Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

wana jf habari ni kuwa wale vinara waliokamatwa na mzigo mkubwa wa sembe huko sa wenye thamani ya 6.8 bilion sasa wataachiwa huru kwani imeonekana kuwa mzigo huo haukuwa ni madawa ya kulevya bali ephedrine ambazo haziko kwenye kundi la dawa za kulevya

habari zinasema ephedrine ambayo inasemekana ndiyo waliyoisafirisha akina dada hao inaangukia ktk kundi la vibashirifu yaani dawa ambazo malighafi yake inaweza kutumika kutengeneza dawa za kulevya.

Hivyo basi kesi yao haina nguvu tena na wanatarajiwa kupewa dhamana wakati wowote kutoka sasa.
Source:gazeti la raia mwema sep.18, 2013

huu ni mweleka wa hali ya juu sana aliopigwa dr.mwakyembe!!
Hakika imeniacha na maswali mengi pasipo
majibu!!!

Ikumbukwe kabla ya taarifa hizo mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya alfred nzowa alienda sa kwa kile alichodai kwenda kuangalia kama watanzania hao wanatendewa haki ktk kesi yao!!!
Mimi nikajiuliza hivi wako watanzania wangapi wanaotuhumiwa na sembe china, hong kong na kwingineko, kwa nini huyu mkuu aende sa tu?????

Ni nzowa huyo huyo baada ya kutoka sa alisema kuwa watuhumiwa wamewataja watu waliowatuma mzigo huo na ni mnyororo mrefu sana. Hivyo ataufanyia kazi. Ina maana watuhumiwa walitaja majina ya wauza apples!!!!

Lakini taarifa za nyuma zilisema kuwa watuhumiwa waliingizwa katika chumba cha mateso baada ya kutoonyesha ushirikiano kwa polisi sa wa kutaja wahusika wa mzigo. Lakini baada ya kuingizwa ndani ya chumba hicho walisema kila kitu!!!!!
Najiuliza, inamaana watuhumiwa waliteswa kabla ya kuthibitisha kwa uhakika mzigo walioubeba ndani kulikuwa na nini?

Hakika vita ya kupambana na madawa ya kulevya ni ngumu mno. Wampambanaji ndio wanaomiliki,wanaoratibu,wanaosafirisha,wanaosimamia na kuendesha biashara hiyo ya sembe.

Ni lini tanzania italivalia njuga kwa dhati tatizo la dawa za kulevya????

hata kama hazipo moja kwa moja ktk kundi la dawa za kulevya, je wahusika waliosafirisha mzigo mpaka huko ni watu sahihi(yaani ni fani yao) kusafirisha?. Tujiulize hapo.
 
Wana Jf habari ni kuwa wale vinara waliokamatwa na mzigo mkubwa wa sembe huko SA wenye thamani ya 6.8 bilion sasa wataachiwa huru kwani imeonekana kuwa mzigo huo haukuwa ni madawa ya kulevya bali ephedrine ambazo haziko kwenye kundi la dawa za kulevya

Habari zinasema ephedrine ambayo inasemekana ndiyo waliyoisafirisha akina dada hao inaangukia ktk kundi la vibashirifu yaani dawa ambazo malighafi yake inaweza kutumika kutengeneza dawa za kulevya.

Hivyo basi kesi yao haina nguvu tena na wanatarajiwa kupewa dhamana wakati wowote kutoka sasa.
Source:Gazeti la Raia Mwema Sep.18, 2013

Huu ni mweleka wa hali ya juu sana aliopigwa Dr.Mwakyembe!!
Hakika imeniacha na maswali mengi pasipo
majibu!!!

Ikumbukwe kabla ya taarifa hizo mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya Alfred Nzowa alienda SA kwa kile alichodai kwenda kuangalia kama watanzania hao wanatendewa haki ktk kesi yao!!!
Mimi nikajiuliza hivi wako watanzania wangapi wanaotuhumiwa na sembe China, Hong Kong na kwingineko, kwa nini huyu mkuu aende SA tu?????

Ni Nzowa huyo huyo baada ya kutoka SA alisema kuwa watuhumiwa wamewataja watu waliowatuma mzigo huo na ni mnyororo mrefu sana. Hivyo ataufanyia kazi. Ina maana watuhumiwa walitaja majina ya wauza apples!!!!

Lakini taarifa za nyuma zilisema kuwa watuhumiwa waliingizwa katika chumba cha mateso baada ya kutoonyesha ushirikiano kwa polisi SA wa kutaja wahusika wa mzigo. Lakini baada ya kuingizwa ndani ya chumba hicho walisema kila kitu!!!!!
Najiuliza, inamaana watuhumiwa waliteswa kabla ya kuthibitisha kwa uhakika mzigo walioubeba ndani kulikuwa na nini?

Hakika vita ya kupambana na madawa ya kulevya ni ngumu mno. Wampambanaji ndio wanaomiliki,wanaoratibu,wanaosafirisha,wanaosimamia na kuendesha biashara hiyo ya sembe.

Ni lini Tanzania italivalia njuga kwa dhati tatizo la dawa za kulevya????

Juzi ilikua Crystal metamphetamine, leo imekua ephedrine tena mkuu?!

Ni kweli kuwa molecular structure zake zinafanana japo moja ni amine nyingine ni alcohol. Na kutokana na hilo ephedrine hunatumika kutengeneza metamphetamine kwa reduction process!

Hivyo inawezekana kuwa walichukua ephedrine ili kutengeneza metamphetamine maana hiyo ndo inahitajika kwenye black market!!
 
mkuu nimesoma thread nzima hii....nimeshakata tamaa ya kuishi tanzania sina tena imani na serikali ya ccm
 
Naona tuwekane sawa kwa facts za hii kesi. Kwanza tujiulize kwa nini msanii asafirishe dawa aina ya ephedrine kuipeleka S/Africa nchi yenye viwanda vingi vya madawa ya binadamu na wanyama. Pili tutizame gharama ya kusafirisha mabegi yote hayo kwa dawa ambayo bei yake ni rahisi. Vile vile tazama jinsi mtandao wa askari na wafanyakazi wa JNNIA walivyoupitisha ule mzigo. Hapo doti haziunganiki kabisa halafu leo unatupiwa changa la macho kuwa hizo ni dawa za kawaida tu.

Nimeamua kuitosa ccm rasmi nchi imeshawashinda
 
zinapatikan awapi tuanze kusafirisha? 6 billion? hahahahahaha ...this country bwuaaana...circus
 
Kama sio madawa yakulevya kwa nini waliyapitisha kwa siri? Na yule mwenzao kwa nini altoroka? Huu udhaifu ni wa SA sio Tz. Mapapa wa SA wana Nguvu sana!!
taratibu naanza kuumani ule uvumi na udaku kuwa kuna kijana wa Tanzania mwenye hadhi kubwa aliyekamatwa China na yakamalizwa kwa kutoa either sehemu ya nchi au rasilimali zake ili aachiwe. Kwa maana hiyo hawa wadada kuachiwa huenda SA ikawa imepewa chake ili kumaliza hili suala juu kwa juu.
Ni mawazo tu lakini kama Watanzania tunaangalia mbele basi tufundishe wanasheria wetu mbinu za kuvunja mikataba hasa ya kimataifa maana ikitokea bahati wanaohusika na huu uchafu wakatoka katika system ya utawala ni wazi mikataba mingi huenda ikakutikana ikihusika na deals kama hizi badala ya maslahi ya nchi na wanachi wake.

UNA MAANA AKILI YAKO INAWEZA KUZIDI PESA YA WAUZA SEMBE? Acha nikukumbushe kuwa kushinda kesi hata mjinga anaweza kushinda kesi provided anajua kuzichanga noti vizuri tu, wewe tegemea akili zako utaishia gerezani tu.

Pointless mkuu mawazo yako yana side effect kwa jamii hukupaswa kuwepo hapa jamvini
 
Wakuu Mkoroshokigoli na Emirates4 nawaelewa kwa majibu yenu, mchango wangu juu ya hili swala haukulengwa kwa wenye mamlaka kwani wao walishachukua hatua na wanajua wamefanya nini. Nilicho kisema bado ni kile kile kuwa haileti maana yeyote ile kusafirisha mzigo wa 'panadol' kutoka Tz kuupeleka SA.

mkuu Damian marijani thanx kaka,ila sasa hapa kinachoonekana ni kama yale ya KAGODA,na DOWANS hakuna cha kushangaa,,,,tushayazoea,na wao hawana hasara maana hatutaweza kuhoji lolote,majaji wa SA na wa TZ sioni tofaut zao,maana hata hapa majaji wetu walishawai tajwa kuwa wanapokea hongo hasa kwa kesi hizi,gazeti la Jamhuri liliwahi ripot kesi za unga ambazo maamuzi yake yalishangaza hata kama huna weledi na sheria,jamaa wamenuia kumaliza vijana
 
Last edited by a moderator:
Juzi ilikua Crystal metamphetamine, leo imekua ephedrine tena mkuu?!

Ni kweli kuwa molecular structure zake zinafanana japo moja ni amine nyingine ni alcohol. Na kutokana na hilo ephedrine hunatumika kutengeneza metamphetamine kwa reduction process!

Hivyo inawezekana kuwa walichukua ephedrine ili kutengeneza metamphetamine maana hiyo ndo inahitajika kwenye black market!!

Bob Lee Swager na stori ndo imeishia hapo,hapa bongo polisi hubadili sana vidhibiti
 
Last edited by a moderator:
Ucfk hypocrisy, viongozi wetu wengi ni wataalam sana wa mazingaombwe. Yaan wanaweza kufanya mazingaombwe cocaine ikageuka udaga.
 
nilivyosikia tu kuwa Nzowa anakwenda south Africa kukaa faragha na punda hawa nikajua tu Kikwete ametuma mchanga ukafagiliwe chini ya carpet.

Tunajua CCM bila madawa ya kulevya hawawezi kujiendesha.
 
Kwhyo na mimi nikikamatwa na mapapai mabovu,sukari na pipa nataka kutengeneza gongo porini nitakuwa sina kosa? Au nikakamatwa na majani ya bangi bado hayajasokotwa kwenye rizla co kosa?

mkuu huna kosa hapo kwani rawmaterials zina shida gani???tutalazimishwa kufanya tufikirie labda kuna mila fulani kwenu au tambiko watakiwa kuwa na hvyo vitu alaf bangi twaeza imagine pia ni jamii ya mchicha au mboga za majani katika society yako,maisha ni bora kwa kila mtanzania
 
KIKWETE ameiharibu nchi na ndio maana majambazi na kila aina ya uhalifu unajiamini kwasababu libaba la nchi lenyewe ni lihalifu...ukiiba kuku unakamatwa na kusota jela...inatia hasira..natamani km wachinjwe hawa viongozi...manineer zao dhaifu..zoa...chimbi..kovu...muwema
 
Nilisema tutaambiwa na za serikali kwa ajili ya kutengeneza ephedrine. Ule mzigo ni wa mtoto wa jk na jamaa zake. Metaamphetamines ni stimulants, narcotics nk. Sasa ina utofauti gani na morphine? Itabidi tuanze kusafirisha opium kwa kigezo cha kutengeneza morphine. Hii nchi inaendeshwa na muuza unga, hii vita hawezi kupigana.
 
kuhusu issue yakina masogange,,wale wapo level ya juu sana katika hii biashara ya sembe ,,ila mpaka wamefikia hapo jua wametumika sana na wamemeza sana kete,,,,kwa mtu anayetaka kuingia katika hii biashara yakuwa punda,,lazima aanze na hatua ya awali yakumeza kete,,unavyozidi kuonyesha ufanisi katika kazi ,,ndio utaanza kupewa mabegi kama kina masogange,,,,karibu sana mkuu...[/QUOTE

Daaah ahsante sana mkuu! Tupo nyomi hatuna ajira
 
Hawa wasanii wa bongo movie sijui kwanini wanashindwa kuigiza movies kama hizi. Tengenezeni Movie mmoja mumfanye mmoja awe Rais mwingine awe yule waziri wa AIRPORT na BANDARINI halafu chukua akina lulu wawe ndio wasafirishaji.

Movie itauza sana. Halafu waweke na usanii nyuma ya pazia. Yaani movie ziwe kama za Hollywood, ziwe za kufungua macho! Wanaigiza mapenzi tu
 
KIKWETE ameiharibu nchi na ndio maana majambazi na kila aina ya uhalifu unajiamini kwasababu libaba la nchi lenyewe ni lihalifu...ukiiba kuku unakamatwa na kusota jela...inatia hasira..natamani km wachinjwe hawa viongozi...manineer zao dhaifu..zoa...chimbi..kovu...muwema

under the influence of alcohol ?
 
Back
Top Bottom