Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Kwhyo na mimi nikikamatwa na mapapai mabovu,sukari na pipa nataka kutengeneza gongo porini nitakuwa sina kosa? Au nikakamatwa na majani ya bangi bado hayajasokotwa kwenye rizla co kosa?

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Wana Jf habari ni kuwa wale vinara waliokamatwa na mzigo mkubwa wa sembe huko SA wenye thamani ya 6.8 bilion sasa wataachiwa huru kwani imeonekana kuwa mzigo huo haukuwa ni madawa ya kulevya bali ephedrine ambazo haziko kwenye kundi la dawa za kulevya

Habari zinasema ephedrine ambayo inasemekana ndiyo waliyoisafirisha akina dada hao inaangukia ktk kundi la vibashirifu yaani dawa ambazo malighafi yake inaweza kutumika kutengeneza dawa za kulevya.

Hivyo basi kesi yao haina nguvu tena na wanatarajiwa kupewa dhamana wakati wowote kutoka sasa.
Source:Gazeti la Raia Mwema Sep.18, 2013

Huu ni mweleka wa hali ya juu sana aliopigwa Dr.Mwakyembe!!
Hakika imeniacha na maswali mengi pasipo
majibu!!!

Ikumbukwe kabla ya taarifa hizo mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya Alfred Nzowa alienda SA kwa kile alichodai kwenda kuangalia kama watanzania hao wanatendewa haki ktk kesi yao!!!
Mimi nikajiuliza hivi wako watanzania wangapi wanaotuhumiwa na sembe China, Hong Kong na kwingineko, kwa nini huyu mkuu aende SA tu?????

Ni Nzowa huyo huyo baada ya kutoka SA alisema kuwa watuhumiwa wamewataja watu waliowatuma mzigo huo na ni mnyororo mrefu sana. Hivyo ataufanyia kazi. Ina maana watuhumiwa walitaja majina ya wauza apples!!!!

Lakini taarifa za nyuma zilisema kuwa watuhumiwa waliingizwa katika chumba cha mateso baada ya kutoonyesha ushirikiano kwa polisi SA wa kutaja wahusika wa mzigo. Lakini baada ya kuingizwa ndani ya chumba hicho walisema kila kitu!!!!!
Najiuliza, inamaana watuhumiwa waliteswa kabla ya kuthibitisha kwa uhakika mzigo walioubeba ndani kulikuwa na nini?

Hakika vita ya kupambana na madawa ya kulevya ni ngumu mno. Wampambanaji ndio wanaomiliki,wanaoratibu,wanaosafirisha,wanaosimamia na kuendesha biashara hiyo ya sembe.

Ni lini Tanzania italivalia njuga kwa dhati tatizo la dawa za kulevya????

halafu mwanzo mbn walisema dawa za aina nyingine..?
Jumapili iliyopita mtandao huu ulipata taarifa za kukamatwa kwa dawa za kulevya aina ya Crystal Methamphetamine zenye thamani hiyo nchini Afrika Kusini wakati zikisafirishwa kutoka Tanzania...source taarifa za mwanzo..

tuambine ukweli amekamatwa na aina ipi ya madawa..?
 
Hizi kesi zote tunazifufua,tukiipiga chini CCM 2015
 
Ishu hii ngumu sana. Lakini kwa mujibu wa sheria kama zile malighaf hazihusian na madawa ya kulevya wapo huru hakuna kes ya kujibu. Lakin ishu ya kusema sijuw Nzowa alikwenda SA na nn SA ni nchi ya SADC sheria inaruhusu kubadilishana maswala ya wafungwa. Kushirikiana katika upelelezi. Watanzania timezowea kuhukum kes hata kabla haijaisha. Vyombo vya habar nyakat zingine vinaandika vitu wasivyo vijua na nyakati zingine vinaandika kwakukurupuka. Et wanasema waliteswa mpaka wakasema wote. Tchng yoyote inapofanyika inafanyika kwa siri. Nahua kilichosemwa huwa hakitoki kwa maslah ya ushahid. Sasa gazet linaandika kabisa waliingingizwa kwenye chumba cha siafu. Kwaakuwasaidia tuuu nikwamba mateso ya hivyo siku huz hayapo. Kuna mateso ya kisasa huchukui hata dk 3 ushasema yoteE

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakuu Mkoroshokigoli na Emirates4 nawaelewa kwa majibu yenu, mchango wangu juu ya hili swala haukulengwa kwa wenye mamlaka kwani wao walishachukua hatua na wanajua wamefanya nini. Nilicho kisema bado ni kile kile kuwa haileti maana yeyote ile kusafirisha mzigo wa 'panadol' kutoka Tz kuupeleka SA.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sio hilo, tatizo lipo kwenye biashara yenyewe lazima mtandao wao uwekwe wazi na wa kufanya hivyo ni hao ambao leo hii tunaambiwa hawana kesi ya madawa ya kulevya.

Hawana case ya kujibu mkuu au wewe una akili nyingi sana kuliko watu wa south africa na serekali yako ya tz?
 
Hawana case ya kujibu mkuu au wewe una akili nyingi sana kuliko watu wa south africa na serekali yako ya tz?
UNA MAANA AKILI YAKO INAWEZA KUZIDI PESA YA WAUZA SEMBE? Acha nikukumbushe kuwa kushinda kesi hata mjinga anaweza kushinda kesi provided anajua kuzichanga noti vizuri tu, wewe tegemea akili zako utaishia gerezani tu.
 
Nasikia mwenye nchi alimaliza ziara haraka haraka Bukoba na kufly South kumaliza so!!! Sijui kama habari hizi ni za kweli, kama ni za kweli, basi sebuleni kwetu si kusafi!!!!!

Tiba
mkuu Tiba,huyu mzee haachi vitu hizi hata kama ni wa mkamo wa mwanae mwana mfalme!!!
1014432_509333492468693_1335700993_n.jpg
 
kwa hiyo kama ani halali , mtu yeyote anaruhusiwa kusafirisha?
 
Karibuni Masogange na Melisa tutakuwepo Airport kuwapokea, na wakiachiwa tu kwa dhamana kuna kituo kimoja cha redio kitawafanya dili kwa muda wa kama mwezi mmoja hivi. Na pia kuna makanisa yanasubiria kujizolea umaarufu wa kuwaokoa. Mjini hapa!
 
Mara nyingi Mzigo ukikamatwa SA huwaga na choice mbili: Moja vigogo wa idara maalumu wanufaike nao !! na pili Punda aloleta mzigo kuwa deported hawana time ya kumlea/kumlisha mkosefu hapo dili inapangwa. Huko China/Malasyia Punda ni kuexcute (huuliwa). Na nchi zingine ni kifungo cha miaka kadhaa!! Hapa kwetu Mzigo ukikamatwa unabaki airport na huwaga mgao wa wajanja na baadaye hufanyiwa Re-route...! Punda hugombolewa na Vigogo, sasa hakuna cha ajabu Mtandao huu unauwezo mkubwa !! Mnyororo huu ni vigumu kukatika !! Hazina lake maBilioni !! Wakuu hapo panahitajika Patriotism na Team work No-Stop kupambana.
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho naona hatuelewi ni nini ila wenye business zao wanajua wanachofanya kama ni kweli au c kweli ila Yote yatafunuluwa siku ya mwisho Mungu ndiye ajuaye. mnatudanganya 2 hapa hivi huyo mabange na mwanzake wanapata vp hzo dawa hata kam co za kulevya hapa tz kuna viwanda vya kutengeneza hzo ephirene
 
Mara nyingi Mzigo ukikamatwa SA huwaga na choice mbili: Moja vigogo wa idara maalumu wanufaike nao !! na pili Punda aloleta mzigo kuwa deported hawana time ya kumlea/kumlisha mkosefu hapo dili inapangwa. Huko China/Malasyia Punda ni kuexcute (huuliwa). Na nchi zingine ni kifungo cha miaka kadhaa!! Hapa kwetu Mzigo ukikamatwa unabaki airport na huwaga mgao wa wajanja na baadaye hufanyiwa Re-route...! Punda hugombolewa na Vigogo, sasa hakuna cha ajabu Mtandao huu unauwezo mkubwa !! Mnyororo huu ni vigumu kukatika !! Hazina lake maBilioni !! Wakuu hapo panahitajika Patriotism na Team work No-Stop kupambana.

Mkuu kupambana na fedha ni sawa na kupiga ngumi ukuta!!!
 
kwani masogange alimeza??? Ephedrines hazimezwi mkuu!


kuhusu issue yakina masogange,,wale wapo level ya juu sana katika hii biashara ya sembe ,,ila mpaka wamefikia hapo jua wametumika sana na wamemeza sana kete,,,,kwa mtu anayetaka kuingia katika hii biashara yakuwa punda,,lazima aanze na hatua ya awali yakumeza kete,,unavyozidi kuonyesha ufanisi katika kazi ,,ndio utaanza kupewa mabegi kama kina masogange,,,,karibu sana mkuu...
 
Sawa hata wakiachiwa,swali la kujiuliza:nani mmiliki wa huo mzigo,kwanini waliuficha,waliulipia kodi?rushwa nyingine ya kitaifa inanukia.baada ya tetesi kuwa ridhiwani alikamatwa china na mzigo na gesi ya mtwara ikauzwa hii sasa inasemekana mzigo wa mtoto wa kingunge na juma pinto.
Kingine kwanini kama mzigo wa halali ulipita kimagendo jkia.
 
WAtuhakikishie kama inaruhusiwa maana hatuna biashara za kufanya.haki ya mungu ccm inang'oka live madarakani
 
Back
Top Bottom