Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Sikiliza zamani mtu anatoa wanawake 4 au zaidi lakini wanakaa nyumba moja tu hivo ilikua rahisi Sana kuwapa malezi mazuri watoto watakaozaliwa. Na pia kumbuka ndoa sio kufanya mapenzi tu, kwa Hilo kabugi na ukumbuke hakuna mwanamke anaependa ukewenza sema ni umasikini wa hao wanawake ndo umewapekea kuolewa hivyo.
Yaani unafurahisha na kuchekesha.Hivi kweli unaweza kuwa na ushauri sahihi kweli kwa mwanaume ambaye ameishakuwa ndani ya ndoa kwa zaidi ya miaka 20?.Unaelewa nini unaposikia huyu ameoa mke wa nne hii leo?.Huyu ni mwanaume ambaye aliishi ndoa ya mke mmoja,akaishi ndoa ya wake wawili,akaishi ndoa ya wake watatu na sasa ameingia kuishi ndoa ya wake wa nne.Ndugu!Uwezi kuwa mshauri juu ya jambo ambalo huna uzoefu nalo wala uwezi kuliishi.Acha wanaume tupongezane wenye kuyaishi haya.
 
Mungu alimpatia Adamu msaidizi na si wasaidizi huku ni kuzini kwa kuitumia kichaka Cha dini.
Na Ibrahim ukabarikiwa uzao wake wa wake wa wili na ajabu mataifa 12 ya wana wa Israeli(Yakobo)kutoka mama wanne tofauti, yakawa mataifa mateule ya Mungu .
 
Uki soma vitabu vya Mfalume Suleiman uta ana sema kabisa yote aliyo fanya ni "utupu na kujilisha upepo" yani ana juta, ana hakuona faida yoyote ya kua na wake wengi.

Kwenye ulimwengu wa kistaarabu tu kuwa na wanawake wanne ni ubatili. Yani hisia zime zidi ufahamu wako ama zime kutawala.
Unaweza nitajia mama mmoja aliyewazaa wana 12 wa Yakobo akiwa peke yake?Mbele ya Mungu wako ni taifa lipi liloteule mbele yake?.Unapokea maandiko kama vichaa bila ya kutafakari akilini mwenu.
 
Unaweza nitajia mama mmoja aliyewazaa wana 12 wa Yakobo akiwa peke yake?Mbele ya Mungu wako ni taifa lipi liloteule mbele yake?.Unapokea maandiko kama vichaa bila ya kutafakari akilini mwenu.
Mbona mimi sija tukana
 
MMMMh, hiyo ya wake wanne si kujikaribishia ile kauli ya kizuri kula na mwenzio, hapo kuchapiwa lazima maana sio wanawake wote watakuwa na roho ya kujitunza
 
Mke mmoja anakuwa na jeuri na kiburi sana kama ukimpata ambaye akili imemkaa upande ila ukiwa nao wa4 atadengua saa ngap akizingua unahamia upande wa pili no stress ni full adabu kutawala sana sana watarogana wenyewe kwa wenyewe
 
Watu wanavyo kua wana punguza idadi ya marafiki sasa wewe unakua na wanawake wanne uwapeleke wapi?
 
Safi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
Umenena kweli na ukweli.mtupu
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Huyu na Dr. nani yule hatari kwa kuoa
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Ally Masoud Nyomwa
 
Duuh Massoud anatimiza 50 mwaka huu? Mbna hafanan hata.
Nwei hongera kwa ndoa yake hii.
 
Unakuwa tu na bonge la compound. Watoto wanacheza pamoja, wanajifunza pamoja, wanafurahi pamoja. Na nyumba zinakuwa za kutosha, za kisasa, magari ya kufanyia kazi, kupeleka watoto shule pia yawepo ya kutosha na ya uhakika, na wives pia wawe wanafanya kazi kwa biashara, na watoto wanajifunza kazi pamoja, biashara pamoja, wanapata burudani kama movies pamoja, mnasali pamoja, nk. Naona imekaa vizuri sana.. cha muhimu unakuwa tu mkuu wa Boma mwenye hekima ya uongozi na heshima iwepo pote manake kila mtu amheshimu mwingine pamoja na wives na watoto waheshimiane na wapendane.

Wewe kaka uko na free mind sana .Nakuelewa sana
 
Mambo ya Waislam hayo na hiyo ni sunna ya Mtume (s.a.w) pia ni mafundisho ya Allah katika surat nisaa ndani ya kitabu cha Quran aya nimeisahau.

Wenzetu Waislam wanaanza kwakuambiwa waoe wanawake wanne au watatu au wawili na ukishindwa kuwafanyia hisani ndio uoe mwanamke mmoja.

Haki ya Mungu siku kanisa wakiruhusu ndoa za mitala nitaioa micheko yangu yote

 
Hapo ndipo huwa nadharau uislamu! Yaani ukiona tamaa tu unaongeza kuoa au unatoa talaka uoe tena. Maisha yanaisha tamaa haziishi. Yaani dini na uchafu uchafu tuuuu

Ukishajiita fisi akili utatoa wapi sasa?Wivu huo na chuki zisizo na maana .Hela huna mwanamke utampata wapi?
 
Hizo ni tamaa tu hata kama dini inalihusu lakin mazingira yamebadilika .Hata Huko Uarabuni vijana wengi wa huko Sasa hivi wanaoa mwanamke mmoja tu.Kuoa wanawake wengi ni migogoro katika familia .Sawa ana uwezo wa kuwahudumia na ni maisha yake lakini sio mfano wa kuigwa katika jamaii .Ingekua vizuri Sana nisikie Kipanya kafungua kampuni na sio kuongeza mke wa nne.

Unalazimisha vipaumbele vyako viwe vyake?Pambana na hali yako.
 
Back
Top Bottom