Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

kumbe ulitaka nikanushe?
Nikanushe kwenye hamna?

ulisalimia hawamo.

tatizo wewe hutaki kuwa mbayuwayu, ngoja nikuache ule unachotaka.
Hujui kujiongeza?
Hukusoma hata riwaya?

Hata story telling hukupitia?

No wnder jinsia inakuwa ishu.
Art, art, art!

Dada, nimeshachanganya na za kwangu zamani sana ndio maana nikajua hilo.... kinachozidi kunifurahisha ni kuwa hukatai ila unajaribu kuninyamazisha.... aha ah ahh aa haha ha ahahhah

Dada Kongosho..... Yeniyi yise ya mkaya duhu, ulu uzunya natala haya hangi
 
wewe hupendi?
Ngoja nikupe siri ya kuwashika watu
'be yourself' watakukubali hivyo huvyo na mapungufu yako.

Don't try too hard to impress people, watakuona fake.

Thats why I am as I am
 
Smiling Saint bana... Haya...

Ila naomba kujua kabila lako.. Nick name zinatosha,kabila usidanganye..

aha ahah ha hah Kabila tu? hata dada yangu Kongosho anajua kuwa mimi ni Ngosha original....ndio maana wengine wasipomuelewa wakati mwingine mimi namuelewa.......
 
From page 1 to 9 kama nilikuwa hakimu vile ktk kesi ya KONGOSHO kuhusu GENDER yake, kutokana na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka na mshitakiwa mahakama imeridhia kuwa.
- WAZEE WA MAHAKAMA; Kongosho ni SHE.
-UPANDE WA UTETEZI(Kongosho); mwenye macho haambiwi tazama!
-HUKUMU; mmmmmh! inawekana kweli Kongosho ni SHE! ila si ajabu akiwa HE.
-WASIKILIZAJI; whaaaat???? ? ? ? ?....??...!!
-SAUTI; Cooooooouuuuuurrrrrrtttttt...!!
 
aha ahah ha hah Kabila tu? hata dada yangu Kongosho anajua kuwa mimi ni Ngosha original....ndio maana wengine wasipomuelewa wakati mwingine mimi namuelewa.......

Haya bana.. Hujachanganya na kabila lingine kweli?
Si chotara wewe..? Ila najua kina Ngosha wengi wana damu ya Kitutsi..
Asante..
 
duh, kumbe ilikuwa kesi?
Kuna mshindi eeh!

From page 1 to 9 kama nilikuwa hakimu vile ktk kesi ya KONGOSHO kuhusu GENDER yake, kutokana na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka na mshitakiwa mahakama imeridhia kuwa.
- WAZEE WA MAHAKAMA; Kongosho ni SHE.
-UPANDE WA UTETEZI(Kongosho); mwenye macho haambiwi tazama!
-HUKUMU; mmmmmh! inawekana kweli Kongosho ni SHE! ila si ajabu akiwa HE.
-WASIKILIZAJI; whaaaat???? ? ? ? ?....??...!!
-SAUTI; Cooooooouuuuuurrrrrrtttttt...!!
 
Pole sana Kongosho na hongera kwa kuwa so open hapa jukwaani. Experience yako ni somo zuri sana kwa wale wanaoleta thread za "Kuna dada/kaka nampenda lakini wazazi wangu hawamtaki"

Nitatumia sana experience yako kuchangia thread za aina niliyotaja.

Halafu Komgosho nipe ukweli wa hili jambo ambalo nilipata kuliquestion kwenye thread moja. Kwa nini hapa jamvini wanakuita Shemale?
 
Nimekusoma dada kongosho,asante kwa useful story.nafikiri wale wanaoita wenzao kyasaka au mnyika wataacha
 
Nimekusoma dada kongosho,asante kwa useful story.nafikiri wale wanaoita wenzao kyasaka au mnyika wataacha
 
wanashindwa kunisoma kwa hiari yao.
Wanaangalia mwandiko badala ya mada husika.

Si unajua 'you choose what to see'

Halafu Komgosho nipe ukweli wa hili jambo ambalo nilipata kuliquestion kwenye thread moja. Kwa nini hapa jamvini wanakuita Shemale?
 
mmmmhh??? Mwanakwetu naanza kudoubt.....we huna kamimba kaukweli kweli wewe? Maana.......mmmmmmmm...lol!!

Wala ucjifikirie ndio nnayo tayari,shemeji yako rejao ndio keshafanya mambo yake!
 
hivi warembo kama nyie mnamgombea rejao kwa lipi hasa? mpua? upara? mijicho? au mambo mengine mengine?
na we rejao wewe embu twambie nini siri ya mafanikio yako?

Bishanga,siri ya mtungi aijuae kata!nnachokipata kwa rejao nakijua mwenyewe,na kwa ajili yake niko tayari kuanzisha vita ya tatu ya dunia na c kumkosa kipenzi changu na sababu ya furaha yangu rejao lol!na ulivovitaja ndio ugonjwa wangu!
 
Kongosho kumbe ni mtu mzima kama mimi.

Kwa kukisoma kisa chako na kutazama umri ulioanza kupata watoto, ni dhahiri kabisa kuwa watoto kwa sasa ni watu wazima, nakushauri usichukulie hasira, kaa kimya ukiangalia movie inavyokwenda na huku unatumia mbinu nyepesi na "effective".

Kuna kitu kinaitwa midlife crisis, na mara nyingi huanza kati ya miaka 45 na 55, na hiki ndicho kinachotokea. Ni dhahiri pia kuwa hata mkeo si mdogo tena na ilipaswa ajitulize, si lazima awe na shughuli za ubaba na umama, bali inawezekana kuwa ana-u-miss ubaba na umama na hana majukumu ya kujituliza nyumbani. Ni vyema ukatumia mbinu ya kuwachukuwa wajukuu na kuishi nao, hiyo itampunguzia sana spidi bibie na itamrudisha kwenye malezi ya vijukuu yatakayo mtuliza nyumbani akipenda asipende.

Niamini, nipo kwenye umri wako, naelewa nnachokushauri.
 
mimewadifferentiate kama constant.
Usinikumbushe hizo ndude!
lazima zikuharibu,

kama zilivyokufanya wewe mpaka watu wanachanya jinsia yako,maana umekaa kama cathode na anode
 
kuweni makini sana, haya maisha haya.

Asante Bushloiaz. Wakati mwingine natamani nimwache mke, lakini naona watoto watahangaika, mie mwenyewe kuanza kusettle tena haitakuwa rahisi.

Watoto miaka 30 bado unalea tu?
 
Back
Top Bottom