Massage Parlours/madanguro

Kwa hiyo mimi munishauri.nikienda.huko kufanyiwa massage nibebe box la kondom kabisa?
wala usiende
unaweza karibishwa na kilagi ikaonja Condom zikakurudia
kuna kinywaji cha south Africa kina rangi ya blie km wino (jina nimesahau)
ukinywa unahisi kuharishaharisha!1 mm nilionja sithubuti wala soda
badala ya kukandwa na vibintu watatokeza maMEN
HAYENI Mmwee mi simo
 
Wiki iliopita nilianza kuumwa mgongo na nikashauriwa na rafiki yangu nikafanyiwe massage itasaidia.Nikaenda kwenye massage moja iliopo namanga.

Baada ya kunifanyia massage yule msichana akaniambia wanatoa huduma ingine pia. Nikamuuliza huduma gani? Akasema ngono kwa elfu 20,kwahiyo massage 20 na ngono 20.Nikamwambia nina dozi ya malaria labda siku nyingine.

Jioni tukiwa kisimani [bar] nikawaambia wenzangu kisa kile, wakasema mbona ndio kawaida ya massage zote za dar. Nikaambiwa massage nyingi za Sinza, Kijitonyama, Kinondoni, Namanga, Msasani hata kwenye sehemu za mazoezi na hoteli kubwa hii extra baada ya massage ipo na tafauti inakua katika bei tu.

hamna shida yoyote maana ukiwa huitaji hiyo extra unakataa kama ulivokataa wewe hulazimishwi. Massage ni tiba ya viungo kama ulivyojieleza ulikuwa unasumbuliwa na mgongo kuuma ukaenda kupata tiba. Sema baada ya tiba ya massage ukishapona viungo kuuma kinaibuka kitu ingine nayo ni ashkiki, sasa kutibu hiyo ashkiki ndio huduma extra huwa ipo ambayo hulazimishwi, kwahiyo tuache hii mambo ya kulalama kila kitu wakati kuna option ya kupata huduma au kukataa.
 
siku moja nikiwa j'burg niliona SEX SHOP nikamuuliza mwenyeji wangu,akanambia ni wewe tu kwenda unachagua then una pay,dah
 
Wiki iliopita nilianza kuumwa mgongo na nikashauriwa na rafiki yangu nikafanyiwe massage itasaidia.Nikaenda kwenye massage moja iliopo namanga.

Baada ya kunifanyia massage yule msichana akaniambia wanatoa huduma ingine pia. Nikamuuliza huduma gani? Akasema ngono kwa elfu 20,kwahiyo massage 20 na ngono 20.Nikamwambia nina dozi ya malaria labda siku nyingine.

Jioni tukiwa kisimani [bar] nikawaambia wenzangu kisa kile, wakasema mbona ndio kawaida ya massage zote za dar. Nikaambiwa massage nyingi za Sinza, Kijitonyama, Kinondoni, Namanga, Msasani hata kwenye sehemu za mazoezi na hoteli kubwa hii extra baada ya massage ipo na tafauti inakua katika bei tu.
Duniani kote ndio ziko hivo. Massage parlour zina extra service,usishangae. Ni vile zinakuwa hazijarasimishwa na zingine zimerasimishwa
 
Nimependa uliposema huo ni mtizamo wako...pia nakubaliana na wewe kuwa mazingira tunayoishi yanaweza kusababisha hiyo treatment isifanye kazi. Lakini tambuwa hata uko Ulaya na America inakotokea hii product nako mazingira yao hayagandi. What i know napenda kukuhakikishia kuwa hiyo treatment inaendana na mazingira yote na zipo aina tatu na kila moja na ngozi yake na matatizo. Ipo ya kutumia kwenye kipindi cha joto na ipo ya kutumia kwenye kipindi cha baridi.

Lakini kubwa kabisa kabla ya kuanza huduma hiyo kuna mashine maalumu ambayo itapima kwanza ngozi yako kujuwa ni aina gani ya treatment ambayo itaendana na ngozi yako...zipo za oil skin,dry skin na balanced skin. Mkuu amini maneno yangu kwani niko kwenye hii game tokea kitambo sana...na siko hapa kujipigia debe kibiashara ila niko hapa kutoa elimu stahiki kuhusiana na mambo ya Salon na urembo kwa ujumla.

Ukitaka kuiona hiyo mashine ya kupimia ngozi yako kabla ya huduma basi nitaitupia hapa. Karibu tuendelee.

Hebu ni pm hiyo address mkuu tukapate huduma. Au weka hapa maelekezo.
 
Hivi nauliza niliwahi kuhudhuria hizi sehemu mikono ni hiyo hiyo kwa wateja Tofauti Tofauti hivi haiwezekani kuambukizana magonjwa kama HIV?.
 
Tatizo makahaba wengi hawajasoma na wapweke lakini wengi wangekuwa na elimu zao nzuri naamini wangeandika kitu kuhusu kuhalalishwa biashara yao hii -- tuwatambue hawa ni binadamu kama sisi jamani
Na wale dada zetu wa vyuo vikuu nao hawajasoma? Tena walio soma ndio makahaba balaa.
 
hamna shida yoyote maana ukiwa huitaji hiyo extra unakataa kama ulivokataa wewe hulazimishwi. Massage ni tiba ya viungo kama ulivyojieleza ulikuwa unasumbuliwa na mgongo kuuma ukaenda kupata tiba. Sema baada ya tiba ya massage ukishapona viungo kuuma kinaibuka kitu ingine nayo ni ashkiki, sasa kutibu hiyo ashkiki ndio huduma extra huwa ipo ambayo hulazimishwi, kwahiyo tuache hii mambo ya kulalama kila kitu wakati kuna option ya kupata huduma au kukataa.
Mkuu wee hatari.Hutaki wakuharibia raha yako.Wanasema sana isije ikawa noma.
 
Back
Top Bottom