Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,659
Kulikuwa na plan ya kujenga mji mpya arusha maeneo ya kisongo plan ikafa arusha na mwanza ni majiji yanayokuwa kwa kasi lakini miundo mbinu na mipangilio bado mibovu,Mheshimiwa tunaomba mtupangie mjia na majiji mapya mfano badala ya kukazana kutengeneza jiji la dar es salaam upya,tengengenezeni jiji jipya la dar es salaam new dar esalaam mtoke njee ya jiji la sasa nakuanzisha jiji jipya tena mkoa wa pwani ikiwezekana maeneo yapo yakutosha.