Nimeiona hiyo stori kwenye Raia Mwema na gazeti moja la udaku(silikumbuki)kwenye meza za magazeti,lakin kwa hili linalojadiliwa hapa,wauza unga wamepiga bao muhimu sana kwenye game muhimu mno na ndo bao la pekee na la kihistoria,ila pia naweza kusema sasa (kisirisiri) biashara ya unga imehalalishwa Afrika,acha wazungu wapambane tu,Nzowa pale ofisini (kwa mujibu wa kauli zake)ni kama taasisi yake ya kujichumia mapesa,nadhan hayo makaratas ya Orodha ya wauza unga yamemzunguka ofisini na hata pakukaa hana,,,,,
ameshindwa kupambana na biashara ya dawa za kulevya si tu kwa mizigo isyokamatwa hata inayokamatwa,pamoja na kwamba anadai ana orodha ya wauza unga manguli,inaonesha hana nia na washirika wake kuwafanyia uchunguz hao jamaa na kuwakamata,leo hii wanakuja na wimbo wa mahakama ya wauza unga,they r buying time,wasituhadae,sheri hii iliyopo inaweza tu kusaidia kupambana na wauza unga na watu wa aina hiyo,vilevile matukio yanayofanywa na KIRANJA MKUU nayo yanahalalisha hii biashara jamani,kumtibu ray-C na kukaa kimya bila kutia neno ni sawa na kukubaliana na hii bizness,kukutana na mateja na kuongea nao bila kutoa wito kwao na wauza unga pia ni kama amekubali,watanzania hatutak list ya wauza unga,watanzania tunataka ukomeshaj wa hii biashara kwa kuwakamata na kuwapoteza wauza unga,,,wakubwa,wadogo mpaka hawa wauza kete,jaman polisi wanawafahamu hawa,huwez uza unga au gongo bila kujulikana na polisi,,,,kuna utaratibu(sio rasimi)wa kupeleka pesa kwa mapolisi,sasa kwa Tanzania na nchi nyingi za afrika hakuna mpango madhubuti wa kupambana na wauza unga,na kwa sasa wanafanya makusudi kuwakomoa wale wanaojifanya wanapambana na hii bizness(akina mwakyembe),kwanza rais haonesh kukerwa kabisaaa
Kwanini hufurahi mtanzania mwezetu kuachiwa huru?