Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

a63cd9e38964634741a5a3fe89055308_L.jpg

 
Hakuna cha kushangaza hapo. Nenda popote duniani, biashara yoyote haramu ikisimamiwa na Mtoto wa Rais huwa inapigwa kama Halali tu. Kilichobakia ni bunge la Jamhuri ya Muungano kuhalalisha sembe, kwanza tuliambiwa wakianza kutajwa wahusika wabunge hawatakaa mule bungeni. CCM oyeeee
 
Vita ya mihadarati ni ngumu sana, may be tujitahidi kudhibiti kwa kiwango flani na sivyo kama wasemavyo waishiwa kuwa wataitokomeza, huku wao ndio vinara wakubwa wa biashara hizo.
 
Nasikia mwenye nchi alimaliza ziara haraka haraka Bukoba na kufly South kumaliza so!!! Sijui kama habari hizi ni za kweli, kama ni za kweli, basi sebuleni kwetu si kusafi!!!!!

Tiba
Hapa nahisi unamaanisha Dakta Jakaya Mrisho Kikwete
 
hata hivyo masogange hiyo ephredrine kaitoa wapi na anaipeleka wapi? hayo ndio maswali ya kumuuliza akirudi.
 
mwisho wa haya yote ni aibu kubwa kwa nchi yetu nzima; si suala la kumsema vibaya mwakyembe, badala yake ni wakati wa kumtia moyo pamoja na wazalendo wa kweli wanaoonesha wazi kuchukizwa na biashara hiyo haramu!
 
Mambooo, yamekuwa mamboo... rais Kikwete amefanya mambo, huyo masogange mambo yake sasa, tambarareeee!
 
Hapa nahisi unamaanisha Dakta Jakaya Mrisho Kikwete

Wewe Mvaa Tai, mbona unanitafutia balaa? Mimi sijasema hivyo hata, bado nazipenda kucha na meno yangu!!!!!

Tiba
 
Dah dingi riziki analimaliza taifa jamani,china alienda na gesi akatoa SA lazima wamemla goti sijui km hajataifisha mwenge yote??????
 
Hahahaaaaa usiogope kijana wale watoa kucha ni askari wa kujivalisha tu uhusika
 
Kaka ngoja tusubiri km hatujaambiwa udsm imebinafsishwa na kizulu kitakuwa lugha ya lazima kwa kila mwanachuo....ukipita udsm lazima uanze UTINIWENA......unasikia tu ........UTINIWENA BRA.....mweeeeeh....bora kufa kibudu
 
Sasa ngoja na mimi nikaombe hiyo ajira pale chini, sifa nisaidieni, wanaojua sifa za kupiga hii kazi! kumbe ni ephedrine???

uwe macho tu na kampuni itakayokuajiri, vinginevyo utasota na kufia china/hongkong kama wenzio ambao wamepata ajira kwenye kampuni zisizo na hati miliki
 
eti wanaandaliwa mapokezi makubwa dah nchi hii.
 
hay maisha kwa sisiemu ndio maisha yao wote ni wachafu hakuna msafi?
mzee mmoja ambaye alijiuzuru siku za nyuma alisema kama lile swala la kuvua gamba lingefanyika kikamilifu hakuna wakubakia kati yao wote ni wachafu.(wauzaunga,wauaji,mafisadi)
mbaya zaidi wanajipanga kuhakikisha kuwa hawaondoki madarakani kwa gharama yoyote.
wacha punda wafe lakini mzigo ufike.
 
Back
Top Bottom