wapo, wapo watu masikini kabisa, kabisa ,na bado ni wazalendonani mwenye maadili ccm?
sasa hapo kinyume ki wapi?haya ni hii hapa....mjumbe hauwawi
Natumai wote ni wazima.
Binafsi sijapendezwa na katuni iliyochorwa jana katika gazeti la Mwananchi kama ambavyo huwa inachorwa na Bwana Masoud.
Ki ukweli ukiiangalia kwa makini utagundua ina "Matusi" na waliochorwa katika katuni hiyo ni viongozi wa Taifa hili. Nadhani Mhariri wa gazeti la Mwananchi ni vyema wakaweka mipaka katika katuni zao. Ili kulinda heshima ya gazeti lao.
Mandla.
katuni yenyewe hii hapa?
Haya ni hii hapa....mjumbe hauwawi
iko wapi sasa unatoa povu wakat picha yenyew hamna.... Kama huwez kutuwekea ushahidi ulikuwa huna maana ya kuandika uozo hapa
Sio busara na mimi kuiweka hapa. Tayari nimeshaona haifai, sasa kuiweka hapa ni kuendeleza ujinga.
Kwendeni Zenu Huko. Mbona Katuni Zake Zingine Huwa Hamzisifii? Hii Katuni Ya Masoud Kipanya Na Picha Za UTUPU Ambazo Kila Siku Tunaziona Tena Katika Magazeti Yenu Pendwa Ya Udaku Mbona Huwa Hamuyakemei Kiasi Hiki Na Tena Maudhui Yao Mengi Huwa Ni Ya KIMATUSI Kuanzia Picha Na Muda Mwingine Hata Maneno Huku Nyie Wenyewe ( Wewe Ukiwemo ) Na Haswa Watoto Wenu Hawa Wa Shuleni Ndiyo Wakiwa Wanunuzi Wakubwa Ipi Ni Hatari Katika Jamii? Mnajifanya Mnajua Masuala Ya Maadili Na Nidhamu Wakati Wengi Wenu Hamna Hata Theluthi Ya Maadili Mema Kuanzia Kwenu Na Katika Jamii Zenu Husika Zinazowazunguka. Halafu Ukome Kuniambia au Kunifanananisha Mimi Na Masoud Kipanya Na Kuna Siku Mtanifananisha Pia Hata Na Yesu Kristo Wa Nazareth!
Kila siku Kikwete anatukana humu JF mbona husemi?Masudi kipanya hii ya kidole cha kati haiko sawa, michoro yako daima ni ya busara anaeweza kutafisiri hata mtoto mdogo. Hapa ulikosea, binafsi sikuridhika!
kwa kuwa ni health professional....naelewa wazi Gentamycine ni dose ya nn...una haki ya kutoka povu...! pole sana getwell soon!!..ungefanana na masoud walau ingekuwa powa.....msimamo wangu uko pale pale....mchoro auko sawa...na jamii yangu pamoja na hii ya humu Jf kuna watu na viatu...
hivyo vidole vya katikati ndio kabisa vimeharibu kabisa
kawaida mwanadamu hudhihirisha alivyo kutokana na chuki ama furaha aliyonayo. Masudi amewakilisha kilichokuwa moyoni mwake muda mrefu kwani watanzania wengi huishi maisha tegemezi. kinyume na hivyo itakuwa kiburi na kulewa sifa. ama la sivyo basi anataka aliowachora wapate sababu ya kufidiwa na gazeti hilo!! Kwani mhariri hakuiona katuni hiyo kabla haijachapishwa gazetini? Nasubiri kusikia tamko la BASATA