asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
mmmmmmmmmmh! loading........kumbe wewe siyo SHEMALE ni He ,au?
kongosho unatuchanganya hapa.
kongosho unatuchanganya hapa.
Hapa PC yangu screen naiona chenga, najaribu kuconect katika mobile labda nitakusoma!Mmh, kwa nini MS?
Kuna siku mtu unakumbuka maasi ulofanya roho inauma sana.
Hiki kisa cha jamaa yako au ww mwenyewe?
unaguna nini Kippie,huyo ndo konnie bana....na ni true story ujue,yalimkuta.Mmmmmmhh.......?????????
hadithi inatufundisha kuwa kongosho afterall ni He.hadithi yako nzuri je inatufundisha nini?
nye.....ge tu na sophy inakusumbua,huna lolote.Nimewaomba msinisulubu.
Hamwezi jua what am going thru right now.
story intended to No one specifically.Sikuthulubu ila najaribu kujua what u mean here and hii story imekuwa intended to who au ni nani ilimtokea
Ila listen to your heart most na sio ndugu wanasemaje maana always utaishia kupoteza kitu cha muhimu sana ambacho kilikuwa kiwe bora kwa maisha yako na ukajikuta umeangukia kwenye matatizo matupu kutokana na kuambiwa na ndugu hili usifanye
niko hapa serena napata cocktail kabla ya kwenda sea cliff karambezi nina miadi na deputy gavana wa benki kuu.Nataka nilale mapema maana alfajiri nachukua swiissair nina kikao na sapplya wangu zurich mchana.Karibu serena Husn.@bepari la kihaya upo?
Du Kongosho, naona umeamua kumpotezea Smiling Saint; good job!
Nyinyi mnafaa kabisa kuwa maloya, leteni CV zenu sruu PM niwapatie kazi fastaYaani bg mama Baada ya ile story ya ukweli kubumbuluka umeamua kuleta hii ili utuchanganye eeh! Hatudanganyiki ng'oo.
eti eh? Wapotezee hawa wachakuchuaji,mi mwenyewe nawashangaa aisee.tatizo ni kukonsentrati na na detail isiyo na maana na kucha story nzima behind the scene.
nye.....ge tu na sophy inakusumbua,huna lolote.
nasikia harufu ya rushwa ya ajira through kunongoneka!Nyinyi mnafaa kabisa kuwa maloya, leteni CV zenu sruu PM niwapatie kazi fasta
kwi kwi kwi kwi.....Husn uko wapi unishikilie mbavu zangu?Hivi unadhani Kashozi utapeleka Nyamhanga?
Au ubebe mtoto uende naye? Umesahau unavyoingia ndani kinyume nyume na watu waote wanaitwa kushuhudia ili wajifunze toka kwako.
Do you think it was easy? Kubeba hiyo aibu?
Hasa kumfikiria mama akichekwa na majirani?
Tena wewe, you know it better than anyone wala usiseme hayo maana ntakubamiza.
nalog off.mmh, unakumbuka stigma ya nyamahanga?sasa hivi ndo pametulia kidogo, tena niache kabisa.