Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Ndoa ndoa ndoa ndoa......! nyingi ya story labda asilimia 95 ninazosikia katika ndoa hua ni hasi/negative.
hivi hii ni implication kua ndoa sio kitu chema au???
Au asilimia kubwa ni ktu kibaya na kiasi kidogo ndo kinachokua na uzuri?
 
ndoa nzuri sana, kama ukijua unalofanya.
Ila ukifuata mkumbo wanaweza ukachanika msamba!

Ndoa ndoa ndoa ndoa......! nyingi ya story labda asilimia 95 ninazosikia katika ndoa hua ni hasi/negative.
hivi hii ni implication kua ndoa sio kitu chema au???
Au asilimia kubwa ni ktu kibaya na kiasi kidogo ndo kinachokua na uzuri?
 
lol.......pole sana ninaelewa uzito wa mzigo uliobeba, mambo ya wazazi/koo yanarudisha na kuharibu sana future ya watu wengi. again pole.
 
Canta kwa mahanjumati usimguse kabisa, Ile namba nyingine! Mpaka huwa nahisi akipika huwa kwenye souce anachanganyia na nanihii kidogo!!
Mwambie huyo maana naona bado hajaamini kwamba kwangu ndio ushafika,
Kwa comment hii just come this way nikulishe kitumbua lol!
 
kwa hiyo canta ni He na rejao ni She?
Shikamoo Bishanga,
Hizo ni porojo za Kongosho,
Baada ya kutoswa na rejao na mie kuolewa,
Mie ndio Naitwa Cantalisia Rejao,yeye kafanya kinyume kwa alilonalo moyon!!!
Rejao ni HE na Cantalisia ni SHE.
 
Nawasoma tu hapa na ujinga wenu................Msitake kuniharibia siku, kwani Canta anahusikaje humu?
Hahahah hahahah,
Pole baba ulikua hujui?
Watakucheka watu,
Usijali baba yangu soon nakuletea mjukuu then tutaongea vizuri lol!
Nikija nikule tee zawadi gani?
 
Ungeniuzia hii stori ningetengeneza Movie fasta....................Umeharibu dili wewe!
Lakini tunaweza kuongea pembeni na ku-negotiate price ya sript ili nianze matayarisho ya kutafuta wasanii wa kuigiza hii Movie.............

Casting tangu ningeipanga kama ifuatavyo....

Steling anayesimama kwenye nafasi yako - REJAO
Atakayesimama kwenye nafasi ya Sophie- KAPIPI
Atakayesimama kwenye nafasi ya mkeo wa sasa - ?
Watakaosimama kwenye nafasi ya ndugu zako ni hawa wafuatao - BISHANGA, MADAMEX, CANTALISA, THE BOSS, HUSNINYO, KING'ASTI, ASHADII, na wengineo.....
Mimi nitasimama kama mtu aliyekushauri uache pombe...........

Hivi kwa Movie hii hatutawapiku kina Kanumba kweli?

Baba Ngina ebu fanya makeke basi, na sie tuonekane kwenye kideo........walau tuoshe majina! Alafu kwa jinsi tulivyo na matalent kina Kanumba wote lazima tuwapige chali au Kongosho unasemaje??
 
mmmmhh??? Mwanakwetu naanza kudoubt.....we huna kamimba kaukweli kweli wewe? Maana.......mmmmmmmm...lol!!
 
Baba Ngina ebu fanya makeke basi, na sie tuonekane kwenye kideo........walau tuoshe majina! Alafu kwa jinsi tulivyo na matalent kina Kanumba wote lazima tuwapige chali au Kongosho unasemaje??

Nishaanza kuandika script mbona, hii stori imesimama.................!
Sasa wadau chagueni ukumbi wa kufanyia reheasal kwani wiki mbili zijazo tunaanza shootings........Ma-Directors nishawapanga mapema.........Location Director atakuwa Mwanjamiione, na mambo ya cosmetics atasimama The Fine mwenyewe, na Mamndenyi atasimama kama Meneja mahusiano................Vyeo vingine nimevisahau.........LOL
 
Ungeniuzia hii stori ningetengeneza Movie fasta....................Umeharibu dili wewe!
Lakini tunaweza kuongea pembeni na ku-negotiate price ya sript ili nianze matayarisho ya kutafuta wasanii wa kuigiza hii Movie.............

Casting tangu ningeipanga kama ifuatavyo....

Steling anayesimama kwenye nafasi yako - REJAO
Atakayesimama kwenye nafasi ya Sophie- KAPIPI
Atakayesimama kwenye nafasi ya mkeo wa sasa - ?
Watakaosimama kwenye nafasi ya ndugu zako ni hawa wafuatao - BISHANGA, MADAMEX, CANTALISA, THE BOSS, HUSNINYO, KING'ASTI, ASHADII, na wengineo.....
Mimi nitasimama kama mtu aliyekushauri uache pombe...........

Hivi kwa Movie hii hatutawapiku kina Kanumba kweli?

inauza
 
Nishaanza kuandika script mbona, hii stori imesimama.................!
Sasa wadau chagueni ukumbi wa kufanyia reheasal kwani wiki mbili zijazo tunaanza shootings........Ma-Directors nishawapanga mapema.........Location Director atakuwa Mwanjamiione, na mambo ya cosmetics atasimama The Fine mwenyewe, na Mamndenyi atasimama kama Meneja mahusiano................Vyeo vingine nimevisahau.........LOL

Hayo mambo ya ukumbi ngoja niwaachie wengine, mie mtanipa tu taarifa!! Alafu kuna wale watu wanaohusika na mambo ya costumes.......hapa Lizzy na Kabakabana usiwasahau!!!
 
Back
Top Bottom