeeh really?????????????????????!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom