Massage Parlours/madanguro

Massage Parlours/madanguro

Naona umeamua sasa kutangaza biashara mkuu

Ha ha haaa!!...nacheka sana. Wala sitangazi biashara mkuu wangu ila am happy nimekupa darasa la kutosha kuhusiana na massage parlours. Kama utakuwa na maswali mengine kuhusiana na huduma za kwenye masalon usisite kuniuliza.

Je,umewahi kufanyiwa Natural skin steamer full body scrub?
 
Full body hadi kule kwenye nanilihu?

Nipe aina za masaji na faida zake mwilini.
 
Nipe darasa la kila kitu kinachopatikana hapo Miliion Hairs.
 
Full body hadi kule kwenye nanilihu?

Nipe aina za masaji na faida zake mwilini.

Hilo swali la kwanza sitakujibu...maana limekaa kihuni na utoto utoto fulani hivi.
Swali la pili ninakujibu kama ifuatavyo: Kwanza kuna aina nyingi sana za massage ila leo nitakuelezea tatu tu.

(1) Aroma therapy massage...hii ni massage ya tiba kwa mtu mwenye matatizo ya viungo' mara nyingi ufanywa na watu wa
liopata ajali au wale wenye magonjwa ya kupararaizi. Kwa kawaida massage hii yakupasa uhudhurie clinic kila siku jioni
au uifanye kwa wiki mara mbili kutegemeana na tatizo lako. Unaweza kupona bila ya kutumia dawa za hospital.

(2) Hot Stone Massage...hii ni massage ya tiba pia'lakini hii ni special kwa mgongoni tu. Hii ni massage ambayo inafanywa
kwa kutumia mawe maalum yaliyochemshwa na maji. Unaweza kuzungusha mawe mwili mzima,lakini hii ni maalum kwa
mgongo na kiuno tu. Hii ni mzuri kwa madereva wa masafa marefu na watu wanao fanya kazi za kuinama hasa kupindi
sha mgongo na shingo kuanzia asubuhi hadi jioni. Ni moja kati ya massage tamu sana na inaondoa stress.

(3) Deep tissue massage...hii ni relaxation massage' massage ya starehe na kuondoa stress za hapa na pale. Hii ni massage
ambayo unaweza kuifanya kutokana na uchovu wa kazi au ukiwa na msongo wa mawazo(stress) hii ndiyo aina pekee ya
massage ambayo muhudumu atakuuliza wewe mteja kuwa unataka aifanye Hard au Soft?. Massage hii ni mzuri kwa kila
mtu...but kuanzia miaka 22 na kuendelea.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    400.5 KB · Views: 302
  • image.jpg
    image.jpg
    370.1 KB · Views: 286
  • image.jpg
    image.jpg
    383 KB · Views: 271

namba 3 hapo..... massage inawekewa limitation ya umri kwa sababu gani hasa, vipi kwa mtu wa miaka 20 aliechoka na kazi na anahitaji huduma hii, atapata madhara yoyote!??
 
Hakuna madhara yoyote atakayopata iwapo atafanya kwa mwaka mara tatu kila baada ya miezi 3 au 4. Ila ukiwa na miaka 18 hadi 22 alafu uifanye massage hii mara kwa mara let us say kwa mwezi mara 2 au 3 ni lazima ikugeuze mtumwa wake...itafikia stage hutaweza kupata usingizi hadi upate huduma hii(yaani unakuwa kama teja hivi). Ila ukiwa kwenye umri kuanzia miaka 25 na kuendelea huwezi pata matatizo yoyote hata kama utaifanya kwa mwezi mara mbili kwani viuongo vyako vinakuwa vimekomaa sawa sawa.
 
Ha ha haaa!!...nacheka sana. Wala sitangazi biashara mkuu wangu ila am happy nimekupa darasa la kutosha kuhusiana na massage parlours. Kama utakuwa na maswali mengine kuhusiana na huduma za kwenye masalon usisite kuniuliza.

Je,umewahi kufanyiwa Natural skin steamer full body scrub?

Ndiyo u natangaza biashara mkuu...Ila kweli wewe ni mdau Ktk field hyo.
Wewe ni me Au ke?
 
Hakuna madhara yoyote atakayopata iwapo atafanya kwa mwaka mara tatu kila baada ya miezi 3 au 4. Ila ukiwa na miaka 18 hadi 22 alafu uifanye massage hii mara kwa mara let us say kwa mwezi mara 2 au 3 ni lazima ikugeuze mtumwa wake...itafikia stage hutaweza kupata usingizi hadi upate huduma hii(yaani unakuwa kama teja hivi). Ila ukiwa kwenye umri kuanzia miaka 25 na kuendelea huwezi pata matatizo yoyote hata kama utaifanya kwa mwezi mara mbili kwani viuongo vyako vinakuwa vimekomaa sawa sawa.

mweee....!! haya bana !!
 
Ndiyo u natangaza biashara mkuu...Ila kweli wewe ni mdau Ktk field hyo.
Wewe ni me Au ke?

Ha ha haaa!!...can you guess mimi ni jinsia gani? Me au Ke? Ebu bahatisha kidogo.

Sitangazi biashara ila naweka hali ya hewa sawa...maana kuna baadhi ya watu wakisikia huduma za massage wanawaza ngono kwa ujumla.
 
Hilo swali la kwanza sitakujibu...maana limekaa kihuni na utoto utoto fulani hivi.
Swali la pili ninakujibu kama ifuatavyo: Kwanza kuna aina nyingi sana za massage ila leo nitakuelezea tatu tu.

(1) Aroma therapy massage...hii ni massage ya tiba kwa mtu mwenye matatizo ya viungo' mara nyingi ufanywa na watu wa
liopata ajali au wale wenye magonjwa ya kupararaizi. Kwa kawaida massage hii yakupasa uhudhurie clinic kila siku jioni
au uifanye kwa wiki mara mbili kutegemeana na tatizo lako. Unaweza kupona bila ya kutumia dawa za hospital.

(2) Hot Stone Massage...hii ni massage ya tiba pia'lakini hii ni special kwa mgongoni tu. Hii ni massage ambayo inafanywa
kwa kutumia mawe maalum yaliyochemshwa na maji. Unaweza kuzungusha mawe mwili mzima,lakini hii ni maalum kwa
mgongo na kiuno tu. Hii ni mzuri kwa madereva wa masafa marefu na watu wanao fanya kazi za kuinama hasa kupindi
sha mgongo na shingo kuanzia asubuhi hadi jioni. Ni moja kati ya massage tamu sana na inaondoa stress.

(3) Deep tissue massage...hii ni relaxation massage' massage ya starehe na kuondoa stress za hapa na pale. Hii ni massage
ambayo unaweza kuifanya kutokana na uchovu wa kazi au ukiwa na msongo wa mawazo(stress) hii ndiyo aina pekee ya
massage ambayo muhudumu atakuuliza wewe mteja kuwa unataka aifanye Hard au Soft?. Massage hii ni mzuri kwa kila
mtu...but kuanzia miaka 22 na kuendelea.

Hard and soft massage ina tofauti gani?
 
Hakuna madhara yoyote atakayopata iwapo atafanya kwa mwaka mara tatu kila baada ya miezi 3 au 4. Ila ukiwa na miaka 18 hadi 22 alafu uifanye massage hii mara kwa mara let us say kwa mwezi mara 2 au 3 ni lazima ikugeuze mtumwa wake...itafikia stage hutaweza kupata usingizi hadi upate huduma hii(yaani unakuwa kama teja hivi). Ila ukiwa kwenye umri kuanzia miaka 25 na kuendelea huwezi pata matatizo yoyote hata kama utaifanya kwa mwezi mara mbili kwani viuongo vyako vinakuwa vimekomaa sawa sawa.

Namba tatu n bei gani?Nipe uelekeo wa #MillionHairs hapa Dar....usipojali inbox
 
Hard and soft massage ina tofauti gani?

Achana na hiyo...kuna body treatment moja ya ajabu sana ambayo itakufanya uonekane kama mtoto mchanga mwenye ngozi nyororo na isiyokuwa na makwinyanzi hata kama umri wako ni miaka 50 hadi 70.

Hii ni Kianty full body brushing stem bath. Hii ni body treatment ya kimataifa na inafanyika kwenye professional salon zote za Ulaya na America' na hapa Bongo ipo kwenye salon zisizozidi tatu au nne...mzee unaingia ndani ya beauty clinic room,unavua nguo zako zote au unaweza kubakia na under wear tu. Unapanda kitandani muhudumu wa kike anaingia akiwa kwenye uniform za unesi...anaanza kukubrush na kianty scrub mwili mzima,then analeta kianty steaming unapakwa mwili mzima (cream mzito) then anakuwashia double steamer mashine ambazo zitakupiga mwili mzima uku ukigeuzwa geuzwa kama kuku anechomwa kwenye oveni.

Baada ya hapo utaenda kuoga humo humo ndani...ukimaliza kuoga unapanda tena kitandani then dada muhudumu atachukuwa Kianty natural mask (mfano wa tope gumu lililo laini) alafu atakupaka mwili mzima kuanzia usoni hadi unyayoni...hii utaachwa nayo kama nusu saa au dk 45 hivi. Baadae itaondolewa yote kwa wewe kwenda kuoga tena au kwa muhudumu kuifuta yote kwa kutumia taulo laini lenye maji ya moto (kumbuka hatua hii ni ngumu kidogo kwani hiyo mask huwa inavuta ngozi yako balaa but for something good and not bad)

Baada ya hapo utalala tena kitandani,dada muhudumu atakusogelea tena mkononi akiwa na Natural Sea Salt ya Kianty atakupaka tena mwili mzima then utaingia kwenya Sauna steam bath na ndani ya hiyo Sauna steam bath kutakuwa na slace za matango kama pc 200...utakaa kwenye hiyo mashine kama dk 45 huku ukipigwa na mvuke mkali sana wa tiba. Baada ya dk zako kwisha utaoga humo humo kwenye hiyo mashine. Mwisho kabisa utapakwa finishing lotion na teyari kwa kuondoka.

Rafiki yangu, ukitoka hapo inaitwa Kantangaze huko uendako...kitu ngozi laani,ng'avu na isiyo na makwinyanzi...uvutaji wa hewa unausikia tafauti na mapigo ya moyo unayasikia tafauti. Ukiweza kuifanya huduma hii kwa mwaka mara tatu basi nakupa grantee miaka miaka mia moja...hakuna cha vipele,chunusi ndogo ndogo,ngozi kuwa na rangi mbili wala kuwa na ngozi ngumu kama ya kenge...yaani hii kitu ni kama mtoto mchanga.
 
Wewe inabidi ufungue uzi wako maalum khsu mambo yako dah
 
sasa kuoga na huyo mhudumu au?
 
Tatizo unatupa maujanja hutaji bei. Naomba uniPM basi
 
Back
Top Bottom