Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
mnanchekesha (source:FF).Itest tu, bishanga ashaninchosha na mabalaa yake.
Hivi we na rejao hamjui bishanga ni ex SS?
mnanchekesha (source:FF).Itest tu, bishanga ashaninchosha na mabalaa yake.
debe tupu haliachi kupiga kelele......Nataka nisimmalize kabisa, ndio nafikiria nipige sehemu gani ili ashindwe kukufata fata kabisa!
still daydreaming? Umekuwa alinacha weye? Embu sogea karibu kwanza mtoto mzuri...........mmmh, mnanichanganya kti kati ya machungu.
Nawaza, ningemwoa ningeishi maisha ya amani.
hivi Angel huwajui wasanii wa mjin?we kongosho wewe si ni jana tu kulikua na uzi umeandikwa kuwa wewe ni ke sasa ijekuwaje umekuwa me ghafla?
hivi we Asha unamsikiliza Kongosho?Jamani mambo ya ndoa magumu.... Magumu mno! Hii story... Dah! No comment.
FL,1976 we ulikuwa darasa la ngapi?pole kongosho ,hii story sijui ya nani bana sio ww kuna watu wamekula chumvi jamani mwaka 1976 washaanza harakati za malovi dav,
pole konnie.......
Yule aliyejua jinsia yako thr thread yako nahisi hapa umemmix na kumconfuse....
pole kongosho ,hii story sijui ya nani bana sio ww kuna watu wamekula chumvi jamani mwaka 1976 washaanza harakati za malovi dav,
Withdraw syndrome huwa inatokea hata baada ya miaka 20 na inakuja kwa uchungu kana kwamba ilitokea jana. Kongosho nakupa pole kwa kuchaguliwa mke ' is the biggest and costful mistake tunaloweza ku commit tukifikiri tunawafurahisha ndugu bila kujua huyo mwezi wako ni wewe utaishi naye liwe jua, au mvua, Kiangazi au Masika. Ndugu zako wanastahili malaumu pia