Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Mkuu Sigma,

Kifua cha Mdada umeweka kama tafsida tu. But reality ni kwenye matiti ya mdada. Hapo vidole vyake vinatambaa sikioni taratiiibu na saa zingine hata kukukanda kwenye shingo na kingo zake.

Nenda B2 pale Sinza Moli uone kama hujaacha wekundu wawili bila kujijua.
Ila nilichokuja kugundua wale wadada wako after money sana. Unaweza ukamuachia chenji ya kutosha tu na asiseme ahsante, kwamba ashaingiza siku so hana mpango tena na wewe, anasubiri kichwa kingine

Eehe, watu wanatoa uzoefu hapa hapa, wewe uliacha wekundu wangapi mkuu? Nauliza tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama hivyo si muachane nayo jamani. Na kama mtu unapenda sana massage unanunua vitu mkeo anakufanyia home ili mambo yakitibuka unakuwa upo salama.
Sahau, yaani saloon ihamishiwe home? Halafu mambo mengine yataka uzoefu, si kila mwanamke ataweza, labda uoe hao hao wadada,
 
Ombeni kufanyiwa scrub na wakaka mtaenjoy na vikwapa vyao
 
Hii kitu lah! Endeleeni tu.

Mimi nitaendelea kuwa mshamba kama enzi zile ambazo haya mambo hayakuwepo wala kujulikana.

Raha zingine inabidi waendelee wenye uzalendo zaid wa kumudu mipapaso
 
Nilishawahi kufanyiwa facial scrub pale Sinza na mdada mmoja mzuri ana boobs kubwa ziko nje nje basi akaweka kichwa changu kifuani kwake hapo nikajikaza kimtindo huku akili yangu ikiwaza hayo ma.t.t. Lahaula! Uzalendo ulinishinda pale alipoanza kutembeza vidole vyake laini kuanzia usoni, shingoni mpaka sehemu ya juu ya kifua changu, mapigo ya moyo yalienda fasta na mashine ikaanza kunyanyuka mdogo mdogo kama cranes za TPA. Nikaanza kuzuga mara niwambie asubiri nichek sms na missed call..[hata yeye alijua kabisa nimezidiwa kwa kuona jasho jingi likinitoka]

Mpaka anamaliza kazi yake mi hoi nampimia tu na kumthaminisha kupitia kioo kilichokuwa mbele yangu hatimae nililimaliza dukuduku langu baada ya kwenda kuoshwa sehemu ya FARAGHA...

Guess what happened..!
 
Ulimtafuna....?
 
Siingii saloon za namna hiyo hata siku moja, hiyo scrub nafanyiwa na "mke" wangu...........kuna saloon maalumu ambayo upuuzi huo hakuna na ina wateja balaa ambao walishatoa taarifa kwa mwenye saloon siku akiweka huo upuuzi wanakata mguu.
 
MASSAGE katika saloon ni mtindo wa kusugusugua mwili kwa kuupaka kwanza na dawa maalumu ili kuondoa uchafu na kuufanya mwili uwe safi,pale pale MASK nayo hupakwa usoni kwa lengo la kuinadhifisha sura.

TATIZO SIYO MASSAGE AMA MASK,
tatizo ni hao wadada kwanza WANAVAA NGUO ZA KUTEGA NA WAKATI MWINGINE ni wazuri sana, mbaya zaidi wakianza kukusuguasugua, mara waguse masikioni tena taraatibu hadi stimu zinapanda na unafumba macho na kausingizi kwa mbali kanasogea.

JAMANI MNATUTEGA na mwisho tunashawishika na tunaamua KUWAOMBA moja kwa moja.

We bado mtoto sana! Unauliza wahindi India?
 
Back
Top Bottom