Hata mie cjapendezwa na wewe.Kuna mambo ya maana (Macro) unaacha kuyakemea unaandamana for just Micro issues.Mbona hujakemea ukosefu wa huduma za matibabu na shule kama vile upungufu wa madawati,matumizi mabaya ,wizi wa pesa za umma nk.Huo uongozi wao unaoabudu umetusaidia nini basi nenda kachore wewe au omba ajira ya uhariri kwenye gazeti hilo ili achore utakacho.Natumai wote ni wazima.
Binafsi sijapendezwa na katuni iliyochorwa jana katika gazeti la Mwananchi kama ambavyo huwa inachorwa na Bwana Masoud.
Ki ukweli ukiiangalia kwa makini utagundua ina "Matusi" na waliochorwa katika katuni hiyo ni viongozi wa Taifa hili. Nadhani Mhariri wa gazeti la Mwananchi ni vyema wakaweka mipaka katika katuni zao. Ili kulinda heshima ya gazeti lao.
Mandla.
It is unfair. Anaweza kuzua mengi kwa wahusika.