Massage Parlours/madanguro

Massage Parlours/madanguro

Ha ha haaa!!...nacheka sana. Wala sitangazi biashara mkuu wangu ila am happy nimekupa darasa la kutosha kuhusiana na massage parlours. Kama utakuwa na maswali mengine kuhusiana na huduma za kwenye masalon usisite kuniuliza.

Je,umewahi kufanyiwa Natural skin steamer full body scrub?

nilikuwa na mpango kufingua hii kitu massage. unadhani nimekosea mkuu, nikiweka sheriA ya kutongoana , itakuaje
 
IPO wapi hii na kwa wa mama hii Huduma ipo na ni kiasi gan na mawasiliano vp

Kwanza wateja wakubwa wa hii huduma asilimia kubwa ni wanawake"kama unavyojuwa huwezi kumtenganisha mwanamke na urembo" kuhusu bei yake hapo utanisamehe maana hata mm sijui na ukizingatia kila ofisi inayotoa huduma hii hupanga bei yake so bei haziwezi kufanana.

Huduma hii utaipata sally Salon ipo Benjamini Mkapa tower groung floor pale posta mpya. Pia utaipata Beauty Clinic kwa mama Patricia iliyopo nyuma ya ubalozi wa Ufaransa karibu na viunga vya Leaders Club. Vile vile unaweza kuipata huduma hii Million Hairs Salon iliyoko Mikocheni kwa Mwl.nyerere jirani kabisa na Regency Park Hotel.

Hizo Salon zina huduma nyingi sana for skin care treatments na zinafanywa na professional staffs.
 
sio massage parlours tuu,mimi nilikutana na mtu wa pedicure,jamaa alinisugua miguu na na kusafisha kucha alivyokaribia kumaliza akaniambia nafanya na massage nkamshukuru akaniambia na huduma nyingine pia unapata kwa 50,000 nkamuuliza huduma gani?nilikua na rafiki zangu ikabidi tuanze kumuuliza akaniambia sikuiz wake wengi za watu na madada wa mjini tunasaidiana nkamwambia kaka ahsante sana
hizi tabia zipo na hata saloon nmeona pia wakijinadi tembelea saloon utajionea
 
Pole sana mpenzi wangu! Ni Salon gani hiyo?...anywa what i know kulingana na uzoefu wangu kwenye hii industry ya urembo na Salon kwa ujumla' kuna vitu viwili vinavyosababisha hisia au upuuzi wa ngono kujitokeza wakati wa huduma. Kwanza mambo hayo yanapatikana kwenye baadhi ya Salon za kiswahili swahili au unaweza kuziita Salon za kienyeji enyeji ambapo utakutana na mastaff wapiga umbea,wezi,na wana uswahili kupitiliza...mwenye Salon nae utakuta hana hata mda wa kufatilia biashara yake kisa na yeye amehajiriwa serikalini au kwenye hizi private sector.

Upuuzi wa pili unaosababisha mambo hayo ya hisia za ngono ni kutoka kwa mteja mwenyewe. Mfano utakuta mdada au m-mama anafanyiwa pedicure na mkaka au anafanyiwa hair style na mkaka alafu mnaanza kupigishana stori za mambo ya mapenzi na vitu vingine vya kijinga jinga tu huku huduma ikiendelea'utasema mnafahamiana miaka mingi kumbe ndio first time mmeonana' Hivi kwa mazingira hayo unategemea nini? hapo staff wa kiume lazima atest zali...ukiingia king tu umeliwa.

Twende kwa wateja wa kiume...hawa wenzangu na mimi vile vile ni watu wa kutest zali. Akiwa massage room unampatia massage from magic hand alafu ukaruhusu aanze kukupigisha stori za kipuuzi puuzi kuhusiana na ngono basi ujuwe hapo hakuna tena massage zaidi ya kelele za kutaka umvulie chupi hapo hapo ndani kwa ahadi ya kukupa pesa. Binafsi naamini bila ya shaka kuwa mteja wa massage(mwanaume) ndie huwa anaanza kudai ngono mkiwa massage room...na ukikubari kumvulia chupi tu basi kwisha habari yako maana akitoka hapo ni mbio anakuja kukumwaga hapa JF na huko vijiweni kwake.
 
Kwanza hiyo body treatment umeisoma na kuielewa? Naona Mkuu wangu umekimbilia kwenye mambo ya kuoga...ha ha haaa

mi kwangu muhimu ni hapo tu. Na hivyo umesema amevalia mavazi ya kinesi? mashalaah. Nani hapendi kuogeshwa na nesi? :eyebrows:
 
mi kwangu muhimu ni hapo tu. Na hivyo umesema amevalia mavazi ya kinesi? mashalaah. Nani hapendi kuogeshwa na nesi? :eyebrows:

Ha ha haaaa!! Daah nimecheka sana...wa Bongo bwana!!?. By the way nimeipenda avatar yako...huyo jamaa ni mrefu utadhania mtusi.
 
hiyo huduma ya ziada ni kwa wanaume tu au na wanawake pia?
 
ni mtusi kweli, ndio maana huyo nesi wa kumuogesha kazi anayo....

Ha ha haaa...acha kunivunja mbavu zangu! Kama ni kweli uko mrefu namna hiyo basi kweli kazi hipo. By the way kwenye huduma hiyo huogeshwi...bali unaoga mwenyewe.
 
nilikuwa na mpango kufingua hii kitu massage. unadhani nimekosea mkuu, nikiweka sheriA ya kutongoana , itakuaje

Kama unataka kufanya biashara hii kwa mtindo huo na wateja wako wanakuwa dizaini ya MRANGI, BARAFU, BULL DOG na wewe mwenyewe...na wahudumu wako unakwenda kuwazoa Corner bar Sinza basi fanya na faida yake utaiona. Ila kama unataka kuanzisha biashara hii ki professional basi nisome mm between the line kutoka kwenye comment zangu zote na biashara yako itafanikiwa
 
Ha ha haaa...acha kunivunja mbavu zangu! Kama ni kweli uko mrefu namna hiyo basi kweli kazi hipo. By the way kwenye huduma hiyo huogeshwi...bali unaoga mwenyewe.

aaaah, basi tena, bora niende zangu Macauuuu.
 
Sidhani...haiwezi kufika kote huko. Nahisi inaweza kucheza kuanzia 150,000 hadi 300,000...nafikiri haiwezi kuzidi hapo japo sina uhakika.

Kama ni hivyo sio gharama. Its very affordable.
 
hiyo huduma ya ziada ni kwa wanaume tu au na wanawake pia?

Haya mambo au hizo taharifa ni habari za kufirikika na hisia zenye mihemuko tu...kwani hadi sasa hakuna alieleta ushahidi wa kimantiki zaidi ya porojo tu...mra oooh hivi mara oooh vile na blah blah kibao. Ukitaka kuamini kama hizi habari ni za uongo jiulize swali hili dogo tu-:

Inakuwaje member anaeleta au kuadithia stori hiyo hapa JF anatumia ID fake...sasa anaogopa nini kutaja jina la Salon au massage parlour aliyokwenda na akakuta uchafu huo? Ukimwambia ataje hata jina la staff anaefanya uchafu huo pia anashindwa ilihali hapa anatumia ID fake. So jibu lake ni rahisi sana...hizi habari zimejaa kufirikika kuliko uhalisia
 
Pink Massage Parlour Sinza,kwanza wadada wachafuuuu...wananuka kwapa haalafu wanaomba hela haooooo
 
Kama unataka kufanya biashara hii kwa mtindo huo na wateja wako wanakuwa dizaini ya MRANGI, BARAFU, BULL DOG na wewe mwenyewe...na wahudumu wako unakwenda kuwazoa Corner bar Sinza basi fanya na faida yake utaiona. Ila kama unataka kuanzisha biashara hii ki professional basi nisome mm between the line kutoka kwenye comment zangu zote na biashara yako itafanikiwa

Naona #MillionHairs umeamua kunidhalilisha.....Asante!!!
 
Back
Top Bottom