Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Masudi kipanya hii ya kidole cha kati haiko sawa....michoro yako daima ni ya busara anaeweza kutafisiri hata mtoto mdogo..hapa ulikosea...binafsi sikuridhika...
kawaida mwanadamu hudhihirisha alivyo kutokana na chuki ama furaha aliyonayo. Masudi amewakilisha kilichokuwa moyoni mwake muda mrefu kwani watanzania wengi huishi maisha tegemezi. kinyume na hivyo itakuwa kiburi na kulewa sifa. ama la sivyo basi anataka aliowachora wapate sababu ya kufidiwa na gazeti hilo!! Kwani mhariri hakuiona katuni hiyo kabla haijachapishwa gazetini? Nasubiri kusikia tamko la BASATA
