Kwani mtu mpaka anaenda saluni hajua anachokitaka mpaka aanze kubembelezwa? Ni usumbufu kwa kweli..Watu mna roho za ajabu sana.
Wale nao wanatafuta chochote kitu ili waweze kula, kuvaa, kuishi pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili katika maisha. Hivyo kwa vyovyote vile lazima ajitahidi kwa kila hali akubembeleze ili ukubali huduma yake. Kama huipendi si basi, sasa kuja kulalama humu kwanini!!!
Tujifunze kutoa riziki kwa wengine ili na sisi tupate riziki zetu.Si vyema kila jambo kulifikiria negatively.