yaani, Sophy simpati tena, na ameshapiga hatua ya maisha mbali tu.
Mie huku mke kanishinda, naenda naye sijui kwa nguvu za nani.
Tabu tupu.
Ungeniuzia hii stori ningetengeneza Movie fasta....................Umeharibu dili wewe!
Lakini tunaweza kuongea pembeni na ku-negotiate price ya sript ili nianze matayarisho ya kutafuta wasanii wa kuigiza hii Movie.............
Casting tangu ningeipanga kama ifuatavyo....
Steling anayesimama kwenye nafasi yako - REJAO
Atakayesimama kwenye nafasi ya Sophie- KAPIPI
Atakayesimama kwenye nafasi ya mkeo wa sasa - ?
Watakaosimama kwenye nafasi ya ndugu zako ni hawa wafuatao - BISHANGA, MADAMEX, CANTALISA, THE BOSS, HUSNINYO, KING'ASTI, ASHADII, na wengineo.....
Mimi nitasimama kama mtu aliyekushauri uache pombe...........
Hivi kwa Movie hii hatutawapiku kina Kanumba kweli?