MASOUD MASOUD..MANJU WA MUZIKI

MASOUD MASOUD..MANJU WA MUZIKI

Huyu bwana nilishawahi kumuelezea wakati fulani maana mimi namfahamu toka akiwa anasoma sekondari huko Tabora,anaujua muziki haswaa.Alikuwa anaimba na kucheza disko hakuna mfano wake.Nilishiriki kumuandaa kwa ajili ya mashindano ya disko ya kitaifa dar es salaam,mimi kazi yangu ilikuwa kumletea nguo,kaseti za miziki na music system kwakuwa nilikuwa nasafiri kwenda nje mara kwa mara.Sasa mashindano ya kucheza disko yalifanyika dar na dj muandaaji alikuwa jamaa mmoja akiitwa choggy sly.Fainali ilikuwa baina ya abdul shalamar na masoud masoud ambae jina lake la muziki akiitwa nigger j. Nyie,acheni huyo masoud masoud,ni habari nyingine.Alimshinda Shalamar kwa kila kitu.Kwa asili yeye ni suriyama,mama yake ana asili ya kiarabu na baba yake ni mbantu
Basiiii! Wengine walijue hilo na siyo kumchukulia kiboyaboya.Mtu apewe tano zake pale inapobidi tena akiwa hai ili afaharike nasi.
 
Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Dunia,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.

Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa kiasi gani.

Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.

Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generatuion'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.

Nachelea kusema tumjengee sanamu.

Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.

TRUST ME.
Jamaa anaujua muziki deep down,
Kuna wakati nilikuwa interested na kuwajua kwa undani kool and the gang talking about 80's hits(watoto wa 90 na 2000 am sorry) aisee jamaa alinichambulia tangu wameanza hadi mwaka ule ambao ndo nilimuuliza na habari za recent concerts... zaidi alanipa na bonus info kuhusu Nu shoes na sababu kwa nn waliitwa jina hilo ngoma zao kali na mengi kuhusu 80's Funkies.... tukapigq sana story kuhusu soultrain ambayo baadae ndo ilikuja kuzaa hii BET music awards ya sasa. Kwa kifupi kama unaupenda Muziki Masoud ana habari za muziki huo ambazo huenda hata online libraries hawana....
 
Ulivyoridhika na maelezo ya kina kutoka kwake,haukumwambia "twilumba" ili ajibu "wawezya woo"?
 
Nadhani alikuwa analeta mbwembwe huku alikaribu kuwaaminisha vijana kuwa kupambana ndiyo kila kitu.

Hivi jamaa mbona anafanya na Ibrahim Masoud aliyekuwa mchmbuzi wa mchezo pale Clouds FM, ni ndugu?
Hapana,hawana udugu,baba yake ibrahimu masoud alikuwa ni mwanamichezo na alikuwa mpigana ngumu,akifanya kazi kampuni ya viatu ikiitwa Bora na amewahi kufaya kazi duka la bora wilaya mmoja ya nzega mkoa wa tabora.
 
Wakati wa maziko ya Michael Jackson alikuwa ana " narrate" kupitia ITV( kama sikosei).

Matangazo hayo yalikuwa yakirushwa live, kwa umahiri wake wa mitaa, kuwaelezea waliohudhuria, na kufafanua yaliyokuwa yakitkjea na kwa maana gani, TBC iliwalazimu wajiunge na ITV, Kutokana na ubora wa maudhui ya Masoud kwa hadhira ya Tanzania.
 
Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Dunia,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.

Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa kiasi gani.

Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.

Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generatuion'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.

Nachelea kusema tumjengee sanamu.

Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.

TRUST ME.
Huyu ni miongoni mwa malegendari wa tasnia ya muziki walionchi h
Huyu bwana nilishawahi kumuelezea wakati fulani maana mimi namfahamu toka akiwa anasoma sekondari huko Tabora,anaujua muziki haswaa.Alikuwa anaimba na kucheza disko hakuna mfano wake.Nilishiriki kumuandaa kwa ajili ya mashindano ya disko ya kitaifa dar es salaam,mimi kazi yangu ilikuwa kumletea nguo,kaseti za miziki na music system kwakuwa nilikuwa nasafiri kwenda nje mara kwa mara.Sasa mashindano ya kucheza disko yalifanyika dar na dj muandaaji alikuwa jamaa mmoja akiitwa choggy sly.Fainali ilikuwa baina ya abdul shalamar na masoud masoud ambae jina lake la muziki akiitwa nigger j. Nyie,acheni huyo masoud masoud,ni habari nyingine.Alimshinda Shalamar kwa kila kitu.Kwa asili yeye ni suriyama,mama yake ana asili ya kiarabu na baba yake ni mbantu
Kweli unamjua Masoud Masoud au DJ Nigger. Kama wewe sio Born City basi utakua unawajua hao jamaa hasa yule marehemu aliyekua anakaa kule chini Kawe karibia na daraja la Malecela

Marehemu DJ Choggy Sly(Mohamed) alikua akikaa Mwananyamala na alifariki akiwa hapo (karibia na kwa dada yake). Huyu ndio kizazi cha kina Masoud na alikua muandaaki wa mashindano ya kucheza disco

Masoud anaujua mziki kwa kipaji na kwa kusomea. Anajua wanamuziki kwa kuwaishi na kuishi nyakati zao. Sio mziki wa ndani wa hapa nchini bali dunia nzima. Kwa hiyo kwenye hilo jamaa yupo vizuri

Nilipata kuongea nae wakati flani alipotoka TBC akasema pale TBC kuna hazina kubwa sana ya kumbukumbu za mambo mengi lakini wale vijana wanaofanya kazi hawajui chochote kua wamekalia dhahabi
 
Aliwahi kusema alipotoka Kijijini kwao hata kiswahili alikuwa hakijui vizuri. Kupambana ndiyo Kila kitu!
Mtu atokee Tabora ninayoijua asikijue kiswahili? Alikuwa anaweka mbwembwe tu.Watu wa Tabora wanajua kiswahili isipokuwa wachache lafudhi yao ya kinyamwezi/kisukuma awali huwa kikwazo kidogo.
Jamaa aliaanza kujua lugha ya kingereza kabla ya Kiswahili. Alisomea Shinyanga Ile shule inayotumia mtaala wa Cambridge.

Kujua mengi kumuhusu Manji wa muziki tafuteni interview aliyowahi kufanya na Salam Jabir zaidi ya miaka 13 iliyopita.
 
Back
Top Bottom