Ngoshaspecial
Member
- Aug 14, 2013
- 10
- 1
Hakuna Mkate mgumu mbele ya chai...
Veve kama mimiHuku shamba masuala ya massage tunayasoma kwenye mitandao tu. Sisi huku early in da morning begani iko jembe, nyengo na panga iko kwenda shambani 'n late in da afternoon iko kuja jumbani natoka meoga porini huko hapana ruhusu mtu ingine gusagusa mili yangu. Kama nywere nachana menyeve, eee..!!??? baba.
Hahahaha@barafu uminivunja mbavu...sasa kichwa kipi kilipewa massage!...dadavua plizi...
hao wadada wanakuwa na condom kabisa,kuna siku nilienda kwa wachinese,mara baada ya kumaliza wakaniambia kama nataka huduma nyingine,nikawambia huduma gani wakasema kugegeda tena dolla 100,nikawambia mshindwe na mlegee kwa jina la yesu
Hahahaha@barafu uminivunja mbavu...sasa kichwa kipi kilipewa massage!...dadavua plizi...
nimesoma ulichocomment sema hujaelewa nilichoaanisha nilikuwa sifanyi refernce kwako mojakwamoja i meant kwa watu wote kama huwezi zjizuia na feeling za kushikwashikwa na warembo basi bora usiende kufanyiiwa massage ubaki nyumbani kama mimiNahisi umenijibu bila kusoma nilichokujibu.
Umeshauri kwenda na mke/demu wangu ili baadae nimalize stimu zangu kwa demu wangu,swali,je huyo demu wangu atakubali kuona mimi nashikwashikwa huku akishuhudia?Dhubutu hawezi kukubali kwa saaabu ya wivu
Katika vitu ambavyo sipendi na sitaruhusu ni hubby wangu kwenda kufanyiwa MASSAGE ni mimi mwenyewe ndo fundi wake siku za weekend.
Ni mpaka akwambie kwamba anaendaga, hatusemagi.
Wanazidisha hadi wanaudhi.Mkuu Sigma,
Kifua cha Mdada umeweka kama tafsida tu. But reality ni kwenye matiti ya mdada. Hapo vidole vyake vinatambaa sikioni taratiiibu na saa zingine hata kukukanda kwenye shingo na kingo zake.
Nenda B2 pale Sinza Moli uone kama hujaacha wekundu wawili bila kujijua.
Ila nilichokuja kugundua wale wadada wako after money sana. Unaweza ukamuachia chenji ya kutosha tu na asiseme ahsante, kwamba ashaingiza siku so hana mpango tena na wewe, anasubiri kichwa kingine
we kama husemagi is u ila kila weekend namfanyia hata hivyo kutoridhika ni kawaida kwenu.
Wanazidisha hadi wanaudhi.
Mi nachukia sana especially nikiwa na haraka.
Kama hutaki kuwa entertain unaenda umevaa uso wa mbuzi.
Kama ni scrub basi hakuna kupiga nao story.
hahahahah hii maada ni kiboko,kuna mzee nilimsikia kwenye chemba pale BM saloon kinondoni manyanya analia kama mototo isee,pale scrub yake sio msihara maana kichwa kinapakatwa katikati ya matiti alafu unaanza kusuguliwa uso nywele masikioni zinatotewa na ulimi ni hatar kbs,pale ukienda inabidi ume umevaa pampers maana unaweza kutoka umeloana suruali yote!
am tempted to know what happened tell me pls
MASSAGE katika saloon ni mtindo wa kusugusugua mwili kwa kuupaka kwanza na dawa maalumu ili kuondoa uchafu na kuufanya mwili uwe safi,pale pale MASK nayo hupakwa usoni kwa lengo la kuinadhifisha sura.
TATIZO SIYO MASSAGE AMA MASK,
tatizo ni hao wadada kwanza WANAVAA NGUO ZA KUTEGA NA WAKATI MWINGINE ni wazuri sana, mbaya zaidi wakianza kukusuguasugua, mara waguse masikioni tena taraatibu hadi stimu zinapanda na unafumba macho na kausingizi kwa mbali kanasogea.
JAMANI MNATUTEGA na mwisho tunashawishika na tunaamua KUWAOMBA moja kwa moja.
Dah...hii kitu isikieni tu mazee...mi nilienda Parlour moja mitaa ya K'ndoni jiran na makaburini....ni hatareeeeeee..
Kwanza kufika tu mapokezi nikakutana na warembo kibao..wananipokea kwa bashasha sana..walikuwa kama sita hivi.wenyewe wakanambia chagua unaemtaka...mi nukijua ni huduma ya massage tuuuu...mara nikaambiwa niende bafuni kuna maji ya uvuguvugu,mara nikapelekwa chumbani...mafuta ya cloves yana uvuguvugu,powder na mazaga kibao..nikaulizwa "tuanze na soft au hard massage?"....kidume sijui lolote.
Nikakandwa huku na kule...vidole masikioni...mara nikapewa massage ya kichwa...walltaah kichwa kikawa chepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
Akili imekuja kurudi nipo Magomeni Usalama konda ndo ananidai nauli...nacheki mfukoni nimebakiwa na jero,wakati parlour niliingia na elfu sitini...hata sijui nilizitoaje,akili inakumbuka swali la mwisho lilikuwa nikuwekee mziki gani...nikajibu slow jams,chumba gizagiza ni mwanga wa mshumaa tu...kaa hujawahi enda haya maeneo usiridie tena kujarbu wala usithubutu katuuuuuu
..
Kamanda umenimaliza,nimecheka vibaya sana,sasa nightdress ya nini tena?mimi mwenyewe mambo ya scrub nilishaacha kuna dada mmoja alipomaliza ku-scrub uso akaamia shingoni aisee ni balaa.Usiombe ukakutana na masaage pale kijitonyama,nakumbuka niliwahi kuwapeleka washkaji zangu flani toka nje,ni balaa kuna watoto wazuri usiseme,halafu wamekuvalia night dress,sasa hapo ukiingia room kukandwa piga uwa watakufanyia kila upuuzi mpaka network itakuwa full,mwisho utataka mzigo,
Ukweli kuwa massage ni kisingizo tu lakini yale ni madanguro tu
Ha ha ha ha,
Kinondoni hadi Magomeni ulikua bado "baoni"