Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
UPDATE:
JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ni UZUSHI.
Yeye (Kipanya) asema aliyesambaza taarifa hizi "AMESAIDIA"