hahaha blazaaa wale wadada ni nomaa...kuna siku nilimkuta mzee saloon anakunjakunja sura nkashangaa vp...kumbe kuna kadada anacheza na kichwa hukuKuna jamaa nilimkuta mguu mmoja kainua juu kwa utamu.Kucheki vizuri kumbe yule dada kidole chake kimoja kiko sikioni mwa yule jamaa anasugua huku akiongea na cm.
We jamaa una akili sana.Wanaboa sana halafu umewahi kuwaza mikono wanayo tumia kukufanyia scrub ndo wanatumia kuoshea papuchi?Toka niwaze hivyo sifanyi tena scrub
Teh teh teh! Lakin nyie!hahaha blazaaa wale wadada ni nomaa...kuna siku nilimkuta mzee saloon anakunjakunja sura nkashangaa vp...kumbe kuna kadada anacheza na kichwa huku
Na mikono hiyohiyo ndo wanayochujia nazi na kukatia nyanya wakipika ptyuu..Wanaboa sana halafu umewahi kuwaza mikono wanayo tumia kukufanyia scrub ndo wanatumia kuoshea papuchi?Toka niwaze hivyo sifanyi tena scrub
Ni machangu mkuu sema sio wa kujionyesha. Jaribu kuwafungukia uone.Hawana adabu! kwanza vaaji yao waliowengi ni ya kichangudoa.
Kwanza hawana muda wa kuwa humu jukwaani kwa hiyo huu uzi unatwanga maji! Sana sana kwenye MMU ndo maeneo yao ya kuwindia! Avatar zao utazijua tu!
Sehemu gani iyo mkuu na mimi nikafanyiwe scrub!!?Kuna kamoja pale sinza kalinilazimisha kakaanza kunchoma na vichuchu vyake , shetan likanipanda nikakagegeda najilaumu
Mkuu pale sinza mori kweny sheli mbele, mafankio mema uendako, usisahau kuleta mrejesho hapaSehemu gani iyo mkuu na mimi nikafanyiwe scrub!!?
Na wengi wameunguaAsilimia kubwa wanakuwa ni machangudoa
Acheni kuhalibu kaz za watu watu ndio tunajipoozea uko , kwan machangu kila sehem wapo hata maofisini ..acheni hizo alaaaNa wengi wameungua
Mkuu kumbe ni kule mori!!?Mkuu pale sinza mori kweny sheli mbele, mafankio mema uendako, usisahau kuleta mrejesho hapa
Ukimchunguza bata sana uwezi kula , tafuna tuMkuu kumbe ni kule mori!!?
Mmmh wale nahisi wakikosa wateja usiku wanatafuta mchana
OMG