Masoud Masoud wa TBC Taifa mbona yuko hivi?

Kiukweli MM yuko juu kimuziki kwa sababu anaupenda muziki. Yeye alianzia u dj enzi zile, huyu ndio yule DJ Niger J enzi za kina Kalikali na Sey Dou!.

Alijiunga na Radio One na akina Aboubakar Liongo, Ahmed Kipozi na John Dilinga na wote wanne wakaenda kuanzisha radio uhuru. Baadae wakasambatika, Dilinga na Abou wakaishia zao mamtoni. Masoud ndipo akajoin TBC.

He is really good!.
Kipindi kile ilikuwa lazima usikilize radio uhuru penda usipende!! Huwezi amini mara ya mwisho kutune radio hiyo ni kipindi hicho hawa jamaa wapo pale!
 
Sure yes.

Kichwa cha habari na habari yenyewe katudanganya. Hiyo imempa sifa ya kuwa KILAZA kwa kuanzia.

Ila baadaye nimempa heshima kwa kumuwekea maelezo mengi na ya kutosha. Asingelitudanganya basi asingelipata jina la KILAZA. Nafahamu sikutakiwa kuandika ila ilibidi nifanye hivyo ili kuonyesha masikitiko yangu ya kuchanganywa kama Shilingi ya Kamali. Nikajikuta natamka neno KILAZA.

hakukuwa na haja ya kumwita jamaa kilaza...
 
Masood is GOOD.. no doubt about that..
Sasa umkute kwenye "Charanga.."..oohh c'mon that man is GIFTED.
 
Sisi tunaomfahamu MM kwa miaka mingi akija mtu akatuambia kwamba yuko vile eti kwa sababu kila mwandishi wa habari ana uwezo wa kutumia Website kupa habari za wanamuziki tutakataa kwa nguvu zote. MM kile ni kipaji chake kutoka kwa mungu na wengine msidhanie ni rahisi kuwa kama yeye.

Enzi zake anaanza kazi Radio One kulikuwa na Website? Michael Jakson itapita miaka 100 hakuna wa kutokea kama yeye siyo kwamba kwa sababu ameondoka na magitaa na maiki zote, bali kwa sababu alikuwa na kipaji cha pekee!!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Alinipa raha last week alipofanya interviewa na Kasongo wa Orchestra Super Mazembe...
Nilifurahia sana kwa kweli.
 
Sisi tunaomfahamu MM kwa miaka mingi akija mtu akatuambia kwamba yuko vile eti kwa sababu kila mwandishi wa habari ana uwezo wa kutumia Website kupa habari za wanamuziki tutakataa kwa nguvu zote. MM kile ni kipaji chake kutoka kwa mungu na wengine msidhanie ni rahisi kuwa kama yeye.

Enzi zake anaanza kazi Radio One kulikuwa na Website? Michael Jakson itapita miaka 100 hakuna wa kutokea kama yeye siyo kwamba kwa sababu ameondoka na magitaa na maiki zote, bali kwa sababu alikuwa na kipaji cha pekee!!

endorsed by ma2mbo.
 
sometimes natamani niwe na audio za masoud masoud nisikilize akizungumzia music!jamaa anajua sana
 
Back
Top Bottom