Sijawahi kuona serikali legelege na ya kipumbavu kama hii.Na nadhani hii ndo itakuwa serikali legelege na ya kipumbavu kupita zote nitakayoishuhudia katika maisha yangu.Unajua kuna mambo yanatia hasira hakuna mfano.
Nasikia mwenye nchi alimaliza ziara haraka haraka Bukoba na kufly South kumaliza so!!! Sijui kama habari hizi ni za kweli, kama ni za kweli, basi sebuleni kwetu si kusafi!!!!!
Tiba