kwa maana nyingine, ukiwa na wake wanne, unapanga kama ifuatavyo:-]
1. wiki la kwanza la mwezi, kwa mke mkubwa. jiulize kama utanjunju siku saba zote ukizingatia amekusubiri wiki tatu zilizopita.
2. wiki la pili kwa mke wa pili. je? utanjunu siku zote saba? ikizingatia amekusubiria wiki tatu kwenye mzunguko.
3. wiki la tatu kwa mke wa tatu..the same applies.
4. wiki la nne unamalizia kwa mke mdogo, tena mwenye umri mdogo kuliko wote, hataki kimoja, anataka vya kueleweka. na wewe umechoka wiki tatu zilizopita umechoshwa na wake watatu wakubwa zake. swali la kujiuliza, kuna mwanamke aliyeolewa atakusubiri wiki tatu nzimba ili zamu yake ifike, wakati anajua wewe upo hapahapa mjini na unafanya ngono na wenzake? asilimia kubwa lazima watachepuka. pia, wanaume huwa tunapenda sana ngono, lakini kuna wakati inakuchosha hasa ukizingatia maisha ya siku hizi kazi nyingi, stress za kazini, kutafuta pesa n.k, uwezo wetu wa kufanya ngono mfulilizo mwezi mzima tena kwa wanawake wenye hamu za kutosha walikokuwa wanakusubiria wiki tatu nzima kwenye mzunguko wa zamu, lazima uzeeke mapema au la, unawatesa wanawake zako kwasababu inawezekana usiwamudu wote na kuwaridhisha au inawezekana wakachepuka mkasambaziana magonjwa ninyi wote watano. mwanamke mmoja tu watu wanaoa lakini kila kukichwa wanalalamika hawaridhishwi, hivi wanawake wanne ndio wataridhishwa? unaishi kwa kufanya mapenzi tu huwazi wala kufanya shughuli zingine za kiuchumi.