Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Ilikuwa ngumu sana miaka hiyo. afadhali saa hivi mambo yaanza kubadilika.

kwa kweli kongosho umepatia connection sana. kabila-ukoo kutoruhusu kuoa kabika jingine na miaka 1976. kwa kizazi cha kuanzia kwa mzee Ruksa mpaka JK huwezikukatazwa kuoa/kuolewa sababu ya ukoo au kabila. UTACHEMSHA. komaa na mama wa4 wako
 
Mkuu, nakupa pole sana jamani, yaani kama ni kisa cha ukweli kinagusa sana.
Kweli jamani haya mambo ya kusikiliza ukoo unasemaje wakati mtakaoishi ni ninyi wawili yanaboa sana, ukizingatia wakati wa matatizo woooooooote wanasepa!!!!!!!!!! yaani hawana msaada sana sana wanakurushia lawama tuu, na miaka hiyo ya 70's mhhh!!!
 
Ila Kongosho!!!!!!!!!! mwaka 1976!!!!!!! kumbe tuna vibabu humu eeee!!!!!!!!!!!
 
Nilikuwa sina mpango wa kuja jf leo
hii thread imeniacha hoi
i love u saaaaana dah dah dah
 
Kongosho vipi mkeo na watoto?
ndoa yako inaendeleaje?
 
Last edited by a moderator:
Unajuaje kwamba ungemuoa Sophia usingekuwa mlevi pia na kusingizia ulevi wako kwa Sophia na kutengwa na familia yako?
 
muda wangu wote nilijuaga kongosho ni mwanamke.
 
Back
Top Bottom