Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Utawekaje maisha yako rehani kwa tamaa ya nusu saa?? Jamani wapendeni wapenzi wenu na achaneni na huu uchafu

Kaka kunako huo mchezo network zinakata kabisa, baada ya tukio ndio mtu anaanza kujuta.
 
Utawekaje maisha yako rehani kwa tamaa ya nusu saa?? Jamani wapendeni wapenzi wenu na achaneni na huu uchafu

Kwa taarifa yako mle ndani kuna kondomu za kutosha tu, we unachofanya ni kuongeza misimbazi tu!
Aaaaaaaagh kiroho safi!
 
Ngumu kuamini hahaahaah...!!!!!


Lazima alilipia huduma za ziada ambazo katika utaratibu wake hazikuwa katika ratiba wala matarajio.

Hakuwa na uwezo wa kuhimili mipapaso ya kuhemkisha mwili akajikuta ndani ya kuomba huduma zaid na zaid
 
Siingii saloon za namna hiyo hata siku moja, hiyo scrub nafanyiwa na "mke" wangu...........kuna saloon maalumu ambayo upuuzi huo hakuna na ina wateja balaa ambao walishatoa taarifa kwa mwenye saloon siku akiweka huo upuuzi wanakata mguu.

We nawe bado sana! Kwa taarifa yako wakiona uko honest and loyal to their stuff! Unapelekwa site afu unachaguwa kiulaiiiini, we ni kupanga misimbazi tu! kumi, ishirini!
 
Mkuu tatizo siku hizi karibu saloon zote zina huo upuuzi.......inakuwa ngumu kukwepa.


Mkuu kwani lazima kuenda huko? Nijuzeni maana mimi siendagi huko! ujasili wa kuhimili mipapaso mwilini sina.
 
Hii kitu lah! endeleen tu.

Mimi nitaendelea kuwa mshamba kama enzi zile ambazo haya mambo hayakuwepo wala kujulikana.

Raha zingine inabidi waendelee wenye uzalendo zaid wa kumudu mipapaso

Scrub tulikuwa nayo WASUKUMA toka enzi na enzi ila ilikuwa spesheli kwa maharusi tu.
Kwa hiyo ilifanywa once per person's life.
Seme ile haikuwa kiuchokozi kama hizi,loh
 
We nawe bado sana! Kwa taarifa yako wakiona uko honest and loyal to their stuff! Unapelekwa site afu unachaguwa kiulaiiiini, we ni kupanga misimbazi tu! kumi, ishirini!

Siwezi kuhimili hiyo mipapaso ndio maana sihitaji kwenda sehemu za namna hiyo....
 
Upo wapi nikuelekeze....

Nenda Sinza si umeambiwa wapo wanaongojea kuelekezwa! waombe ushauri multmandalin, Kaizer nk

Mimi sihitaji kuelekezwa maana kwangu si muhim bali nawahangaa mnapolalama kwa huduma mnazozifuta kwa magari na

miguu yenu wenyewe bila shuruti. Manapoingizwa majaribuni manaanza kulalama. watakula wapi? wapeni vijesenti wanavihitaji.
 
Mkuu inaonekana wewe ni mzoefu kwenye anga hizo....!!!!


Saaaaaana, sio TZ tu, sehemu nyingi tu duniani, japo asili hasa ya massage ni tiba ya tissue, ligament, viungo na vingine vinavyofanana navyo! Whether superficially or internally.

Usiwaone watu wanazama humo ukadhani ati ni mikando tu! Kimsingi hii kitu ilitakiwa ifanywe na wataalamu wa tiba, lakini ndugu yangu binadamu alivyoshindikana. Ni aina ya mauzo ya ngono yaliyo na na sura nyingine!

Mara nyingi wanaume kwa wanawake, na wanawake kwa wanaume! Na hakuna mwanamke wa massage parlour mwenye sura mbaya! wote nta kinyama. My friend if you have never been there don't try ever!
 
Siingii saloon za namna hiyo hata siku moja, hiyo scrub nafanyiwa na "mke" wangu...........kuna saloon maalumu ambayo upuuzi huo hakuna na ina wateja balaa ambao walishatoa taarifa kwa mwenye saloon siku akiweka huo upuuzi wanakata mguu.

Kama hutaki shida hii saloon inafaa sana kwako
 
Mm nadhan mtu ukienda mara ya kwanza alafu ukarudia mara ya pili basi na ww umependa kupandishwa stimu so haina neno, maana kama hujapenda hyo tabia hutorudi tena

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom