mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Why Kigamboni? Nikiangalia Resources zinazokwenda hapo sipati justification.
La swali la msingi, tunataka kufanya Land Reclamation Tanzania? Kwa nini?
Na kama hatuhitaji, kwa nini mlienda kujifunza?
Kuna case moja ya TZ na mikaratusi Australia nayo ilikuwa hivi hivi
walienda kukutana na wawekezaji (wafanyabiashara wa singapore) ili waje kuwekeza TZ, ndo wakaandaliwa na wenyeji wao kwenda kuangalia eneo mojawapo la uwekezaji nchini kwao, kwahiyo siyo kwamba walienda kujifunza land reclamation