Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,265
- 75,897
Jamaa Ni Mwembamba Kama Paul James Wa Cloud TelevisionYote ningekubali kuhusu ubonge, plz huyo utakuwa umemfananisha na Wassira.
Jamaa Ni Mwembamba Kama Paul James Wa Cloud TelevisionYote ningekubali kuhusu ubonge, plz huyo utakuwa umemfananisha na Wassira.
Sasa hapa unamsema Maulid Kitenge, yule jamaa anajua kiswahili tu, kiingereza kinamchapa na kichwani ni mtupu yaani yule jamaa anachojua ni kuropoka ropoka tu.Na jamaa anajua lugha nyingi za kimataifa, siyo hawa watangazaji wengine ambao hawana jipya zaidi ya yow! Yow!
Halafu Maulidi kwenye kusafiri kwenda nje hajambo kabisa, sasa sijui huwa anawasiliana vipi akifika ulaya.Sasa hapa unamsema Maulid Kitenge, yule jamaa anajua kiswahili tu, kiingereza kinamchapa na kichwani ni mtupu yaani yule jamaa anachojua ni kuropoka ropoka tu.
Angekua na akili kidogo kichwani sasa hivi angeshaajiriwa na BBC, DWL au hata VOA lakini ndio hivyo jamaa ni seti tupu yule. Na angekua Multi-lingual maana anasafiri sana tena nchi tofauti tofauti.Halafu Maulidi kwenye kusafiri kwenda nje hajambo kabisa, sasa sijui huwa anawasiliana vipi akifika ulaya.
Nadhani akifika kule anajifanya bubu ili awasiliane kwa ishara.
Watu wanaozungumza kiingereza wakimvamia studio, ghafla zile mbwembwe zinakata na jasho kuanza kumtiririka 😂Angekua na akili kidogo kichwani sasa hivi angeshaajiriwa na BBC, DWL au hata VOA lakini ndio hivyo jamaa ni seti tupu yule. Na angekua Multi-lingual maana anasafiri sana tena nchi tofauti tofauti.
Watu wanaozungumza kiingereza wakimvamia studio, ghafla zile mbwembwe zinakata na jasho kuanza kumtiririka 😂
Utasikia, "boss are you Simba or Yanga". Halafu hapo unaweza kukuta ni mgeni kutona Switzerland 😂😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ze ze ze nyingi.
Muziki alianza kuusoma shy bush kwa ngazi ya sekondariHuyu ni miongoni mwa malegendari wa tasnia ya muziki walionchi h
Kweli unamjua Masoud Masoud au DJ Nigger. Kama wewe sio Born City basi utakua unawajua hao jamaa hasa yule marehemu aliyekua anakaa kule chini Kawe karibia na daraja la Malecela
Marehemu DJ Choggy Sly(Mohamed) alikua akikaa Mwananyamala na alifariki akiwa hapo (karibia na kwa dada yake). Huyu ndio kizazi cha kina Masoud na alikua muandaaki wa mashindano ya kucheza disco
Masoud anaujua mziki kwa kipaji na kwa kusomea. Anajua wanamuziki kwa kuwaishi na kuishi nyakati zao. Sio mziki wa ndani wa hapa nchini bali dunia nzima. Kwa hiyo kwenye hilo jamaa yupo vizuri
Nilipata kuongea nae wakati flani alipotoka TBC akasema pale TBC kuna hazina kubwa sana ya kumbukumbu za mambo mengi lakini wale vijana wanaofanya kazi hawajui chochote kua wamekalia dhahabi
Uko sahihi Kwa mfano Mimi naitwa Daniel nikiwa kama mzazi nikimuita mtoto wangu Daniel, maana yake nimemuappriciate kuliko maelezo kuna uhakika akawa role model wangu licha ya kuwa mwananguInaweza nisiwe sahihi moja kwa moja lakini mara nyingi hapa kwetu wasanii wenye jina linalojirudia hua ni hatari sana mfano Omari Omari🙌🙌
Au anakuchapia are you lion or citizenUtasikia, "boss are you Simba or Yanga". Halafu hapo unaweza kukuta ni mgeni kutona Switzerland 😂
Tatizo ni chombo anachofanyia kazi, hata kipindi chake kuna muda hakina consistency ya urushwaji plus dhana ya u-tbccm, ni ngumu akapata heshima anayostahili akiwa tbcLeo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Duniani,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.
Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa.
Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.
Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generation'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.
Nachelea kusema tumjengee sanamu.
Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.
TRUST ME.
View attachment 3681935
Hii mashine hakuna kama hii na haitotokeaLeo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Duniani,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.
Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa.
Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.
Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generation'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.
Nachelea kusema tumjengee sanamu.
Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.
TRUST ME.
View attachment 3681935
Aisee, kumbe alianza mapema kuusoma miziki!Muziki alianza kuusoma shy bush kwa ngazi ya sekondari
Waaandishi wa habari wa siku hizi hawajishughulishi na lugha, hawajui kwamba bila kujua lugha kazi zao haziendi.Au anakuchapia are you lion or citizen
Naaam Rabbaikaaaa