Masoud Kipanya na kifo cha imani ya msalaba

Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
 
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Huwa nawashangaa wanaomuona huyu jamaa ni genius, ni mnafiki fulani tu na mdini.
 
Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Umechelewa sana kumfahamu.
 
Dogo Masoud ni gaidi a.k.a. Muislam, hivi kwa mfano angeweka kitabu cha Qur'an badala ya msalaba....magaidi wenzake wangesemaje juu ya hili?
Mkuu unafikiria kutumia kichwa au makalio? Sasa qur an na mwendokasi vinahusiana vipi? Wakristo wa zamani mulikuwa wasomi ila wa siku hizi Duh!
 
Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Zaman Wakristo walikuwa wasomi ila siku hizi wengi wao vilaza hata muda wa kufikiria kitu hawana wanasubr chadema waokote ajenda nao wajiunge humo humo inakuwa ajenda ya kanisa, maan wenye akili washafahamu anacho maanisha masoud ila vilaza kama wewe chuki za udin na uchadema uliokujaa unaleta mambo ya kanisa kweny vitu haviendani kabisa 😁😁
 
Sidhani kama masudi kaandika KKKT maana naoma hayo maneno sio uandishi wake kwenye katumi naamini anajielewa hawezi fanya jambo kama hilo alieleta uzi ndio atuambie hiyo kkkt kaiweka yeye au kaikuta ila namtetea masudi sio zwazwa kama hivyo
 
Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Hebu tafakari nje ya box mimi ni mkristo ila sioni shida kwa masudi naona shida kwa alieleta mada chunguza hiyo kkkt imeandikwaje
 
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Msalaba ni ukristo?
 
Kwanza katuni halisi haina KKKT.
IMEONGEZWA KIJANJA..
 
Imejibiwa kulingana na mtoa post alivyotafsiri na ukweli unabaki kuwa mambo ya kikristo waachiwe wakristo muislam huna mamlaka ya kukisemea...sawa eeh
Mambo yapi ya kikristo ambayo waachiwe wakristo maana bila hivyo mnaweza hadi kutaka watangazaji wa habari wawe wakristo pia kutangaza habari zenge kuhusiana na wakristo.
 
Dogo Masoud ni gaidi a.k.a. Muislam, hivi kwa mfano angeweka kitabu cha Qur'an badala ya msalaba....magaidi wenzake wangesemaje juu ya hili?
Duh kwani makaburi ya waislamu huwa wanaweka kitabu cha Qur'an au siku hizi kitabu cha Qur'an kimekuwa alama ya kaburi?
 
Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Wakristo wenye kushabikia vita ya Gaza ndio unasema wana uvumilivu?
 
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.

You are a slave
 
Back
Top Bottom