Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

MASSAGE katika saloon ni mtindo wa kusugusugua mwili kwa kuupaka kwanza na dawa maalumu ili kuondoa uchafu na kuufanya mwili uwe safi,pale pale MASK nayo hupakwa usoni kwa lengo la kuinadhifisha sura.

TATIZO SIYO MASSAGE AMA MASK,
tatizo ni hao wadada kwanza WANAVAA NGUO ZA KUTEGA NA WAKATI MWINGINE ni wazuri sana, mbaya zaidi wakianza kukusuguasugua, mara waguse masikioni tena taraatibu hadi stimu zinapanda na unafumba macho na kausingizi kwa mbali kanasogea.

JAMANI MNATUTEGA na mwisho tunashawishika na tunaamua KUWAOMBA moja kwa moja.

Mh! Interesting:

##Ugulinda na-mbiti yhugatyuja hajigulu m'mho yalimbula##

Source Please?!
 
Wanamakusudi sana hawa watu, binafsi sijawahi tembelea MASSAGE PARLOUR hapo Dar lakini facial scrub yaani kila nikienda kutengeneza kichwa lazima nifanye hiyo kitu. Tena hiyo sehemu sharti la kwanza ukiingia hiyo chamber unakutana na wadada watamu hatari watoto weupeee unavuliva shati kwanza wakati lengo ni facial scrub tu. Usipowaomba namba ya simu baada ya huduma wewe kweli kidume committed.

Mkuu hapo kwenye red umeharibu, utasababisha walio weusi kunywa tindikali. hahahaha...............
 
Mh! Interesting:

##Ugulinda na-mbiti yhugatyuja hajigulu m'mho yalimbula##

Source Please?!

Hicho ni kisukuma.
Tafsri yake.
KUTOKEA MPAKA FISI AKATELEZA KWENYE KICHUGUU UJUE MVUA KUBWA SANA IMENYESHA,inaaminika fisi hawezi kuteleza,usukumani utelezi mkubwa ni mpaka kwenye kichuguu,lakini pamoja na ukweli huo bado ni jambo la ajabu kuona fisi kateleza,kifupi haiwezekani fisi kuteleza kwenye utelezi wowote.
 
Saaaaaana, sio TZ tu, sehemu nyingi tu duniani, japo asili hasa ya massage ni tiba ya tissue, ligament, viungo na vingine vinavyofanana navyo! Whether superficially or internally.

Usiwaone watu wanazama humo ukadhani ati ni mikando tu! Kimsingi hii kitu ilitakiwa ifanywe na wataalamu wa tiba, lakini ndugu yangu binadamu alivoshindikana. Ni aina ya mauzo ya ngono yaliyona na sura nyingine!

Mara nyingi wanaume kwa wanawake, na wanawake kwa wanaume! Na hakuna mwanamke wa massage parlour mwenye sura mbaya! wote nta kinyama. My friend if you have never been there don't try ever!

Don't try this at home.
 
Mm nadhan mtu ukienda mara ya kwanza alafu ukarudia mara ya pili basi na ww umependa kupandishwa stimu so haina neno,mana kama hujapenda hyo tabia hutorudi tena

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Lazima urudi aisee, chezea watoto wa kike wewe.
 
Mkuu hapo kwenye red umeharibu, utasababisha walio weusi kunywa tindikali. hahahaha...............

Ha ha haaaa!! Ngoja nikiri udhaifu wangu Mkuu kuwa Rangi nyeupe inaniua kabisa aisee sijui kwanini?
 
Mkuu hapo kwenye red umeharibu, utasababisha walio weusi kunywa tindikali. hahahaha...............

Wee, tindikali haimezeki ng'o, itakomea hapo hapo mdomoni na habari yako inaishia hapo hapo
 
Hicho ni kisukuma.
Tafsri yake.
KUTOKEA MPAKA FISI AKATELEZA KWENYE KICHUGUU UJUE MVUA KUBWA SANA IMENYESHA,inaaminika fisi hawezi kuteleza,usukumani utelezi mkubwa ni mpaka kwenye kichuguu,lakini pamoja na ukweli huo bado ni jambo la ajabu kuona fisi kateleza,kifupi haiwezekani fisi kuteleza kwenye utelezi wowote.

Aliotunga huu msemo anaakili sana! Wewe hujamwelewa tu Fisi anateleza ila ujuwe huo utelezi mkali!
Hujakutana na utelezi wa massage palour wewe! Utelezi huwa mkali ndugu yangu!
 
Ha ha haaaa!! Ngoja nikili udhaifu wangu Mkuu kuwa Rangi nyeupe inaniua kabisa aisee sijui kwanini?

Unadhani hata kunako juu ya magoti ya wadada mpaka kiunoni nini kinavutia,ni weupe,mana kadri unavyopanda kuelekea ikulu ndo mambo muruamurua
 
Aliotunga huu msemo anaakili sana! Wewe hujamwelewa tu Fisi anateleza ila ujuwe huo utelezi mkali!
Hujakutana na utelezi wa massage palour wewe! Utelezi huwa mkali ndugu yangu!

Hii nayo neno,aya bhana,anga za kunako massage parlour si mchezo,laini kama unanawa,kitu lazima kishituke hata kama stimu ni za kuunga unga
 
We nawe bado sana! Kwa taarifa yako wakiona uko honest and loyal to their stuff! Unapelekwa site afu unachaguwa kiulaiiiini, we ni kupanga misimbazi tu! kumi, ishirini!
Ukweli ni kuwa wanawake wale wanajiuza ila kwa bei ghali tofauti na malaya wa mtaani. Kutoa Tshs 100,000 kwa ajili ya bao moja tena katika mazingira ya ajabu ni jambo la hatari.

Kwa hiyo kama ukiwa domo zege ndiyo itabidi uache mpake laki mbili ambazo kama una hela ya ngama utaondoka unajilani mpaka mwezi unakatika kwa ujinga ulioufanya.

Binafsi nawaomba wandugu kujihadhari na michezo hii ya kipuuzi.
 
Unajuwa ukiamua kwenda pale swala la upungufu wa hela hakuna!
Mihela kibao unaitafutia kazi za kufanya, We inaelekea kuhonga mgumu sana!
 
nenda na mkeo....

Hawakuhudumii ipasavyo ng'o! Na wakiamua kukuzinguwa unatenganishwa na mkeo kwa ka-patition hivi afu utamsikia mkeo kwa chati anavyogugumia miguno hujawahi kuisikia tangu umwowe!
Kitakachobakia wivu na hurudi tena na mkeo! na kwa upande wako huduma haitanoga.
 
Ukweli ni kuwa wanawake wale wanajiuza ila kwa bei ghali tofauti na malaya wa mtaani. Kutoa Tshs 100,000 kwa ajili ya bao moja tena katika mazingira ya ajabu ni jambo la hatari.

Kwa hiyo kama ukiwa domo zege ndiyo itabidi uache mpake laki mbili ambazo kama una hela ya ngama utaondoka unajilani mpaka mwezi unakatika kwa ujinga ulioufanya.

Binafsi nawaomba wandugu kujihadhari na michezo hii ya kipuuzi.

Duh,kazi ipo,ila hiyo laki ni kubwa mno,hata 10,000 wale wanachukua.
 
Back
Top Bottom