Massage Parlours/madanguro

Massage Parlours/madanguro

Mie naona kama vyumba vya upasuaji.....kweli tembea uone....sasa mfano huyo dada kalala hapo...hyo mashine nyeupe pembeni inamfanya nn??

Ha ha haaa...wala hujakosea ni kweli tembea uone. Hiyo ni mashine ya facial na hapo pembeni kuna Sauna steam bath.
Hizo ni huduma za skin care treatment na zinatolewa na staff professionals wenye ujuzi wa hali ya juu kama hospital.
image.jpg
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    389 KB · Views: 399
  • image.jpg
    image.jpg
    396.2 KB · Views: 414
  • image.jpg
    image.jpg
    168.4 KB · Views: 409
so waaniasha kama demu wako anafanya kazi hiyo sekra ndio keshakuwa dadahuruma...na usimwonegeele sababu kodi inalipwa...kama mamtooni pale "red light street"
#shy
 
Mkuu Abdulhalim,

Umasikini ndio chanzo cha mambo kama haya. Ukitaka mambo haya yaishe kwenye jamii, njoo na mipango endelevu ya kuondoa umasikini, otherwise tutaendelea kulaumu kumomonyoka kwa maadili, ukahaba, matumizi ya madawa ya kulevya n.k. Umasikini ndiye adui yetu namba moja kwa sasa.

Tiba

Ukahaba ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo daima dumu; mwanaume ameumbwa kupata kitu saa na dakika anayotaka yaani mwanamke awe tayari kwa saa na dakika isiyo na jina: angalia sasa matatizo tuliyonayo kwa vidada vya siku hizi eti mtu ni girlfriend wako lakini papuchi ufanye kuvizia siku akiwa off; mara kasafiri, mara bosi hivi na vile shida yote ya nini wakati inajulikana vipo vinavyosubiria tena kwa maombi?
 
MillionHairs Pazuri sana kumbe,nikipita kwa nje naona ni sehemu ndogo,ila majina ya hapo ni shida inatuogopesha hata sie walalahoi maana hapo pembeni pana Billionea Club.

Ni kweli usemacho...ukipita kwa nje unaweza ukaona au kudhania kuwa ni sehemu ndogo sana. Hiyo Salon kwa ndani ina square mita 700...wana rooms 5 za beauty clinic na mambo mengine. Ndiyo maana nasema uenda hiyo ndiyo the best salon in Dar.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    398.1 KB · Views: 376
  • image.jpg
    image.jpg
    547.7 KB · Views: 345
  • image.jpg
    image.jpg
    561.3 KB · Views: 347
Barafu,uko wapi mkuu? Nakusubiria hapa uoneshe unafiki wangu...tupia hizo comment nione unafiki wangu.

karibu tuendelee
 
Ukahaba ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo daima dumu; mwanaume ameumbwa kupata kitu saa na dakika anayotaka yaani mwanamke awe tayari kwa saa na dakika isiyo na jina: angalia sasa matatizo tuliyonayo kwa vidada vya siku hizi eti mtu ni girlfriend wako lakini papuchi ufanye kuvizia siku akiwa off; mara kasafiri, mara bosi hivi na vile shida yote ya nini wakati inajulikana vipo vinavyosubiria tena kwa maombi?

Na kesi nyingi za kuchepuka zinahusisha wanandoa ambao wote wanafanya kazi...hebu chukulia unarudi nyumbani una hamu na mkeo unakuta bado hajarudi....wakati unamsubiria mara anakupigia simu kuwa atachelewa maana wana kikao cha dharula ofisini kwao...unavuta subira hadi anarudi kazini...unasema yes huu ndio muda muafaka wa kumfaidi wife...upo bedroom unamsubiria aje akitokea sitting room au dining room...mara unamuona akija kwa uchovu mwingi....huku akikwambia kuwa leo haiwezekani kwani amechoka sana na kazi za ofisini...unamuangaia kwa mshangao huku boksa ikiwa imetuna kwani jamaa anataka haki yake...unakubali matokeo huku ukijilaza kinyonge ukiwaza plan B....na hapo ndipo unapofikiria kuwa na wa pembeni ili kumaliza haja zako on time maana hali ishakuwa mbaya...ndio michepuko inapoanzia...na kuleteana maladhi...na kukuza takwimu kuwa wanandoa ndio wanaongoza kuwa waathirika wa VVU....
 
Ha ha haaa!! Nimecheka sana!...ndiyo maana nilikuambia toka mwanzo kuwa upuuzi na uchafu huo unafanyika huko huko vichokoroni.

Tar 15 Jan mke alikuja kupamba kwenu ndomana mm nawajua ....
 
Lazima niudhurie mahali hapo..hata ikibidi kuyumbisha uchumi wangu....

Kiongozi, binafsi sister wangu ana Salon hapa hapa Bongo na mimi mwenyewe naelewa kidogo sana mambo ya huduma za Salon, lakini hii MILLION HAIRS SALON ni kiboko aisee! Kama Ulaya au Hong Kong? He he he ama kweli Bongo ni New York.
 
Wewe jamaa MillionHair ni mtaalamu sana tena sana. Napenda unavyoielezea hii industry ya urembo na masalon.
Nitaku Pm tuongee mambo fulani. Akili yangu inanituma ninaweza pata kitu fulani toka kwako.
 
Ingawa hii thread ina miaka 8 sasa
naomba utusaidie nasikia Nairobi wameipitisha sasa kuna Madanguro yenye Leseni
au Biashara hii ya Chap-chap ni halali kwa Mji wa Nairobi kweli? au uzushi

Nairobi mbona tayari mazee!
 
Ha ha haaaa unanifurahisha sana Mrangi...sawa bwana kama ulimpeleka pale basi ukukosea. Urembo unaishi pale.

Pale shoppers plaza jirani na Tmj hospital ground floor pana salon huwa naiona ninapokwenda supermarket iliyopo hapo ground floor. Nipe ushauri kuhusu hii salon maana inaelekea hili eneo wewe ni mwelewa sana.
 
Pale shoppers plaza jirani na Tmj hospital ground floor pana salon huwa naiona ninapokwenda supermarket iliyopo hapo ground floor. Nipe ushauri kuhusu hii salon maana inaelekea hili eneo wewe ni mwelewa sana.

Unazungumzia Salon gani? Naona kama sijakupata vizuri...ila kama unaizungumzia ile Salon iliyopo ground floor ndani ya Shopperz Plaza hiyo naijuwa sana. Kama sijakosea inaitwa The Look na mwenye hiyo Salon anaitwa dada Doris. Ila hiyo salon ni ya kike tu na hawaruhusu mwanaume yeyote kuingia pale...vile vile hawana kitengo cha beauty clinic. Huduma zao pia ni mzuri sana.
 
Back
Top Bottom