instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
Nadhani cha muhimu hapa ni kuangalia hiyo AD aliichukulia wapi? kuna vyuo vinatoa AD bora hata kuliko 1st Degree ya Baadhi ya vyuo. Mzumbe being one miaka ya nyuma. Lakini sasa wanachukua AD hata ya vyuo visivyo na hadhi kabisa
Kama chuo gani jomba.. Unataka wawabague ili mseme mzumbe ni wabaguzi
nasisitiza ubovu wa masters yko ni kichwa chako mwenyewe.....