white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,307
- 13,269
kwa kweli ktk watangazaji wa hapa bongo hakuna anayemfikia huyu jamaa kwa uchambuzi wa miziki ya zamani iwe ya tz,europe,carribean na congo! mpaka ya 50's!na jamaa anakuwa na data za kutosha juu ya mwanamziki/mziki husika.mfano kipindi kile cha msiba wa michael jackson jamaa alitoa history yake,na nyimbo zake,na juzi kifo cha witney jamaa ana data,ukichanganya na ile sauti yake panakuwa patamu.hongera sana kaka masudi unajua nini unafanya,tofauti na hawa vijana wa cku hizi vi2 wahajui kelele nyingi.