Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

hapa unajidai mjanja kumbe...!!!!! Fanya haraka urudi nyumbani kwanza...Eliza wa Tegeta anakusubiri ukamwoshee vyombo!!
jamani si ujauzito unamsumbua? Acha tu nimdekeze,hata hausgel tumetupa kurrreeeeee!
 
kwa taarifa yenu wote mnaochakachua uzi wa Kongosho nimewafungulia RB(akiwemo Konnie mwenyewe).
 
achana na sophy bana, kwa sasa tunadiskas mambo ya kitaifa hapa,hivi huoni kidogo kidogo Husn anaanza kuyaona maisha katika mwanga bora? We vipi?

Halaf huyu sophia asije akawa ni yule memba aliokuwa anajiita dasophy? Lawyer nakonnect ze dots
 
aliingizwa mjini mtu ana SMG na mabunduki sembuse huyu na mivyetu tu, ukute full kudesa.

hivi wewe na madigrii yako yote LLB(udsm),LLM(harvard),Doctor of Philosophy (london school of economics),her majesty counsel QC,kweli kabisa Konnie anakuingiza choo cha kike nawe unakubali mzee mzima wa Lincoln?
 
ha ha ha ha ha.

Anakuwekea kidaka tonge?
Umenichekesha kimtetemesho.

Canta kwa mahanjumati usimguse kabisa, Ile namba nyingine! Mpaka huwa nahisi akipika huwa kwenye souce anachanganyia na nanihii kidogo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom