Massage Parlours/madanguro

Massage Parlours/madanguro

Angalia background history ya wamiliki wa massage parlours zote, wengi wao walikuwa machangu wa kimataifa

Siyo kweli,naomba unitajie majina yao hapa na na majina ya hizo massage parlour wanazomiliki.

Karibu tuendelee
 
Nachosema massage parlours syo Zote zenye mambo hayo lkn asilimia kubwa zinafanyika

Hapana, mara ya kwanza kabisa ulisema asilimia kubwa kama siyo zote wanafanya uchafu huo...na mimi nikakuambia acha na na stori za vijiweni' kwani ni asilimia ndogo sana ndio wanafanya uchafu huo tena ni visalon vya uchochoroni huko.
 
Massage rooms kuna usiri inategemea makubaliano kati ya mteja na mfanyakazi wakikubaliana wanafanya lakini gharama ipo
 
Na mimi nimetoka kufanya massage muda huu...na nimeshagegeda wawili...kwa hiyo ni kweli....
 
Unatumia dozi mpaka ukaikataa 'huduma' jioni ukawa bar???dozi iliishia wapi???? ehee uwongo njoo utamu kolea!!!
 
Massage rooms kuna usiri inategemea makubaliano kati ya mteja na mfanyakazi wakikubaliana wanafanya lakini gharama ipo

Unachoongea ni kweli kabisa ila kwenye hizi professional salon au massage parlour mastaff wake ni watu wenye elimu na wanalipwa vizuri kiasi fulani...so ni vigumu sana mtu kama huyo kukuvulia chupi humo ndani' sana sana mtapeana contact na mtatafutana somewhere else. Ila kwenye hizi salon za uswahilini ni rahisi sana staff wake kukuvulia chupi kwani hawana elimu ya kutosha wala ujuzi wa kutosha wa hiyo kazi plus mshahara mdogo...ni lazima akuvulie chupi.
 
Unatumia dozi mpaka ukaikataa 'huduma' jioni ukawa bar???dozi iliishia wapi???? ehee uwongo njoo utamu kolea!!!

Hapo sasa...ndio maana mm nasema waliowengi ni watu wakunogesha stori za hear say na wanakuja kuzileta hapa JF' au kama ni kweli alifanikiwa hilo swala basi usikute yeye ndiye alianza kumshawishi huyo staff hadi akaingia king.
 
Mkuu unajiweza kuzuia dushelele lisianze kunyanyuka kwa muinuko wa slogani ya ”kidumu chama tawala“?
Chukua twenty ya huduma ya full massage,na twenty nyingine ya ”extra“.
Panda basi/usafiri wako binafsi hadi Kinondoni,ukiwa unatoka Kawawa Road katiza kama unaenda Kinondoni makaburini...vuka Abbas Tarimba House,zidi kwenda,achana na Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya Chadema,we shukaaaa...mbele kushoto,kuna barabara inapakana na ukuta wa Kanisa nafikiri ni la Pentekoste,mbele utaona Bango linakuonesha Massage Parlour..shuka na hako ka njia..kama nyumba ya tatu kushoto kwako.
Hapo utaingia,ukigonga ni kama mlango umefungwa,lkn ni gear za walioko ndani kumjua mteja kama ni mtu mwema au laa,utafunguliwa na utakuta watoto wazuriiiii,wengi wao ni kutoka mkoa fulani kaskazini ya mbali...Utajichagulia unayemtaka,ataingia chumbani amevaa nguo za mtego na ushawishi wa hali ya juu..utaulizwa uoge na aina ya maji,utambiwa uvue nguo na upewe taulo.
Baadae utaitwa bafuni ni kupewa maji ya uvuguvugu,unaoga then ukirudi chumbani faragha unamkuta mtoto kapulizia unyunyu,taa za mfifio,mziki wa slow jams kwa mbaaaaliiiii,utaulizwa unataka hard massage au soft massage??Ya Poda au ya lotion yenye mchanganyiko wa vilainisha misuli,baada ya hapo unatoa mpaka boxer unabaki na taulo na kulalia tumbo...Unafanyiwa massage kuanzia ukuchani mpaka utosini,baadae anakuomba msamaha kwa sauti ya mbaaliiii,anomba umtoe blauzi mana ni joto,na ametumia nguvu kukusugua so anasweat,baadae anaomba apande akukalie mgongoni ili akunyooshe mabega na kukanda kiuno chako,akipanda anakukalia mgongoni(uzuri wengi wao ni portable,so usihofu)!!!ooops,anakuwa hana kufuri,halafu uwanda wa papuchi umenyolewa kwa mbaaliiii,so zile nyasi korofi za kwenye papuchi unazisikia zinakuchomachoma mgongoni...Jamani duniani kuna rahaaaaa!!!
Utasuguliwa mpaka misuli inalainika,unakuwa mwepesiiiii,shughuli sasa ukigeuka aanze massage ya mbele.....weeeee weeee hapo kama ni Ijumaa kuu,basi kituo cha tisa..."Mkristo kaza Moyo“ shetani anapita...
Unakusugua,anafika ikulu,kama anapita mwambaomwambao mwa dushelele hivi,anaenda kulia kama anaenda Singida,mara anarudi Dodoma,tena anakuja kama anapita kwenda Njia ya Kondoa ghafla anageuzia mnadani....anakuja kichwani anafanya massage ya kichwa,kichwa kinakua lainiiiiii,anakuja kifuani..akiinama lazima chuchu zikuguse kifuani....mara unaanza kuhema,na wanajua sana kuwa umezidiwa,Utasikia anasema "do u want extra service“...ukijibu tu,anakwambia ongeza hela...hapo ndio watu wanafilisiwaga hadi nauli mtu anazinduka na akili timamu hana hata mia.
N:B Kwa afya ni nzuri,usije ukakiuka masharti,mi nimekupa ili upate tiba.....
”Ole wao wale wasasabishao wenzao watende dhambi na kukwazika,ingelikuwa heri kwao wafungwe jiwe kubwa shingoni na kutupwa ktk kina cha bahari“
 
Wapi Huko Jamani Wanapotoa Ofa Zote Hizo Na Mimi Niende

Kutoka kwa kijana wenu mtulivu
 
Hapo sasa...ndio maana mm nasema waliowengi ni watu wakunogesha stori za hear say na wanakuja kuzileta hapa JF' au kama ni kweli alifanikiwa hilo swala basi usikute yeye ndiye alianza kumshawishi huyo staff hadi akaingia king.
MillionaHairs kuna Uzi huku umeitwa....mchango wako wa Leo tofauti na kwenye huo Uzi..Jf haitunzi wanafiki
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unajiweza kuzuia dushelele lisianze kunyanyuka kwa muinuko wa slogani ya ”kidumu chama tawala“?
Chukua twenty ya huduma ya full massage,na twenty nyingine ya ”extra“.
Panda basi/usafiri wako binafsi hadi Kinondoni,ukiwa unatoka Kawawa Road katiza kama unaenda Kinondoni makaburini...vuka Abbas Tarimba House,zidi kwenda,achana na Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya Chadema,we shukaaaa...mbele kushoto,kuna barabara inapakana na ukuta wa Kanisa nafikiri ni la Pentekoste,mbele utaona Bango linakuonesha Massage Parlour..shuka na hako ka njia..kama nyumba ya tatu kushoto kwako.
Hapo utaingia,ukigonga ni kama mlango umefungwa,lkn ni gear za walioko ndani kumjua mteja kama ni mtu mwema au laa,utafunguliwa na utakuta watoto wazuriiiii,wengi wao ni kutoka mkoa fulani kaskazini ya mbali...Utajichagulia unayemtaka,ataingia chumbani amevaa nguo za mtego na ushawishi wa hali ya juu..utaulizwa uoge na aina ya maji,utambiwa uvue nguo na upewe taulo.
Baadae utaitwa bafuni ni kupewa maji ya uvuguvugu,unaoga then ukirudi chumbani faragha unamkuta mtoto kapulizia unyunyu,taa za mfifio,mziki wa slow jams kwa mbaaaaliiiii,utaulizwa unataka hard massage au soft massage??Ya Poda au ya lotion yenye mchanganyiko wa vilainisha misuli,baada ya hapo unatoa mpaka boxer unabaki na taulo na kulalia tumbo...Unafanyiwa massage kuanzia ukuchani mpaka utosini,baadae anakuomba msamaha kwa sauti ya mbaaliiii,anomba umtoe blauzi mana ni joto,na ametumia nguvu kukusugua so anasweat,baadae anaomba apande akukalie mgongoni ili akunyooshe mabega na kukanda kiuno chako,akipanda anakukalia mgongoni(uzuri wengi wao ni portable,so usihofu)!!!ooops,anakuwa hana kufuri,halafu uwanda wa papuchi umenyolewa kwa mbaaliiii,so zile nyasi korofi za kwenye papuchi unazisikia zinakuchomachoma mgongoni...Jamani duniani kuna rahaaaaa!!!
Utasuguliwa mpaka misuli inalainika,unakuwa mwepesiiiii,shughuli sasa ukigeuka aanze massage ya mbele.....weeeee weeee hapo kama ni Ijumaa kuu,basi kituo cha tisa..."Mkristo kaza Moyo“ shetani anapita...
Unakusugua,anafika ikulu,kama anapita mwambaomwambao mwa dushelele hivi,anaenda kulia kama anaenda Singida,mara anarudi Dodoma,tena anakuja kama anapita kwenda Njia ya Kondoa ghafla anageuzia mnadani....anakuja kichwani anafanya massage ya kichwa,kichwa kinakua lainiiiiii,anakuja kifuani..akiinama lazima chuchu zikuguse kifuani....mara unaanza kuhema,na wanajua sana kuwa umezidiwa,Utasikia anasema "do u want extra service“...ukijibu tu,anakwambia ongeza hela...hapo ndio watu wanafilisiwaga hadi nauli mtu anazinduka na akili timamu hana hata mia.
N:B Kwa afya ni nzuri,usije ukakiuka masharti,mi nimekupa ili upate tiba.....
”Ole wao wale wasasabishao wenzao watende dhambi na kukwazika,ingelikuwa heri kwao wafungwe jiwe kubwa shingoni na kutupwa ktk kina cha bahari“

Ha ha haaaa! Daah umenichekesha sana Barafu...anyway kwanza hiyo siyo massage parlour bali hilo ni danguro...na hizo ndizo sehemu ambazo ninazielezea hapa kuwa ni za uswahilini na vichochoroni.

Hebu jaribu kwenda kufanyiwa massage sehemu hizi tatu tu kwa kuanzia...Touch Spa(seacliff) Lemon Spa(Masaki) au Million Hairs Salon(Milocheni) Nakuhakikishia huwezi kukutana na uchafu kama huo...labda uwamue tu hapa kufurahisha baraza.
 
Hapana, mara ya kwanza kabisa ulisema asilimia kubwa kama siyo zote wanafanya uchafu huo...na mimi nikakuambia acha na na stori za vijiweni' kwani ni asilimia ndogo sana ndio wanafanya uchafu huo tena ni visalon vya uchochoroni huko.

Inaelekea wewe ni mdau wa haya mambo. Unaweza kunitajia sehemu ambazo ni real professionals kwa hapa dar?
 
Zipo nyingi sana...wewe unaishi maeneo gani? I mean nataka nikupatie unafuu wa masafa
 
MillionaHairs kuna Uzi huku umeitwa....mchango wako wa Leo tofauti na kwenye huo Uzi..Jf haitunzi wanafiki

Sawa mkuu' niko hapa na nimejaa tele...hebu nioneshe huo uzi na comment zangu kabla ya kuniita mnafiki.
Karibu tuendelee
 
Last edited by a moderator:
Nakaa mbezi ya kimara

Okay Mkuu, kwa Kimara sijui...ila unaweza kwenda pale Ubungo plaza lile jengo lenye blue peal hotel, mule ndani kuna massage parlour japo sijui ni floor ya ngapi. Au nenda Samu Nujoma road karibu na Mlimani city kuna jengo linaitwa mawasiliano house...hapo ndani kuna beauty clinic lakini nimesahau jina lake. Nenda na utafurahia huduma zao ila ngono hakuna
 
Barafu, nakusubiri uniletee hizo comment ambazo zinaonesha unafiki wangu ili tuendelee...karibu sana mkuu
 
Okay Mkuu, kwa Kimara sijui...ila unaweza kwenda pale Ubungo plaza lile jengo lenye blue peal hotel, mule ndani kuna massage parlour japo sijui ni floor ya ngapi. Au nenda Samu Nujoma road karibu na Mlimani city kuna jengo linaitwa mawasiliano house...hapo ndani kuna beauty clinic lakini nimesahau jina lake. Nenda na utafurahia huduma zao ila ngono hakuna

Wewe una saluni yako? Maana hizi inaonyesha hata mwenyewe huzijui vizuri..mimi naweza kuzifuata hukohuko zilipo.

Mimi huwa nimezoea kupata hii huduma japo mara moja kwa miezi mitatu..hii ni tiba kwangu. Toka nirudi hapa sijawahi kupata huduma nzuri nikaridhika. Kuna sehemu nilijaribu tena sio vichochoroni nikakutana na hayo ya extra, ila siwezi kuzitaja hapa saloon zenyewe.
 
Back
Top Bottom