Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

MASSAGE katika saloon ni mtindo wa kusugusugua mwili kwa kuupaka kwanza na dawa maalumu ili kuondoa uchafu na kuufanya mwili uwe safi,pale pale MASK nayo hupakwa usoni kwa lengo la kuinadhifisha sura.

TATIZO SIYO MASSAGE AMA MASK,
tatizo ni hao wadada kwanza WANAVAA NGUO ZA KUTEGA NA WAKATI MWINGINE ni wazuri sana, mbaya zaidi wakianza kukusuguasugua, mara waguse masikioni tena taraatibu hadi stimu zinapanda na unafumba macho na kausingizi kwa mbali kanasogea.

JAMANI MNATUTEGA na mwisho tunashawishika na tunaamua KUWAOMBA moja kwa moja.

dah mshikaji unawaza ngono tu
 
Kama hivyo si muachane nayo jamani. Na kama mtu unapenda sana massage unanunua vitu mkeo anakufanyia home ili mambo yakitibuka unakuwa upo salama.
Bia ya kunywea nyumbani hua haina stimu mkuu,

Raha ya bia uinywee Bar.
 
Ni demu gani huyo anaekubali boy wake kushikwashikwa na mwanamke mwingine mbele yake?Dhubutu uone balaa lake.
sasa kama unajijua huwezi kuvumilia kushikwa shikwa kwa nini unaendwa kufanyiwa massage
 
Toeni recommendations na directions pia. Maana naona mnazunguka tu.
 
hao wadada wanakuwa na condom kabisa,kuna siku nilienda kwa wachinese,mara baada ya kumaliza wakaniambia kama nataka huduma nyingine,nikawambia huduma gani wakasema kugegeda tena dolla 100,nikawambia mshindwe na mlegee kwa jina la yesu
 
Unaosha? La hasha, nitaenda kuoga home! Huo ndo mpango mzima kwangu.

Wengine steam zetu zipo karibu, unashangaa mtu anakusafisha mapigo ya moyo na kuhema kunabadilika. Nikajisemea isije ikatokea nimekumbatia mtu, bora kwenda kupata matomaso na mamsapu home.
 
Dola mia?Mbona hela mingi sana hiyo.
Duh kazi kweli.
 
Unaosha? La hasha, nitaenda kuoga home! Huo ndo mpango mzima kwangu.

Wengine steam zetu zipo karibu, unashangaa mtu anakusafisha mapigo ya moyo na kuhema kunabadilika. Nikajisemea isije ikatokea nimekumbatia mtu, bora kwenda kupata matomaso na mamsapu home.

Bora yako ushashitukia dili.
 
Husomi wanachochangia wadau mpaka hauoni recomendations?

Nafikiri anamaanisha unataja kabisa kwamba Saluni Fulani A, Saluni Fulan B+, nyingine A+ nk, ili kama unaenda ni moja kwa moja kwa sababu tayari gredi ziko.
 
sasa kama unajijua huwezi kuvumilia kushikwa shikwa kwa nini unaendwa kufanyiwa massage

Nahisi umenijibu bila kusoma nilichokujibu.
Umeshauri kwenda na mke/demu wangu ili baadae nimalize stimu zangu kwa demu wangu,swali,je huyo demu wangu atakubali kuona mimi nashikwashikwa huku akishuhudia?Dhubutu hawezi kukubali kwa saaabu ya wivu
 
Mbona balaa kama ndo hivi.duh

balaah gani,nilifanya utafiti nikagundua wale wachina kuna siku wanatengeneza adi $ 5000,kaMA MILLION 8 KWA SIKU,ujanja ni hivi wakikufanyia massage na ukadu nao unawai sana kumaliza,hivo ela yako inaenda fasta,na wakubwa wengi tena wazee upenda kwenda hapo,mpaka mawaziri tena wanaacha ela ndefu
 
Hii dunia hii dunia wacha kabisa
 
Dah...hii kitu isikieni tu mazee...mi nilienda Parlour moja mitaa ya K'ndoni jiran na makaburini....ni hatareeeeeee..
Kwanza kufika tu mapokezi nikakutana na warembo kibao..wananipokea kwa bashasha sana..walikuwa kama sita hivi.wenyewe wakanambia chagua unaemtaka...mi nukijua ni huduma ya massage tuuuu...mara nikaambiwa niende bafuni kuna maji ya uvuguvugu,mara nikapelekwa chumbani...mafuta ya cloves yana uvuguvugu,powder na mazaga kibao..nikaulizwa "tuanze na soft au hard massage?"....kidume sijui lolote.
Nikakandwa huku na kule...vidole masikioni...mara nikapewa massage ya kichwa...walltaah kichwa kikawa chepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
Akili imekuja kurudi nipo Magomeni Usalama konda ndo ananidai nauli...nacheki mfukoni nimebakiwa na jero,wakati parlour niliingia na elfu sitini...hata sijui nilizitoaje,akili inakumbuka swali la mwisho lilikuwa nikuwekee mziki gani...nikajibu slow jams,chumba gizagiza ni mwanga wa mshumaa tu...kaa hujawahi enda haya maeneo usiridie tena kujarbu wala usithubutu katuuuuuu

..
 
BARAFU.
Ha ha ha ha ha ha. umetisha sana yani ni noma,59,500/= yote ulimkabidhi bidada ukafanya yako,kuja kushituka eti upo ndani ya daladala.
Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom