Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Mi mgeni hapa JF...
mbona sion chochote kuhusu Sophia??? naona tu mara Husninyo, mara bishanga, maara Klorokwini, mara Kongosho sjijui ndio konie!!!...:A S 13::gossip::help:
Dah! asante kwa kutukumbushia sredi.

ok waheshimiwa turudini kwenye mada.

Dah! kusema kweli kisa cha sophie kinaskitisha sana, nimejarib kulia lakini nimeshindwa. Eee Mungu msaidie sophie
 
kwa j nimepeleka proposal la harrier, hapa napima upepo naangalia na jua linachomoza kutokea wapi. Lol
harrier? Come on baby Husn,Harrier ndo nini (tena mtumba ndo uwezo wa J).
Njoo utulie kwa bishanga abashaija,Lihaya la ukweli,i solemnly promise you penzi letu tutakwenda kulizindulia kwenye visiwa vya Maldives,tukirudi breki ya kwanza kwenye showroom ya international motor mart pugu rodi.
 
Dah! asante kwa kutukumbushia sredi.

ok waheshimiwa turudini kwenye mada.

Dah! kusema kweli kisa cha sophie kinaskitisha sana, nimejarib kulia lakini nimeshindwa. Eee Mungu msaidie sophie
Usanii wa Kongosho umekuliza? au una yako mengine...tuambie tu hata kama leo umenyimwa!
 
harrier? Come on baby Husn,Harrier ndo nini (tena mtumba ndo uwezo wa J).
Njoo utulie kwa bishanga abashaija,Lihaya la ukweli,i solemnly promise you penzi letu tutakwenda kulizindulia kwenye visiwa vya Maldives,tukirudi breki ya kwanza kwenye showroom ya international motor mart pugu rodi.

hee taratibu babu eeh! Ndoa yenyewe changa usije ukaniharibia
 
Dah! asante kwa kutukumbushia sredi.

ok waheshimiwa turudini kwenye mada.

Dah! kusema kweli kisa cha sophie kinaskitisha sana, nimejarib kulia lakini nimeshindwa. Eee Mungu msaidie sophie

achana na sophy bana, kwa sasa tunadiskas mambo ya kitaifa hapa,hivi huoni kidogo kidogo Husn anaanza kuyaona maisha katika mwanga bora? We vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom