Saturdays from 2300 at TBC TAIFA | Zilipendwa With Masoud Masoud | Christmas Special

Wildlifer

JF-Expert Member
May 12, 2021
1,883
5,190
Kama kawaida, siku hii muda huu huwa ni muda wa Manju wa muziki, Masoud Masoud. Uzuri wa kipindi hiki ni mchangamano wa Muziki na historia.

Leo ni special kwa ajili ya christmas na nyimbo zake bora 60 years.

Kaanza na Wimbo wa christmas uliotumika kama soundtrack ya filamu ya Baby's Home alone kama namba tatu katika nyimbo za Christmas miaka 60 iliyopita.

Namba mbili ni Mbaraka Mwinshehe, Christmas.

Moja ni King kiki na Masantula. Noele.

Tutoke wote christmas!

Tune TBC!
 
Marquis du zaire on November 1978 recorded that christmas song at Radio Tanzania Dar es salaam! With king kiki as leading singer.

Wakati Tanzania anachapana na Idi amin, burudani zilikua zikiendelea kumbe? Bia 4 shilingi 100 JBourne59
 
Orchestra jubizo
of george peter as a lead singer & soloist.

Sikukuu imefikaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom