nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,052
- 15,097
Leo nilikuwa namtafakari Masoud Masoud....nikagundua ni baadhi ya watu wachache sana Duniani,,,,, katika ufahamu na uchambuzi wa muziki.
Kwa sisi waswahili wa ki Tanzania hatumpi ile hadhi anayostahili au pengine hatuna habari hii ni hazina kubwa.
Kwa mataifa yenye mipangilio ya mambo watu kama hawa hutumika kurithisha vijana.
Hutumika kutoa Elimu aliyonayo pia kupata mialiko mbalimbali ku'' inspire new generation'' angalau waweze kuvuna hazina iliyopo kwa manufaa ya Taifa.
Nachelea kusema tumjengee sanamu.
Lakini amini kwamba pengine inaweza kuchukua miaka zaidi ya elfu kwa Tanzania kumpata mtu kama Masoud Masoud mwingine.
TRUST ME.