Massage Parlours/madanguro

Massage Parlours/madanguro

Miikion hair sijui wanachokata ni nini.. Wanaume wanawasumbua wadada thenwakipewa mbunye wanaume hao wao wanakuja hapa kulia lia . Si unguruwe huu ni nini?

Ha ha haaaa nimecheka sana!!...ni kweli amini maneno yangu asilimia kubwa sana ya wanaume(sio wote) waingiapo massage room wao ndio wakwanza kuanza kulia lia kule chumbani' mara ooh nimekupenda ghafla,mara oooh kwanza mshahara wako hapa ni bei gani nk nk nk. Sasa ikatokea huyo muhudumu akamkubalia kuvua chupi sasa shida zake ndio hizi wanakuja hapa JF na kashfa kibao.
 
Mimi najua sana manake mimi huwa nafanya massage mara kwa mara ila sijawahi kulala na hawa wafanya kazi , wapo kazini. Na sijawahi kuulizwa hata siku moja kama nataka huduma ya ziada, maana yake hawa wanaume wenyewe ndio huwasumbua wadada wa watu.
 
ACHA UONGO, MIMI nimefika hapo kwa massage karibu mara tatu hata siku moja sikuwa kuambiwa extra. Wewe utakuwa uliomba hiyo extra baada ya kunogewa labda na massage(ulikaribia kupasua nguo yako ya ndani) binti nae kwa shida zake alizonazo akukujibu sawa. Bora uwe kweli kuliko kupaka matope biashara ya mtu kwamba hali niyo.

Mkuu asante sana, hata mimi mleta mada amenichangaya sana. nakushukuru kwa ku "clear" hewa.
 
Duh!!!...Bongo kweli mamtoni!...Hata hivyo kumbukeni kuvaa soksi!
Ingawa hii thread ina miaka 8 sasa
naomba utusaidie nasikia Nairobi wameipitisha sasa kuna Madanguro yenye Leseni
au Biashara hii ya Chap-chap ni halali kwa Mji wa Nairobi kweli? au uzushi
 
Mkuu asante sana, hata mimi mleta mada amenichangaya sana. nakushukuru kwa ku "clear" hewa.
Walio wengi wanamihemuko ya ki hisia kuliko uhalisia wenye fact...utakuta na yeye siku moja alikaa sehemu fulani na washikaji zake then zikaanza hizo stori za uongo na ukweli na yeye bila hata kuoji akakimbilia kuleta hapa JF
 
Hiyo biashara imetoka mbali sana. Hapa nilipo kuna rafiki yangu siku moja alinipa "free pass" yake anayotumia kuhudhuria katika parlour moja inaitwa "Ambassador". Utaratibu wao ni kwamba ukiingia unalipa pound 10 mlangoni halafu huko ndani unachagua unayetaka akufanyie massage kisha mnawekeana appointment ya saa ambazo utakuja. Gharama za huduma zitategemea huduma utakayochagua, maana msichana yeyote utakayechagua anayo orodha ndefu tu ya huduma wanazotoa, atakupa brochure ambayo zote hizo zimeandikwa na bei zake, lakini ngono haijaandikwa, haiko kwenye orodha. Ukiwa na free pass unaingia bure, hulipi hizo pound 10 (utalipia tu huduma utakayokubaliana na unayemchagua).

Sasa mimi nikawa curious, nikataka tu niende "niwasanifu" hao wasichana (si nina free pass bana?) halafu niondoke bila kununua huduma yoyote. Nikafika mlangoni nikabonyeza kengele, akaja mhudumu nikamwonesha pass yangu akaniruhusu kuingia. Nikaambiwa nikae kwenye kochi penye reception ambako pia kuna mashine zinauza kahawa, soda, juice na bites. Nikanunua espresso yangu, wakati nakunywa wanapita mmoja mmoja wasichana hao, wako minimally dressed kila mmoja kwa mtindo wake, wanakuja kwangu wanajitambulisha kwa majina na kutokomea. Baada ya kama 10 min, akaja yule aliyenifungulia akaniuliza umemchagua yupi? Nikamwambia kwa kweli sijachagua yeyote. Akaniambia kuna mmoja hujamwona, tulikuwa tume-reserve kwa ajili yako tulijua utakuja, hata kama hutaki huduma atakusadia tu hata kuongea na wewe, inawezekana ni upweke umekusibu ukashindwa kujua unahitaji nini, na hii huduma ya kuongea na mteja kumwondolea upweke ni ofa kwa wateja wetu, hutalipa chochote. Akaja huyo binti, na sielewi ilikuwaje hata nikajikuta nimezungumza naye zaidi ya nusu saa, ana akili kwa kweli anazungumza kila kitu kuanzia rugby hadi politics za number 10 Downing street kwa ufasaha ajabu, ana elements fulani za psychology anaongea pia, alinishangaza kwa kweli. Mwisho akanipa namba yake ya simu tukaagana. Nilishindwa kujizuia kumpigia simu.

Hii stori yako na hiyo sehemu uliyoitaja ni hapa hapa Bongo au ni England?...kama ni hapa hapa Bongo nakuomba unielekeze ili niende nikajionee mwenyewe (seeing is believing) na kama ni nje ya nchi basi nitashindwa.

Karibu tuendelee
 
Ha ha haaaa unanifurahisha sana!! Ni kweli mimi ni mdau wa mambo ya salon na urembo kwa ujumla. Ila mimi nakuomba wewe tuende na fact na siyo kuongea kwa hisia tu. Na kila nikikusoma between the line nahisi ujawahi kufanyiwa hiyo massage na kama umewahi kufanyiwa basi ni huko upuuzini kwa wenzio ambako usikute wewe ndiye ulikuwa wa kwanza kumlalamikia muhudumu kimapenzi na baada ya kufanikiwa umekuja kumtangazia hapa ilihali wewe ndiye ulimshawishi kwa maneno na ahadi kem kem.
Siyo tanzania tu hata ughaibuni watu tushakutana nazo hizo tabia....massage parlours nyingi kumgegeda dem inawezekana
Endapo mwanaume ana njaa Au Mwanamke akitaka kutoa Huduma extra kwa mteja
 
Hii stori yako na hiyo sehemu uliyoitaja ni hapa hapa Bongo au ni England?...kama ni hapa hapa Bongo nakuomba unielekeze ili niende nikajionee mwenyewe (seeing is believing) na kama ni nje ya nchi basi nitashindwa.

Karibu tuendelee

Umeshaona rugby, 10 downing streets jua ni London huko.
 
Hii stori yako na hiyo sehemu uliyoitaja ni hapa hapa Bongo au ni England?...kama ni hapa hapa Bongo nakuomba unielekeze ili niende nikajionee mwenyewe (seeing is believing) na kama ni nje ya nchi basi nitashindwa.

Karibu tuendelee

Nenda sinza Kuna masage parlour aka danguro ziko sehemu nyingi tu
 
Hizi huduma nyingine wengine hatuwezi kuthubutu kujaribu
 
Nenda sinza Kuna masage parlour aka danguro ziko sehemu nyingi tu

Hilo wala sikatai...si ndio huko upuuzini kwenu mnakofanya massage ni ngono badala ya skin care therapy and body relaxiction?. Hivi unategemea nini iwapo unafungua massage parlour alafu unaenda kuwatafuta wahudumu pale Ambiance kona bar (machangu)? Hapo tena hakuna cha ofisi wala ssalon...hilo ni danguro na laana tupu.
 
Siyo tanzania tu hata ughaibuni watu tushakutana nazo hizo tabia....massage parlours nyingi kumgegeda dem inawezekana
Endapo mwanaume ana njaa Au Mwanamke akitaka kutoa Huduma extra kwa mteja

Now you are talking...kuhusu uko nje hata mimi nimefanyiwa huduma za body massage zaidi ya mara tatu. Ila nako pia siyo kila salon wanafanya upuuzi huo ni baadhi ya salon tu...tena ukikuta kuna salon inatoa huduma hiyo wanakuwa na vibali vyote na hiyo huduma wanaitoa ki professional kabisa na pesa yake ni ndefu. Ila hapa Bongo wengi wenu ni waongo wa kunogesha stori tu za kufirikika.
 
Hilo wala sikatai...si ndio huko upuuzini kwenu mnakofanya massage ni ngono badala ya skin care therapy and body relaxiction?. Hivi unategemea nini iwapo unafungua massage parlour alafu unaenda kuwatafuta wahudumu pale Ambiance kona bar (machangu)? Hapo tena hakuna cha ofisi wala ssalon...hilo ni danguro na laana tupu.

Angalia background history ya wamiliki wa massage parlours zote, wengi wao walikuwa machangu wa kimataifa
 
Now you are talking...kuhusu uko nje hata mimi nimefanyiwa huduma za body massage zaidi ya mara tatu. Ila nako pia siyo kila salon wanafanya upuuzi huo ni baadhi ya salon tu...tena ukikuta kuna salon inatoa huduma hiyo wanakuwa na vibali vyote na hiyo huduma wanaitoa ki professional kabisa na pesa yake ni ndefu. Ila hapa Bongo wengi wenu ni waongo wa kunogesha stori tu za kufirikika.

Nachosema massage parlours syo Zote zenye mambo hayo lkn asilimia kubwa zinafanyika
 
Back
Top Bottom