Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Aha haah hahaha h ahaha hh nilikuwa sijaiona hii thread KWA ASILIMIA 98 (98%) NINAAMINI HII IMEKUJA ILI KUFUNIKA ULE UKWELI KWENYE ILE THREAD YAKO YA NYUMA................ SIKUPI POLE NAJUA HII NI "COOKED" NA KUJARIBU KUAMINISHA WATU TOFAUTI NA UKWELI. kitu kimoja ambcho unasahu ni kuwa kipindi ile hukuwa kama ulivyo leo hii kwenye JF. NINAOMBA KAMA SIYO YA KWAKO..... MSAIDIE TUUU MHUSIKA AMA SIMAMA AS A THIRD PARTY

nNakutakia siku njema dada.

ruksa kuni-pm
 
nakuja na kisa kingine tena, mie naitwa mama Jafari!

Kwenye uelezeaji wa story kuna namna nyingi sana.
Lazima uone kwa jicho la 3, utakuwa unakula makapi mengi.

Mbona umekuja kiuchokozi hivyo weye?
 
nakuja na kisa kingine tena, mie naitwa mama Jafari!

Kwenye uelezeaji wa story kuna namna nyingi sana.
Lazima uone kwa jicho la 3, utakuwa unakula makapi mengi.

Hii story imekaa ki-kutungwa tungwa tuuu.... nashukuru kuwa pamoja na hayo yote HAKUNA SEHEMU UMEKANUSHA FINDINGS ZANGU
 
heh, Canta kamtorosha Rejao, tena alimbeba kama chagulaga wakati Rejao anatoka shambani.

Canta hafai kabisa.
hivi warembo kama nyie mnamgombea rejao kwa lipi hasa? mpua? upara? mijicho? au mambo mengine mengine?
na we rejao wewe embu twambie nini siri ya mafanikio yako?
 
Hujachelewa bado, huna haja ya kuumiza moyo wako bwana, anza maisha yako mapya
 
nakuja na kisa kingine tena, mie naitwa mama Jafari!

Kwenye uelezeaji wa story kuna namna nyingi sana.
Lazima uone kwa jicho la 3, utakuwa unakula makapi mengi.

Au Mama Jaffer..

Au siyo Konnie..
 
Hii story imekaa ki-kutungwa tungwa tuuu.... nashukuru kuwa pamoja na hayo yote HAKUNA SEHEMU UMEKANUSHA FINDINGS ZANGU

Ila kwa miaka hiyo,kuoa mtu wa kabila tofauti...mh.. Ni kama "kituko cha mwaka" katika familia yenu au ukoo..

Yaani ilikuwa ajabu sana,na wanafamilia wanahisi huenda umerukwa na akili!
 
Ndio maana nasema kwa utunzi tuuu, daada yangu hajambo maana anajitahidi kweli.
 
Ila Kongosho ulivyowakamata baadhi ya watu hapa!! nahisi kuna watu wanahisi/wanaamini hii story ni ya kwako matokeo wanaandika hadi post zenyewe zinaonekana kutaka kudodosha machozi!! ni kama wale wanaangalia movie halafu anaanza kulia!!

umenikumbusha kipindi kile nasoma simulizi za Willy Gamba, kuna wakati nilikuwa nasoma huku natetemeka kweli!! kisa steringi anakaribia kuuawa!!
 
Pole sana ndugu

Ndoa ni pembe tatu , Wanandoa , Wazazi na Mungu kwaajili ya mibaraka

Sasa ukifuata tu sauti ya moyo wako bila baraka za Mungu na Wazazi wa pande zote mbili sidhani kama itakua na Baraka

Japo Mila zisizo na TIJA, ni vizuri tukaziondoa ktk maisha yetu ili tupate Mafanikio
 
kumbe ulitaka nikanushe?
Nikanushe kwenye hamna?

ulisalimia hawamo.

Hii story imekaa ki-kutungwa tungwa tuuu.... nashukuru kuwa pamoja na hayo yote HAKUNA SEHEMU UMEKANUSHA FINDINGS ZANGU
 
tatizo wewe hutaki kuwa mbayuwayu, ngoja nikuache ule unachotaka.
Hujui kujiongeza?
Hukusoma hata riwaya?

Hata story telling hukupitia?

No wnder jinsia inakuwa ishu.
Art, art, art!

kesi sio PM, (japo ukinitumi nitafurahi pia) ila najua huwezi kukikimbia kivuli chako
 
wewe hupendi?
Ngoja nikupe siri ya kuwashika watu
'be yourself' watakukubali hivyo huvyo na mapungufu yako.

Don't try too hard to impress people, watakuona fake.
Ila Kongosho ulivyowakamata baadhi ya watu hapa!!
 
Back
Top Bottom